Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


Mkuu ile aya kwa juu ifanyie kazi. Hii nyingine imekujs kimakosa. Lakini yote ni yaleyale,ipitie pia.
 
 

Angalau unajua kwamba kuna biashara ya ARVs inafanyika.

1.Kama ulichosema hapo kwenye nyekundu ni kweli.Je,kwa nini madaktari/maprofesa wanaopinga HIV/AIDS wanazuiwa kwenda kwenye international HIV/AIDS conferences kutoa lectures na articles zao haziruhusiwi kuwa published kwenye medical journals kama The Lancet nk?Wewe huoni kwamba haya maeneo niliyotaja ni rahisi sana kuwafikia watu wengi wanaomini HIV/AIDS ili kuwarubuni/manipulate?Kwa nini wanazuiwa kuingia maeneo hayo?

Pia kwa nini hao wagunduzi wa HIV wanakataa kufanya open debate na madaktari wanaopinga?Huoni kwamba hizi ndio nafasi nzuri kwao ku manipulate watu?

2.Kuna watu nimewaachisha ARVs na bado wanadunda muda mrefu sasa,pia wapo watu wengi ambao hawatumii ARVs na wamepimwa HIV+ muda mrefu sasa.Kama unasema kesi za HIV type 2 ndio chache zaidi,kwa nini huku kwetu ziwe nyingi sana kiasi hicho?Hata wewe ukiamua tu kufanya utafiti ili kujiongeza uwe doctor mzuri na mwelewa zaidi ya wenzako basi jaribu kufanya huo utafiti na utagundua tu kwamba kesi hizo ziko nyingi sana hapa kwetu.

Hebu msikilize huyu mgunduzi wa HIV hapa chini halafu toa mchango wako kuhusu anachosema:

https://www.youtube.com/watch?v=XSSpoFq7uhM
 
nimekuwa confused kidogo,sasa wale wanaokufa kwa UKIMWi nini huwa kinawaua kama unasema hakuna UKIMWi?


Nini hupelekea wao kudhoofu mwili?

1.Unaweza kuni quote ni wapi nimesema hakuna ukimwi?

2.Kwani wewe hujui kwamba kuna magonjwa mengi tu yanaweza kudhoofisha mwili?Kwa mfano,hujui kwamba TB inadhoofisha mwili?
 
Nilibanwa kidogo samahani, ila ningependa kupata ufafanuzi zaidi,kusema kuwa mpaka ungewaona ndipo maelezo ya kuwa ni nini kiliwasibu kimeniacha njia panda,hawa watu walikuwa kwenye circle moja na wote kikawatokea kimoja.(bado inanitia mashaka kuwa ilikuwa ni kitu kimoja kiliwasababishia hilo).Imekuwa ngumu mimi kuamini kuwa kulikuwa na mambo mengine yaliyosababisha hayo.

Na katika maelezo yako unakubali kwamba AIDS ilikuwepo muda mrefu tu kabla haijageuzwa kibiashara,je watu walitambuaje kuwa mtu anao?(dalili), na walithibitishaje ndio wenyewe?(vipimo), na matibabu yalikuwaje?(dawa), na kama ulikuwa unatambulikana uliitwaje kwa huku kwetu(Africa).Nimeuliza hivi ili tujue kama ulikuwa common hivyo kuwezesha watu kurudi nyuma kabla ya ARV's na kupata maarifa ya kweli.
 
 
Nashukuru kwa majibu mazuri,kama hutojali unaweza kuelezea kivipi kinga ya mwili inaweza kumaliza HIV kwenye mwili(mechanism).Kwa sababu kwa maelezo ya madaktari jinsi wanavyokielezea kirusi na hizo cells za mwili ni next to impossible kwa cells hizo kuvimaliza virusi.
Kuhusu ya kwamba nitamsikiliza mgunduzi au daktari wa bongo,naamini nitamsikiliza mwenye scientific facts zaidi kwa sabaabu ugunduzi huendelezwa kwa utafiti na mgunduzi hana hatimiliki ya knowledge,wengine huwa wanaendeleza alipoishia.
 

Ha haa punguza umbeya Warumi lol

Back to topic kumbe tunamalizwa kimyakimya bila kujua aise
 

Hao wagunduzi ndio wana hizo zinazoaminika kuwa ni scientific facts na ndio wanaosimamia jopo la watafiti kuendeleza utafiti zaidi kuhusu HIV/AIDS.
Hivyo basi,hata kama daktari wa bongo ana scientific facts,lazima atakuwa amepata kutoka kwao,madaktari wa bongo hawana uwezo wa kufanya tafiti zaidi ya hao wagunduzi kwa kuwa hawana fund na maabara za kufanya hivyo.
 
