Style hiyo aliitumia Zuma, raisi wa Afrika ya kusini.
Ndio maana nikasema jambo hili ni pana sana na nina mambo mengi sana kuelezea watu. Ukweli ni kwamba, Zuma ni muongo kupindukia,aliongea hivyo ili kurudisha imani ya watu ambayo imeshapotea kuhusiana na ugonjwa huu.
Thabo Mbeki alishawafunua wananchi wake kuhusu ukweli wa ugonjwa huu kwamba ni feki na aliwaambia kwamba yeye haamini kama unasababishwa na HIV na akawapa sababu,hivyo watu wengi walimuelewa na takwimu za matumizi ya ARVs zilishuka sana na watu wa SA hadi leo hawaogopi kabisa ukimwi kwa kuwa wameshaelimika na wanajua kwamba ni feki, bado sisi vichwa ngumu kuelewa. Na hii ndio sababuiliyomfanya Thabo Mbeki apigwe chini kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi na kumweka Zuma ili arudishe hali nzuri ya soko la ARVs.
Mimi kuna askari mmoja ametembea na wanawake wenye ukimwi zaidi ya wanne na amekuwa akipima mara kwa mara yuko vizuri. Mpaka wakati mwingine yeye huwa anajishangaa maana haamini. Alikuwa ni mmoja wa waliopewa chanjo ya ukimwi ya majaribio.
Kabla ya kutoa uthibitisho wangu,ninyi wenyewe wana JF mnatoa uthibitisho. Hakuna chanjo ya ukimwi. Hata mimi naweza kutembea na mtu anayetumia ARVs bila kinga mara nyingi na naweza pia kujikata na kujiwekea damu ya mtu huyo na siwezi kupata ukimwi/VVU.
By nature,ugonjwa huu haupo,ila jamaa wametumia akili nyingi tu kudanganya watu,wametumia uongo wa kisayansi ili watu waamini kama kweli ugonjwa huu wa HIV/AIDS upo kitu ambacho si kweli.Watu wanajua kwamba AIDS inasababishwa na HIV hivyo mtu hupewa ARVs, kumbe ARVs baada ya muda fulani ndio husababisha AIDS,hili watu wamefumbwa,hawalijui.
Na kama mtu yeyote anaumwa na hatumii ARVs basi lazima atakuwa na tatizo la msingi linamsumbua na akipewa dawa husika anapona kabisa na haitajia kula ARVs maisha yake yote hata kama ameonekana ana HIV,kwa kuwa nilishasema mwanzo kwamba HIV hana madhara na zaidi ya hapo vipimo hivi ni feki na nitaeleza kwa nini ni feki baadaye.
Dah! Kwanini unasema HIV/AIDS ni feki na vipimo vyake kwanini viwe feki pia?
HIV/AIDS ni feki kwa kuwa AIDS haisababishwi na HIV na HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS na ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana sasa,mara watu hukwambia "ni vigumu sana kupata HIV kwa kufanya ngono",ukweli ni kwamba HIV haambukizwi kwa njia ya ngono.
Wengine husema "kuna watu wana HIV lakini hawadhuriki" watu hawa huitwa carrier,huu ni uongo pia,kila mtu hawezi kudhurika na HIV,hata wewe pia. Walichofanya hawa jamaa wamefanya utafiti ni contradiction gani inajitokeza kwenye uongo huu waliotulisha halafu wakatafutia majibu yake ili kuendelea kuwapa watu imani kwamba kweli VVU/Ukimwi upo na unaua ilihali kinachoua ni ARVs.
Vipimo vyake ni feki kwa sababu havipimi HIV mwenyewe kwa muonekano kama ilivyo kwenye baadhi ya magonjwa kama vile malaria,TB au Typhoid.Walikataa kutuia electronic microscope kwa kuwa wenyewe wanajua kwamba HIV ni feki,haonekani.
Na ndio maana hadi leo hii muulize daktari yeyote ambaye unamwamini wewe ni kichwa kama kashawahi kumuona HIV hata kwa kutumia vyombo vyao katika maisha yake yote ya udaktari,atakwambia hajawahi kumwona,sasa kama hajawahi then nini tunachokiamini basi?Ile picha ya HIV kwenye vitabu vyao waliipata wapi?
Vipimo hivi hupima kinga ya mwili dhidi ya protini fulani ambazo zinaaminika zinatoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee,kuna mambo mengine ndani ya mwili huweza kuzalisha protini hizo na mtu akaonekana ana HIV kwa kutumia vipimo hivi(kumbuka bado kwamba HIV hasababishi ukimwi).
