Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


MziziMkavu anazunguka mbuyu anakwepa hoja za msingi Mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kaunga kama huyu Mkuu.@Deception anasema hakuna hiyo HIV kwa akili yake na elimu yake labda anayo akili kuliko hao waliosema kuwa kuna hiyo HIV. Mimi siwezi kushindana nae kuna Ma-Daktari wapo hapa watamjibu.
 

HIV inaathiri cells zilizo na CD4 cell surface antigen na CCR5 beta-chemokine receptor ni muhimu katika kusababisha maambukizi.CD4-receptors ni Th cells,monocytes,dendritic cells na microglia.Virusi vinaambukiza kupitia kwenye viral gp120 glycoprotein envelope ambayo inajiunga kwenye CD4 receptor.Kuna baadhi ya watu wana CCR5 GENE DELETIONS,watu hawa wanakuwa resistant na infection,kwahio hawawezi kupata maambukizi.
 

Mzima mdogo wangu Kaunga? Tumepotezana sana.

Kuhusu swali la Deception, ni kwamba; siyo kila tukio la kujamiiana na mwathirika wa VVU lazima lisababishe maambukizi. Hapa kuna sababu nyingi za kitaalamu. Kwa mtu anayependa, anaweza kuongeza uelewa wake kwa kutafuta kutoka google.com sababu za kuwepo kwa discordant couples. Hawa ni wanandoa ambao wanashiriki tendo la ndoa kama kawaida ila mmoja tu ndiye kaathirika.

Hata hivyo, kuna maelezo mengine nimeona (kwa ufupi) ambayo ni uongo na hatari sana. Kwa mfano, mtu anasema eti limao inatibu malaria....????
 
Last edited by a moderator:

Anayasema hayo kweli Kaunga?

Samahani sijawezi na sitaweza kupitia posts zote. Ila kama anasema hayo basi anatakiwa kuwekwa kwenye group la akina Thabo Mbeki. Hii ni zaidi ya deception!
 
Last edited by a moderator:

Uko sahihi kabisa na hii technical sana. Kama unaweza kuielezea kwa lugha laini sana basi utasaidia wengi ambao ni medically laymen!
 

Nashukuru Mkuu.

Angalizo;
Maelekezo niliyokupa nilimaanisha kwamba mtoto anywe ili asipate tena hali kama hiyo(malaria),yaani ukimpa maji hayo kinga yake itakuwa juu sana na hatashambuliwa na malaria na magonjwa mengine kirahisi.Lakini kuhusu dozi kamili kwa mtu anayeumwa hilo sijalifanyia utafiti bado,ila kuna tafiti za kisayansi kabisa kwamba lina uwezo wa kutibu.Kwa sasa ninakuomba uchukue maelekezo niliyokupa kama kinga ya mtoto kwa baadaye.Labda mkuu MziziMkavu anaweza kujua dozi kamili.
Karibu.
 

Rafiki puliiiz...

Bado kuna mtu anabisha huu ukweli ulio wazi?

Kuna mtu anayeweza kukataa kuwa shahidi kuwa hili janga halijawahi kumgusa??

Hii kitu ipo na anayepinga anatakiwa aangaliwe sana.

UKIMWI UPO.... yani hiv sio?? Na inaua mbaya.

Tujadili vingine wajameni.
 
Last edited by a moderator:

Hhahahahah mzee mwenzangu unasema limao linaangamiza parasites wa malaria??? Nazeeka vibaya asee....

Kuna watu wengine ni wa kufungia kabisa hakyamama. Hakuna jela ya tiba??
 
Last edited by a moderator:

1.Kweli nimesema
2.Si kweli,umevuruga maelezo,vipo vya kweli na vya uongo ambavyo sijasema.
3.Kweli nimesema
4.Kweli,lakini ni baadhi ya waganga.
5.Kweli,lakini ni baadhi ya watu wa maombi
6.Kweli nimesema
7.Umekosea maelezo.
 
