Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Deception nina swali kaka yangu hivi hawa madaktari mbona hawajiulizi kwa nn the same people funding the supporters of hiv causes aids hawataki ku sponsor hiv does not cause aids? Unajua ni swala la ajabu coz scientifically ndio inavotakiwa kupatikana kwa dawa. Wabishane mpaka mwenye strong evidence ashinde lakini wao wanajitoa kwenye ku finance research zinazopinga ama kweli wazungu wametuweza elimu ya mkolonikila kitu from mkoloni tusipoamka nchi ni yao hii ni umelo tu umetawala
Kwa uelewa wangu mm wa kizungu pori Makrefa neno has been linked but! Mpaka hapo tu anamaanisha hiv anasingiziwa kama nakosea mnisahihishe
Jenga utamaduni wakupenda kusoma..kila unacho uliza kimeshangumziwa humu ndani...
Heshima kwako mkuu deception mimi nafikiri hata hawa mods wenyew wameamua kuurudisha huu uzi upya nafkiri baada ya kuona una fact na kuna kitu unique hapa.
My intake:
Mods nawaomba huu uzi muuweke sticky maana ni uzi ambao umegusa watu wengi na jamii kwa ujumla.
Ulichukua kipande kidogo cha sentensi,para nzima inasomeka kama hapa chini
HIV has been linked to AIDS but, but there is no scientific evidence that it is the sole cause of AIDS. It is an undisputed scientific fact that it takes on an average 9 to 10 years (!) from HIV infection to the manifestation of the symptoms of AIDS in those who develop it
Hakusema kuwa HIV hasababishi AIDS,amedai kuwa hakuna scientific evidence inayoonyesha kuwa HIV ndio cause ya "pekee" ya AIDS,kwa namna fulani ni kama anakubali kuwa HIV ni cause ya AIDS ila kuna vingine pia ambavyo vinaweza kusababishi AIDS na sio kwamba HIV peke yake ndio mwenye uwezo huo.
Mwisho kabisa anadai kuwa kuna ushahidi wa kisayansi kuwa inachukua wastani wa miaka 9 mpaka 10 kwa wale waliokuwa infected na virus kudevelop symptoms za AIDS,na kwamba sio watu wote waliokuwa infected na huyo virus watadevelop AIDS.
my take.
Sasa kama kisayansi inachukua miaka 9 mpaka 10 aliyeathirika na virus kudevelop AIDS,hizo ARV's zinachelewesha hizo symptoms za HIV kwa muda gani ikiwa kinga ya mwili tu yenyewe inachukua miaka 9 hadi 10?
Pia kama kuna daktari hapa anijibu post #817 ,nilisoma wengine madaktari hapa mnaowajua muwamention kwenye post hii na #817 ,je miaka ya nyuma kwenye test ya HIV mlikuwa mnapima CD4's au antibodies za HIV?
10 scientific reasons,why HIV is not the cause of AIDS:Hebu pitia hiyo doc hapo chini, na pia utakuta nyingine nyingi zinaendana na hiyo.Tulia kabisa wakati unapitia hiyo doc,halafu kama unataka scientific paper kuthibitisha hiyo doc pia utapata na kama pia unataka physical evidence katika maisha yetu ya kila siku kuthibitisha hiyo doc na hiyo scientific paper pia utapata.Karibu.
https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0
Deception katika maelezo yako unakubali kwamba AIDS ilikuwepo muda mrefu tu kabla haijageuzwa biashara,je watu walitambuaje kuwa mtu anao?(dalili), na walithibitishaje ndio wenyewe?(vipimo), na matibabu yalikuwaje?(dawa), na kama ulikuwa unatambulikana uliitwaje kwa huku kwetu(Africa).Nimeuliza hivi ili tujue kama ulikuwa common hivyo kuwezesha watu kurudi nyuma kabla ya ARV's na kupata maarifa stahiki....
...Na pia kwa kuwa kwa maelezo yako ni kuwa hao HIV hawawezi kushusha CD4's kwenye mwili,je hao HIV wana madhara gani katika mwili wa mtu au ni friendly kwenye mwili kama baadhi ya bacteria.
Fighting HIV where no-one admits it's a problem.......The phrase "Aids epidemic" awakens distant memories in most of Europe, Australia or the Americas, where infection rates have generally been in decline for years. But as former UK Health Secretary Lord Fowler explains, the phrase is not used in Russia either - despite failed policies that have allowed infection rates to soar........For years Russia has remained remarkably silent on the challenge it faces from HIV and Aids. Now that silence has been broken by an epidemiologist who has been working in the field for more than two decades - and he calls the situation "a national catastrophe"..........There are about one million people living with HIV today in Russia and year on year the rate of infection is rising, unlike sub-Saharan Africa where the rate of increase is slowing. This is according to Russia's official figures, which almost everyone agrees are a substantial underestimate of the true position.