Ha haa punguza umbeya Warumi lol

Back to topic kumbe tunamalizwa kimyakimya bila kujua aise

Ahaha lol

Hata mimi wala sikutilia maanani hii ishu ya deception, ila niliamua kuruhusu milango yangu ya fahamu kupokea na kuyatafakari kwa jicho la tatu,jicho pevu, ndipo nikaanza kugundua kitu,nikauliza maswali yangu yote yaliyokuwa yakinitatiza kuhusu ARV na UKIMWI, hakika nimejua mengi zaidi niliyokuwa siyajui, ukitaka kuelewa zaidi siku zote ni kusikiliza na kuuliza maswali pale unapotatizwa
 
Ina maana hata nchi zingine zilizoendelea, wapinzani wakubwa na washindani kama China,Russia na Iran ambao ninaamini wana biotechnology inayowawezesha kufanya tafiti hizi nao pia wamepumbazwa kama sisi,sababu suala la AIDS na ARV'S huko makwao ni kama huku Africa lilivyo.
Kuhusu utafiti ninaamini madaktari wetu uwezo wanao tatizo ni funds na miundombinu.
 
Kwenye moja ya maandiko yaliyoletwa kwenye post #660,Dr. Raxit Jariwalla, professor of virology,one of the world's leading researchers in the field of AIDS and nutrition. In the questions and answer session,

Aliulizwa w
hat does the diagnosis “HIV-positive” mean?

Akajibu kuwa
“HIV-positive” means that a person has antibodies to this virus – not necessarily the presence of an intact virus. The presence of antibodies to HIV only implies that the person at some earlier point was exposed to the virus.

Sasa hapa umenikumbusha tukio la muda kidogo,kuna mtu wangu wa karibu alipimwa akakutwa na maambukizi,alihuzunika,akasikitika na kupanick sana.Baada ya muda akaja mtu akamwambia kwa sababu alitumia madawa ya typhoid kwa muda mrefu ndio maana CD4 zake zikawa chini hivyo akaonekana ameathirika.Na ni kweli alikuwa anaugua typhoid mno alikuwa akiyameza madawa hayo kwa miaka kadhaa,alikuwa anapima typhoid na kubadilisha dozi tu miaka nenda miaka rudi,bandika bandua dozi za typhoid bila kupumzika.

Akashauriwa asitumie dozi nyingine yoyote ya typhoid,anywe maji mengi ya kutosha,afanye mazoezi mepesi na kula vizuri ili kupandisha hizo CD4.Baada ya kufata ushauri huo hata haukupita muda mrefu sana akapimwa typhoid akaambiwa imeisha na vipimo vya UKIMWI akaambiwa yuko NEGATIVE.Na ni mzima mpaka leo kapima mara kadhaa na kaambiwa yuko salama na ni mtu mzima tu kwa sasa yuko kwenye 50's.(

Sasa najiuliza hivyo vipimo vya hapa bongo vilikuwa vinapima "antibodies wa HIV" au vilikuwa vinapima CD4's? Maana mpaka leo bado niko kwenye mshangao,swali hili nimelielekeza kwa madaktari wetu waliomo humu,anayewajua awape habari walijibu.
 

Wale walee...
 
Swali lingine aliulizwa,Does HIV cause AIDS?


Akajibu,
HIV has been linked to AIDS but, but there is no scientific evidence that it is the sole cause of AIDS. It is an undisputed scientific fact that it takes on an average 9 to 10 years (!) from HIV infection to the manifestation of the symptoms of AIDS in those who develop it.

Ukisoma jibu lake katika sentensi ya kwanza,anasema kuwa HIV ipo linked(!) to AIDS akaendelea kusema kuwa hakuna scientific evidence kuprove kuwa it is the "sole"(it can lead to AIDS lakini kuna other causes pia).Lakini kulingana na maelezo yako ulikataa kabisa kuwa HIV hayuko linked kabisa to AIDS.

Anaendelea kusema kuwa inachukua miaka 9 mpaka 10 kutoka infection ya HIV(Hapa anakubali kuwa HIV inaweza kuwa infected,ningependa unieleze inakuwa infected kwa njia gani) mpaka mtu anapokuja kuonyesha dalili za AIDS.


 

Kama yale maswali yako ya mwanzoni kabisa ulipoingia kwenye uzi huu yangekuwa na details kama hizo hapo juu,wala isingekuwa vigumu kukujibu kwa hoja zenye mashiko.
Kumbe mifano unayo,unachotakiwa sasa ni kusoma sana yote niliyoandika halafu hiyo mifano yako pamoja na ya watu wengine utaitumia kama vielelezo/vithibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…