Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Yani bado narudi pale kwamba ndugu yetu kauliza mambo ya msingi sana. Na yawezekana umeshajibu huko awali na post ni nyingi, ila unazijua zako. Ishu ni kwamba, Kwa nini Bukoba walikufa sana kuanzia baba, mama, watoto, mahawara, n.k? tena kwa dalili zile zile? Nasikia pia wapo watu wanaoitwa carrier (sijui kama ni sahihi). Hawa wanaambukiza tu ila hawaugui HIV.
Kuna watu wanasema mimi nina UKIMWI ndio maana nashabikia, sasa sijui nashabikia nini, yani mtu uwe na UKIMWI then upinge matumizi ya ARV? Ajabu, yani watu ni wajinga sana, na ndio maana watu wanaogopa kuchangia humu
Mimi nasema asilimia nyingi ya watu wanaosoma humu na kuogopa kuchangia ni wale watumiaji wa ARV wanaogopa wakiuliza humu Live watu watawajua, wanakimbilia PM. Unadhani kama mimi nina matatizo yangu nashindwa kwenda PM na kuongea kimya kimya? Why nije hadharani?
Wengine wanasema Deception kanihonga niwashawishi watu waamini uongo wake, mimi nimekuwa Mungu mpaka niwafanye watu waamini kitu?, yani yote hayo ni kuchanganyikiwa na kutafuta faraja. SIna undugu na deception nimemfahamu humu tu kama wengi wenu humu.
Ninyi watu mnarudisha mjadala nyuma jamani,,kwann hamtumii muda wenu kidogo kupitia huu uzi kabla yakuchangia au kuuliza maswali?
Ndo shida ya watanzania mkuu hawapendi kujifunza jambo jipya...kile walichokaririshwa darasan na wanachokiona mtaani hawawezi kuhoji hata kidogo...
Kuna watu wanasema mimi nina UKIMWI ndio maana nashabikia, sasa sijui nashabikia nini, yani mtu uwe na UKIMWI then upinge matumizi ya ARV? Ajabu, yani watu ni wajinga sana, na ndio maana watu wanaogopa kuchangia humu
Mimi nasema asilimia nyingi ya watu wanaosoma humu na kuogopa kuchangia ni wale watumiaji wa ARV wanaogopa wakiuliza humu Live watu watawajua, wanakimbilia PM. Unadhani kama mimi nina matatizo yangu nashindwa kwenda PM na kuongea kimya kimya? Why nije hadharani?
Wengine wanasema Deception kanihonga niwashawishi watu waamini uongo wake, mimi nimekuwa Mungu mpaka niwafanye watu waamini kitu?, yani yote hayo ni kuchanganyikiwa na kutafuta faraja. SIna undugu na deception nimemfahamu humu tu kama wengi wenu humu.
Huo Ukimwi wamekupima au? Tatizo watu ni waoga na hawapendi kujifunza mambo mapya Yale waliokremishwa bila hata Ku challenge na kuangalia upande wa pili wa shilingi. Hii mada ni nzuri sana tu kujifunza sema watu wanaogopa kuisiwa ati!
Nilitegemea tena madaktari wamchallenge Deception lakini hamna kitu wanadai siasa.
Hii kitu mi nilisikia watu mbalimbali wakiongea na hapa nimeona kitu.In short Watanzania tupende kujifunza vitu vipya.
UKIMWI una privacy? Waje watuelezee humu walivyopima na kupewa dozi na experience yao kuhusu ARV ili wengine wajifunze kupitia wao
Ndio maana nakwambia usome toka mwanzo, we tulia soma vizuri, maswali yako tu yanaonyesha hujafuatilia toka mwanzo, ndio maana nakusisitizia usome
Wewe ni muongo hupendi kujifunza kama unavyodai ila unataka ligi ambayo apa ndio nyumbani kwake, ila tu bahati mbaya huu si wakati wa ligi ni wakati wa kufahamishana tu na kueleweshana
Mimi na deception ni ID mbili na wawili tofauti wenye imani tofauti na ndio maana deception haamini kama ukimwi upo ila mimi naamini upo na unaua, ila kwa upande wa ARV unaruhisiwa tu kusema mimi na deception ni mtu mmoja
Hahaaaa .toka Uzi huu umeanza hakuna hata MTU mmoja aliyejitolea kuthibitisha au kukiri anatumia ARV japo I'd zetu feki ila hapo pagumu
Warumi ngoja nisaidie kuelewesha ni hivi Deception amesema UKIMWI/AIDS na tena ulikuwepo tangu zamani ila asichokubaliana nacho ni kuwa Ukimwi hausababishwi na VVU/HIV kwasababu VVU ni kirusi kisichonauwezo wa kupunguza kinga mwilini ( kutokana na taarifa za kisayansi) sasa unapogundulika kuwa una VVU haimaanishi tayari una UKIMWI, sasa kwenye ARV Deception anaamini ndo zinazopelekea pia kuwa na UKIMWI kutokana na side effects zake zinazosababisha kupungua kwa kinga mwilini na hata mwili kushindwa kuhimili magonjwa nyemelezi
Najaribu kukuelewa mkuu,,sasa ukimwi unasababishwa na nini kama c hiv?
Hivi ushawahi kusikiliza Hata Matangazo mkuu? Hata Matangazo yanakuambia mtu anayepata HIV si Amepata Ukimwi ila Magonjwa Nyemelezi kama TB n.k yakikupata ndipo unapata Ukimwi. Ndio maana Hata Deception anasema HIV ni Hewa Tu kinachotakiwa kuogopwa ni Hayo magonjwa Nyemelezi maana Bila Yenyewe kuwepo na HIV hayupo pia. Maana Bila TB kumshambulia Mgonjwa au Parasites wakasababisha aarishe Basi HIV hawezi kumfanya Mtu Chochote kile..
Ndo maana Wanatangaza Vita zidi ya Magonjwa Nyemelezi sana kuliko hata Huyo HIV mwenyewe.......
Hii inamaana HIV hajaqualify kuitwa Mdudu maana Hawezi Ku stand Alone akasababisha Mtu akafa ila Magonjwa hayo ambayo Ni Nyemelezi kama Vile TB ambayo inaweza Kumfanya Mtu akonde.. Akohoe mfululizo... Protozoa zitakazomfanya Aharishe sanaa.... N.k ndizo zinasababisha Na Wala Si HIV..
Mi ndo nilivyomuelewa Deception
Na Tukipambana Na Hayo tu Magonjwa Jua Kuwa tumeshamshinda HIV nguvu maana Hana Jeshi. Au mtu akipatwa na TB au Protozoa wa Kumfanya Aharishe Na Tukawatibu hao TB na Protozoa basi Mgonjwa Napeta

Huu Uzi unanielimisha sanaaa..asante Deception
Uogopi kuambiwa na wewe muathirika?