Last year some 90,000 Russian people contracted HIV, compared with fewer than 3,000 people in Germany, which has one of the lowest rates of HIV infection in Europe. Germany's population may be half the size of Russia's but the difference here is a factor of 30......."We need to spend 10 times more on prevention," Pokrovsky told me recently. "We need many more resources and we need some political decisions - and changes in the law in connection with methadone and the private lives of individuals."......"There are 80-100 cases of HIV infection among women a day. This is no joke - a day. They are mostly young women, aged from 25 to 35 years and they are the main new risk group," he told me.........Almost 60% of those with HIV in Russia are injecting drug users and a further group are the sexual partners of the drug users. The HIV virus has spread like wildfire via contaminated needles and syringes..........Global Aids epidemic in 2013
People living with HIV35m - 31.8m adults and 3.2m children under 15
New HIV infections2.1m - 1.9m adults and 240,000 children under 15
Aids related deaths1.5m - 1.3m adults and 190,000 children under 15........Everyone agrees that the most important aim of global policy must be to persuade more people to step forward for HIV tests. But why should you come forward if you risk discrimination? At present only half of those around the world with HIV know their condition, so many will continue to spread the virus - and the battle against Aids is set back further.......haya hii ni news ya leo BBC nimejaribu kuikata kata sana kiufupi hata europe wanapimwa , wanapewa dawa . Na wanaambiwa waachane na un protected sex inaleta ukimwi . Kazi kwetu
BBC??? same mainstream media, anyways u can take it or leave it, nobody force u into anything here, Mr deception is either trying to educated us or lying so chose what u think Is good for u. For what I know white people don't like black skin. Be aware, that the fact. I know some few black st**id will say am *******, naaa u know that.
BBC??? same mainstream media, anyways u can take it or leave it, nobody force u into anything here, Mr deception is either trying to educated us or lying so chose what u think Is good for u. For what I know white people don't like black skin. Be aware, that the fact. I know some few black st**id will say am *******, naaa u know that.
Mkuu,AIDS haikuwa ishu kubwa ya kutisha kipindi cha nyuma na watu hawakuitilia maanani sana.Watu walikuwa wanaangalia zaidi specific diseases kama malaria,TB,pneumonia nk.Wanatibu magonjwa husika halafu maisha yanaendelea,kwa kuwa mara nyingi mtu hupata ugonjwa wa kuambukizwa kama kinga imeshuka kidogo,hivyo watu hawakujihusisha sana na AIDS kama ugonjwa ila walikuwa wanajua kwamba mtu huweza kupata magonjwa mbalimbali kama kinga ina matatizo,hivyo kulikuwa na tiba mbalimbali hasa zile za vyakula na unapewa dawa ya ugonjwa husika kama unao,unapona kabisa na maisha yanaendelea.
AIDS imekuwa popular baada ya media kuitangaza mara kwa mara huku wakitoa video za kutisha na kusema inasababishwa na HIV,matangazo na video za bure zilisambazwa sehemu mbalimbali ulimwenguni hata hapa Tz tuliwahi kuletewa video hizo na kiingilio ilikuwa ni bure.Walifanya matangazo kwa muda mrefu sana mpaka watu wakaamini kwamba AIDS ni ugonjwa mgeni unaosababishwa na HIV.Kumbe zile dalili wanazoziona zinasababishwa na mambo mengine kabisa tofauti na walivyoambiwa,lakini watu wanaendelea kuamini hivyo kwa kuwa matangazo yalishaingia sana kwenye bongo zao kiasi kwamba huwezi kumshawishi mtu kwamba HIV hawezi kusababisha AIDS.Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha kushuka kwa kinga yaani AIDS,lakini kwenye sababu zote hizo HIV hayumo.
Hawana madhara zaidi ya labda kusababisha mafua tu kama kweli utakuwa nao,nasema hivyo kwa kuwa HIV kutokana na genetic comp waliyoitoa hao wagunduzi ameangukia kwenye kundi la retrovirus.Retrovirus wote hawana uwezo wa kushusha kinga.Hao wagunduzi wenyewe hawawezi kuthibitisha kwamba HIV anashusha kinga na ndio maana mifano hai ipo mingi tu ya watu waliopimwa HIV+ na wameishi miaka mingi tena zaidi ya hiyo 10 wanayoisema wao ya latent period bila kupata AIDS.Hapa watakwambia kwamba kuna HIV-1 na HIV-2.HIV-2 ndio anaweza kuvumiliwa na kinga ya mwili kwa muda mrefu sana lakini strain hii ni asilimia ndogo sana,sasa kama strain hii ni ndogo kwanini hapa Tanzania peke yake kuna kesi nyingi sana kama hizo?
Madaktari huwa hawakosagi jibu,hata kama hao wenyewe wanajua kwamba jibu wanalotoa halina mantiki.
Akili kichwani.
Kuna jamaa yangu baada ya kugonga demu ambaye inasemekana ameumia,huwa anajitetea eti unaweza ukalabua kavu na usipate.
Duuh"" io Kali.. sa chakufanya ki2 kimoja ..umesema kwamba HIV hasababishi AIDs , anasababisha mafua. .. Fresh 2 ..
Unaonaje 2kaingia kwenye njia ya vitendo??
2taftane tusainishane documents mbele ya lawyer
Then nkupe intravenous injection ya serum from infected patient .. niwe namonitor CD4 count zako periodically afu natoa feedback kwa wakereketwa...?? ...
Unaonaje io ki2?