Ulichukua kipande kidogo cha sentensi,para nzima inasomeka kama hapa chini
HIV has been linked to AIDS but, but there is no scientific evidence that it is the sole cause of AIDS. It is an undisputed scientific fact that it takes on an average 9 to 10 years (!) from HIV infection to the manifestation of the symptoms of AIDS in those who develop it
Hakusema kuwa HIV hasababishi AIDS,amedai kuwa hakuna scientific evidence inayoonyesha kuwa HIV ndio cause ya "pekee" ya AIDS,kwa namna fulani ni kama anakubali kuwa HIV ni cause ya AIDS ila kuna vingine pia ambavyo vinaweza kusababishi AIDS na sio kwamba HIV peke yake ndio mwenye uwezo huo.
Mwisho kabisa anadai kuwa kuna ushahidi wa kisayansi kuwa inachukua wastani wa miaka 9 mpaka 10 kwa wale waliokuwa infected na virus kudevelop symptoms za AIDS,na kwamba sio watu wote waliokuwa infected na huyo virus watadevelop AIDS.
my take.
Sasa kama kisayansi inachukua miaka 9 mpaka 10 aliyeathirika na virus kudevelop AIDS,hizo ARV's zinachelewesha hizo symptoms za HIV kwa muda gani ikiwa kinga ya mwili tu yenyewe inachukua miaka 9 hadi 10?
Pia kama kuna daktari hapa anijibu post
#817 ,nilisoma wengine madaktari hapa mnaowajua muwamention kwenye post hii na
#817 ,je miaka ya nyuma kwenye test ya HIV mlikuwa mnapima CD4's au antibodies za HIV?