definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Maandishi yako yanatia kinyaa, kuwa mtulivu acha papara, ata ukiandika kwa herufi ndogo tutakuelewa tu na kukusoma, usilazimishe vitu we nenda taratibu usi panick, be a doctor, be professional, be smart
Kuna swali moja liliulizwa hivi:
Huyo mtu mwenyewe aliyetoa ushahidi huo ni huyu hapa chini:
Jibu la doctor lilikuwa hivi:
Tuchambue jibu alilotoa doctor sasa:
1."ukipima ukimwi"
-Huwa hawapimi ukimwi bali wanapima VVU/HIV.Na ndio maana napishana na doctor maeneo kama haya,yeye hajangundua bado.
2."kuna possibilty uambiwe unao wakati huna"
-Nadhani wenyewe mnathibitisha kwamba vipimo hivi ni feki.Hili nilishalizungumzia mwanzoni kabisa.Hata yeye mwenyewe anakubali hilo.Sasa uamuzi ni wenu wenyewe.
3."kuna uwezekano jamaa alikuwa hana"
-Kwa sababu amesema "kuna uwezekano", sasa na mimi nasema tuchukulie kuna uwezekano jamaa kweli alikuwa ana HIV.
Doctor inatakiwa ajibu swali hili huku akichukulia upande wa pili kwamba jamaa kweli alikuwa na HIV,maana amechukulia uwezekano wa upande mmoja tu,sasa inabidi achukulie na upande huu wa pili.Tunamsubiri.
hili nitukio liminitokea mm nimekuwa na mahusiano mwanamke tangu mwaka 2012 mpaka leo huyu mwanamke miaka 10 iliyopita alipata maradhi ya hiv badae aliugua sana tena akapata matezi shingoni miguuni vidonda baada ya muda mwaka 2011 alianzishia dozi ya arvs code 171 mpaka leo anatumia hizo dawa binafsi nimekuja kuyagundua haya mwezi watatu kwa kipindi chote alinificha siku mikakati ya ndoa nikaanza kufanya ss baada ya kupeleka barua ya posa nikawa najiuliza mbona mimba akipata zina haribika nikaset cm yake iwe inarekodi maongezi ndipo nikaja kusikia kwa mdomo wake yy na mama yake wakilizungumza mama yake alikuwa anamuuliza je mwanaume anajua hali yko mawanamke akamjibu hajui nilishiwa nguvu baadae nikaja kupekua pochi yake nikakutana na vidonge vya arv nikamilisha upelelezi wangu nikatafuta siku nzuri tukaa sehemu nikamuuliza kweli alikiri ni hiv + niliumia sana ila nilikuta namsamehe nikaenda kupima mm nikajikuta nipo salama yani sina huo ugonjwa nikaa baada ya wiki nikarudi tena hosp nikapima nipo salama na dokta aliniambia nisiwe na shaka baada ya kupata juzi jumatatu ilikuwa zamu yake kwenda kuchukua vidonge nilamwambia tuende wote tukaenda mpaka hind mandal hosp kweli nililipa ili kupimwa cd4 zake mana mara ya mwisho aliniambia alipima zilikuwa 567 na nilipa sh 3000 kumuona dokta na kweli wakati ukafika tukaingia kwa dokta baada ya pale tukaenda chumba cha dawa tukapatiwa vikopo viwili wallah hapo nikawa nimepata jibu sahihi kuwa mwenzangu ni mgonjwa sasa kuna vitu.najiuliza nilikuwa naishi naye kiwembe chake ndio kiwembe changu mm namtindo wa kungata kucha na vinyaama vya vidole na mie Namchezo wa kuchezea kule kwa vidole mpaka ss sijaelewa nm mimetokeà na bado Ninaye huyo mwanamke sasa kutokana na elimu ya ndugu yetu Nitapenda nimshauri huyu mwanamke wangu akapime tena isije naye akawa analishwa madawa bila sababu
Huu ndo ushahidi unaompa sapot ndugu Deception na nikweli matukio kama haya yapo sana tu sasa je huu sio uhalisia na ukweli wake?
Tue makini na hawana roho nzuri kama wanavyo jiganya.