Mojawapo ya mambo hayo ni magonjwa mbalimbali kama vile TB,hali ya mimba kwa wanawake pia husababisha kuzalishwa/kutolewa kwa protini hizo.Haya ninayoongea kamwambie daktari yeyote yule mwelewa hatapinga.
Nzowa,
Umenifanya nikimbilie maliwato haraka kujicheki. Hivi uume mdogo ukoje na uume mkubwa mpaka unasababisha michubuko ukoje?
Back to the point.
Si kila kumlala mwanamke mwenye ukimwi kunaleta maambukizi hayo. Ninawajua watu flani sasa ni marehem, waliacha wake zao na hakuna hata mmoja mwenye hiyo kitu. Hapo nasema kwa ukakamavu kabisa. Cha kushangaza mmoja alizaa na mama kati ya hao vitoto vimekwisha tangulia lakini hawaa wawili ni wazima.
Haya; Si kila mwanamke atalala na mwenye ukimwi aupate pia. Mbona hawa wamama hawana? Ukimwi ni adhabu flani hivi. Siye tunapiga kavu kavu nyingi tu bado hata dalili hakuna. Huna haja ya kilainishi, mwandae vizuri, usilogwe ukaenda nje ya mipaka yaani kinyume na maumbile. Huko hata umwandaeje, hakuna kilainishi chochote kule ila tangi bovu tu kule.
Mkitaka sikieni hamtaki endeleeni hata ukivaa kondom 2, ni bure. Miye ka ni mipira hiyo sivai naacha naenda kulala
Mkuu mangatara,maneno yako yanaendelea kuthibitisha mkanganyiko nilioueleza hapo juu.Imebaki imani tu kwenye ugonjwa huu kama zilivyo imani nyingine,lakini uhalisia haupo hapo.Tatizo hapa linakuja kwa sababu maneno haya kwamba ukimwi ni hatari yamerudiwa mara nyingi sana kwenye vichwa vya watu na hatimaye yakageuka kuwa imani ambayo imechanganyika na woga.Na hili ndio lengo lao,yaani uogope.
Lakini hamna sayansi hapa kwenye ugonjwa huu.Sayansi ya kweli inapingana na kila nyanja ya ugonjwa huu feki.Hakuna kirusi kilichotengenezwa maabara hapa, hizi ni propaganda ili kukuaminisha kwamba kweli kirusi kinachosababisha ukimwi kipo wakati ukweli ni kwamba hakipo.
Maneno haya sikusema mimi,bali nimejifunza kutoka kwa madaktari wazoefu duniani wenye akili zao timamu na wengine wana nobel prizes kwa kugundua vitu mbalimbali na wamefanya tafiti za kutosha kuhusu jambo hili,hivyo jambo hili si la kubeza,ni ukweli mtupu,lakini kitu kipya kinapoingia kwenye bongo za watu huwa ni vigumu sana kupokewa na ubongo.
Mimi mwenyewe nimefanya tafiti zangu binafsi kuthibitisha wanachosema madaktari hawa na nimegundua kwamba wanachosema ni kweli kwa 100%.Nina evidence za respects zote.Thabo Mbeki sio chizi,ana akili zake timamu alipopinga suala hili,hivi watu hawastuki bado?Museveni naye analijua hili,yaani raia wengi wa nchi za Afrika wamefanywa kama ng'ombe na viongozi wao.
Ni viongozi werevu na wenye huruma tu na wananchi wao ndio wamethubutu kusema ukweli huu,na hao pia wamewekewa vikwazo kwa kugusa maslahi ya watu wakubwa.Hebu tuamke ndugu zangu.Kama huelewi au huamini ninachosema basi fanya tafiti mwenyewe na nina uhakika utarudi tena hapa kuni PM.
Na ndio maana kapeni nyingi za mambo haya ziko Afrika zaidi kwa kuwa ndiko kuna soko kubwa na wateja wake hawana akili za kuhoji,wanajikusanyia tu mapato.Inatia huruma na hasira sana.HIV/AIDS ni biashara ya ARVs tu na si vinginevyo.
Kwa kuanzia fuatilieni link hapo chini mumsikilize Dr(sasa hivi ni Prof) Peter Duesberg;Huyu mzee hakuna wa kumfananisha naye kwenye field hii ya virusi duniani,na amepata hasara kubwa sana baada ya kusema maneno haya kwenye public. Alishindwa kuvumilia kuona watu wanakufa bila hatia.