Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Yani bado narudi pale kwamba ndugu yetu kauliza mambo ya msingi sana. Na yawezekana umeshajibu huko awali na post ni nyingi, ila unazijua zako. Ishu ni kwamba, Kwa nini Bukoba walikufa sana kuanzia baba, mama, watoto, mahawara, n.k? tena kwa dalili zile zile? Nasikia pia wapo watu wanaoitwa carrier (sijui kama ni sahihi). Hawa wanaambukiza tu ila hawaugui HIV.
Ninyi watu mnarudisha mjadala nyuma jamani,,kwann hamtumii muda wenu kidogo kupitia huu uzi kabla yakuchangia au kuuliza maswali?