Nikiri kuwa niliwahi kutumia ARVs (PEP) kama kinga nilipojaminiana na mdada hatarishi wazo nililopewa na wana JF.
Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/585017-mawazo-yananiua.html
Ndugu zangu nilipata mateso ya hali ya juu kwani madawa haya yana nguvu sana.
Nilianza kupoteza kumbukumbu,
Muda mwingine nakua sijielewielewi,
Nikawa nina hasira sana,
Nilianza onyesha dalili za kusumbuliwa na ini (nail decoloration ) Ikabidi nirudi hospitali kupimwa ufanisi wa ini.
Nashkuru nilimaliza salama dozi hii ya mwezi mmoja nikapimwa niko sawa.
Swali. Ingekua ndio nameza madawa haya siku zote ningekua wapi saa hii? Tuombe sana wadau tusiingie kwenye tatizo hili.
Ivi ni kwa nn tunaambiwa tupime tena baada ya muda fulani? Mbona magonjwa mengine tunapima nakupewa majibu na kuanza matibabu? Kuna nn hapa?
Unajua pia kuna kitu juwa sielewi, kuna tangazo moja redioni wanasema kama mtoto amebakwa umwawishe hospitali ndani ya masaa 24 ili kumlinda na UKIMWI, anayefahamu hebu atupe jibu hapa
Ivi ni kwa nn tunaambiwa tupime tena baada ya muda fulani? Mbona magonjwa mengine tunapima nakupewa majibu na kuanza matibabu? Kuna nn hapa?
mi kuna kitu kinaniumiza kichwa.. mbona hapo zamani watu walikua wakijulikana wana ukimwi baada ya mda afya inadhoofu, wanatoka dots mwilini na ilhali walikua hawatumii arv...labda hapo tatizo ni nini?
Wewe mbona hujibu unayoulizwa??unataka ujibiwe wewe tu tangia jana umeyaepuka maswali au huna jibu??!!Usivutie kila kitu kwako!!
Tell me whats a virus na kwanini hakuna tiba ya kuua virusi?? na kuna sehemu umesema virus hana host nakukosoa virus anae host na inaweza kuwa different living organisms thats a host.Na kwanini unafikiri kuna CCR5 gene mutation?how does a virus reproduce Mr Deception?
Ivi ni kwa nn tunaambiwa tupime tena baada ya muda fulani? Mbona magonjwa mengine tunapima nakupewa majibu na kuanza matibabu? Kuna nn hapa?
Muulize pia je hakuna virusi maana hata mi atanifumbua macho coz kuna ebola virus,human papilloma virus,herpes simplex virus,varicella zooster virus,hepatittis A,B,C,E virus,rotavirus,norovirus,influenza virus,rabiesvirus,poliovirus list ni ndefu mnooo......virusi sio vya HIV tu!!Na wote hao hawana dawa za kuwaua why????
Umefunga milango yako ya fahamu?Hivi unaelewa hata hoja zangu za msingi ni zipi?Wapi nimesema hakuna virusi?hebu ni quote wana JF waone.Unapojadiliana na mimi inabidi uwe makini sana.Sema wapi nimesema hakuna virusi.
Na kwa upeo wako ulivyo na jinsi mlivyofundishwa dawa kwako ni zile kemikali kwenye vidonge au maji,huna uelewa mwingine kuhusu dawa.
Yaani hoja zako hazipo kwenye kujenga,ni siasa tu.
Jibu Naona Amelitoa kuwa Ni Magonjwa mengine Kama TB n.k
ILA NIMEFIKIRIA JAMBO MOJA. KUNA KAMPENI INASEMA HIV HAISABABISHI KUDHOOFIKA ILA MAGONJWA NYEMELEZI.
Hii inanifanya niunganishe Dots za Deception na Kugundua kuwa Tunapigana Na Magonjwa Nyemelezi na Wala Si HIV
Vinaua au kusababisha vilema vya maisha ebola virus haiui?Hepatittis haiui?vingine vina vaccine na ndio maana watoto wanapozaliwa tu lazima wachomwe vaccine! Na ni kweli vinakwenda into latent stage ya virusi lakini vinaamka immune system ikiwa down!Hakuna dawa ya kuua virusi yoyote!Wamarekani wenyewe wameshindwa kuzindua dawa ya kuua virusi vya aina yoyote unafikiri hawataki kuzindua dawa hizo maana hata wao wanaathirika in the same level kama wengine!