Hhahahahah mzee mwenzangu unasema limao linaangamiza parasites wa malaria??? Nazeeka vibaya asee....

Kuna watu wengine ni wa kufungia kabisa hakyamama. Hakuna jela ya tiba??

Mkuu kwani ata hizi za mahospitalini tunazotumia asilimia kubwa si zinatokana na mimea?
 
Anayasema hayo kweli Kaunga?

Samahani sijawezi na sitaweza kupitia posts zote. Ila kama anasema hayo basi anatakiwa kuwekwa kwenye group la akina Thabo Mbeki. Hii ni zaidi ya deception!

Unamjua aliyekuwa mshauri mkubwa wa masuala ya kiafya wa Thabo Mbeki alikuwa nani?
 

Una uthibitisho wa kisayansi zaidi ya vitabu ulivyosoma shuleni kwamba HIV yupo na anaua T-cells?
 

Kuna mambo mawili;
La kwanza ni kushuhudia/kuona jambo linatokea/limetokea na la pili ni kujua sababu halisi iliyosababisha kutokea kwa jambo ulilolishuhudia/kuliona.Umenielewa?

Halafu ni vyema ukaweza kutofautisha kati ya Ukimwi na VVU/Ukimwi,haya ni mambo mawili tofauti kabisa.
 
Hhahahahah mzee mwenzangu unasema limao linaangamiza parasites wa malaria??? Nazeeka vibaya asee....

Kuna watu wengine ni wa kufungia kabisa hakyamama. Hakuna jela ya tiba??

Unajua kabla ya wazungu kukuletea vidonge vyao vya malaria,bibi na babu zako walikuwa wanajitibu vipi?
Swali langu litakuwa irrelevant endapo tu bibi na babu zako kipindi kile kabla ya kuja wakoloni walikuwa hawaugui malaria.
 

Hilo la VVU ni pana sana,tutakwenda nalo kipekee.Kuhusu limao,sitashangaa kwa wewe kusema hivyo kwa kuwa halijaandikwa kwenye vitabu vyenu vya kiada,inabidi uende kwenye vitabu vya ziada.
Utakuwa haufahamu mambo mengi sana yanayoendelea duniani na hasa kwenye masuala haya ya kiafya.Hujui kama kuna vita baridi kati ya tiba asilia katika magonjwa fulanifulani na tiba rasmi.Hujui pia hata historia ya western medicine imeanzia wapi.Hujui pia kwamba waliondika vitabu vyenu mnavyovitumia ni kina nani(sina maana ya majina).Hujui pia kwenye vitabu vyenu nini hawajaandika ambacho kwao ni hasara kama watakiandika,hivyo hujui mmefichwa nini.
Inabidi kwanza uyajue haya ndio twende sawa,vinginevyo kila kitu nitakachokieleza utakiona kama hadithi tu,hivyo ni vigumu kwenda pamoja.
 

Pole sana mkuu(kutoka moyoni);
Mimi pia nimepoteza ndugu zangu wengi kabla sijajua ukweli huu.Baada ya kujua ukweli niliwahi kuuguza wagonjwa hawa huku nikifanya tafiti kwa makini sana.Siwezi kueleza mengi hapa.Ila kwa kifupi nina ndugu ambao hawatumii kabisa ARVs na wako safi muda mrefu sasa na wapo walioacha na wako safi kwa muda mrefu hadi leo hii.
Wako pia ambao wamepima HIV+ wakarudia wakapima HIV- wakarudia wakapima HIV+ wakarudia tena wakawa HIV-,wako safi na hawatumii ARVs,si mimi tu mkitaka stori ambazo mnaziita za ajabu(kwangu mimi ni kawaida) kuna watu humuhumu wanaweza kuwaambia stori zao wakija.

Ndugu yangu;
Kuona na kujua sababu iliyosababisha unachokiona ni mambo mawili tofauti.Naendelea kusisitiza kwamba unifuatilie kwa makini,utagundua ukweli wa yale yote uliyoyaona ambayo yameshapita na yanayokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…