Totally brainwashed,mtoto wangu simpeleki akasomee tiba za magharibi hata kidogo.Bado unaamini kwenye chanjo?Mtoto wangu nimemzuia kupata chanjo kwa nguvu na mpaka leo yuko safi.Bibi na babu zetu hawakupata hizo chanjo na hawakuumwa umwa kama miaka yetu tunavyoumwa pamoja na lundo la chanjo,unafiki mtupu na ukosefu wa elimu sahihi.
Hata hiyo Ebola ni feki pia,ila sina muda kwa sasa kulizungumzia hilo.Ukiniuliza kuhusu chanjo,nina uthibitisho mwingi tu kwamba ndizo zinazosababisha udhaifu kwa watoto wetu,na ukiniuliza kuhusu Ebola,nina uthibitisho kwamba huu ni ugonjwa feki,watu wanachokiona kwenye TV si kitu halisi.Wewe umeshajiuliza,kama wananchi wa nchi zilizoathirika na ebola wanasema kwamba ebola ni feki,kwa nini wewe ambaye unaangalia tu kwenye TV na haupo kwenye tukio unang'ang'a kuamini?
Hebu hayo tuyaache kwa sasa,mkiniuliza swali hapa sitawajibu ili kulinda mantiki ya uzi huu.Nilitaka niwape mwanga tu kidogo ili baadaye tutakapojadili iwe rahisi.Na ndio maana huwezi kusikia ebola imekuja Tanzania kamwe,ila wenyewe watakwambia huioni kwa kuwa imedhibitiwa.Ebola utaisikia kwenye strategic areas peke yake. Nawachukia wamarekani sana lakini nawaheshimu sana kwa uongo.
-Wamedanganya Sept 11
-Wamedanganya vita dhidi ya madawa ya kulevya
-Wamednganya kuhusu ebola
-Wamedanganya mambo ya chanjo
-Wamedanganya kuhusu global warming
-Wamedanganya Vita dhidi ya cancer
-Wamedanganya kwamba bangi haramu
-Wamedanganya kwenye GMO(Genetic Modified Organisms/Food)
-Wamedanganya Vita ya kwanza ya dunia
-Wamedanganya vita ya pili ya dunia
-Wamedanganya Vita ya vietnam
-Wamedanganya vita ya Iraq
-Wamedanganya Vita ya Afghanistan
-Wamedanganya Vita ya Siria
-Wamedanganya Vita ya Libya
-Wanadanganya mgogoro wa DRC
-Wanadanganya mgogoro wa Ukraine
-Wanadanganya kuhusu alternative energies
-Wamedanganya kuhusu US Federal Reserve System
-Wametudanganya kuhamia kwa lazima digitali kutoka analogia
-Wamedanganya kuhusu Alqaeda
-Wamedanganya kuhusu ISIS
- Wamedanganya kuhusu HIV/AIDS ambalo ndilo tunajadili sasa.
Sasa mimi sina uwezo wa kumshawishi mtu kuamini,ila mimi niko huru hapa duniania kwa kujua huu ukweli.
-Nimepiga chini chanjo-Ukibisha shauri yako
-Natibu ndugu zangu cancer-Ukibisha shauri yako
-Natibu ndugu zangu kisukari-Ukibisha shauri yako
-Naachisha watu ARVs-Ukibisha shauri yako
-Nina uwezo wa kutengeneza diesel ya kuendeshea mashine kwa kutumia bangi-Ukibisha shauri yako
Na mambo mengine lukuki.
Ninachofanya ni kutoa elimu ya bure kwa wengine kwa sababu najua umuhimu wake.Kukubali au kukataa,yote ni maamuzi ya mpokeaji.Nimetimiza wajibu wangu.
Dah, ningeweza kukuamini lkn bahati mbaya ID unayoitumia (Deception) hainiruhusu nikuamini.
Vv