retroviridae
Member
- Apr 9, 2015
- 47
- 19
Wazo zuri ingawa maandishi yako ni yakifacebook. Mkuu Deception waweza dare kama Robert nani sijui (sio Galo) alivyojiinject infront of the TV?
Ila nawe sijui retrovirus hakikisha hiyo damu haina hepatitis yoyote au magonjwa mengine yoyote ns iwe group moja na Deception
Hata mimi nakubaliana na idea yake. BTW nikiangalia meaning ya ID Deception naona kabisa inamreflect alivyo. Tukicheza atawaingiza watu wengi chaka waanze kujiachia mwisho waangamie.Wazo zuri ingawa maandishi yako ni yakifacebook. Mkuu Deception waweza dare kama Robert nani sijui (sio Galo) alivyojiinject infront of the TV?
Ila nawe sijui retrovirus hakikisha hiyo damu haina hepatitis yoyote au magonjwa mengine yoyote ns iwe group moja na Deception
Ndio mkuu,yaani sikubakisha kitu,documentary zote zinazohusu mambo haya nimezifuatila kwa undani kabisa tena karibu mara sita sita kila moja.Hakuna documentary nilibakisha.Pia scientific papers mbalimbali nimefuatilia na nimefanya tafiti mbalimbali clinic za watu wanaotumia ARVs na nimefuatilia pia watu wanaotumia ARVs walio kwenye hatua za mwisho/yaani wenye hali mbaya zaidi kiafya.
Nikaja kuhitimisha kwamba,sisi tunauawa kwa kukosa maarifa na uelewa,kwa kweli inaniuma sana hadi leo hii baada ya kujua ukweli huu na ninadhani ipo siku walioshikiria biashara hii ya ARVs wataniua kwa kuwaelimisha watu ukweli kwa maana sina hata chembe ya uvumilivu ya kuhifadhi ukweli huu ndani ya ubongo wangu.
Tumedanganywa kuhusu ugonjwa huu kuanzia;
1.Historia yake(ni feki)
2.Hypothesis yake(ni uongo uliopindukia)
3.Vipimo vya HIV(ni feki na very misleading)
4.na Dawa zake za ARVs(hazina faida yoyote na ndio hizi hasa zinazosababisha matatizo halafu tunamsingizia HIV).
1.Ukimwi hauambukizwi
2.Ukimwi hauambukizwi kwa njia ya ngono
3.HIV hawezi kusababisha ukimwi na hasababishi ukimwi kwa kuwa hana sifa ya kusababisha ukimwi.Nashauri tujitahidi kwenda nje ya mainstream kutafuta habari,mambo mengi tunayoyafahamu kwenye dunia hii hayapo kama tunavyoyaona au kuyasikia,na mambo yamewekwa hivyo kwa sababu maalum kabisa.Anayesikia haya kwa mara ya kwanza atadharau au kufunga milango yake ya fahamu,kufunga milango ya fahamu hakubadilishi ukweli kuwa uongo,ukweli utabaki palepale.
Ukielewa ukweli kuhusu jambo hili utakubaliana na mimi kwamba mtu yeyote anayeogopa HIV ni sawa na kuogopa kivuli chake mwenyewe.Kama una swali lolote ambalo unadhani lina utata kuwa huru kuuliza.Nimetimiza wajibu wangu kutoa dokezo,kama mtu ana dukuduku/swali awe huru kuniuliza.
Hebu gusa link hapo chini kwa kuanzia;
https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0
Monkeys wana SIV yao na haiwasumbui sana. Mbona yule Dr Robert alijiinject na sio mara moja au mbili? Si alikuwa na uhakika na anachokifanya kama Deception alivyo ns uhakika wa anachokiongea.Retroviridae naamini ww km doctor badala ya fikra za kum inject Deception ungeweza kutafuta monkeys na ku jaribu hiyo theory kwani ni nani anaweza kukubali kupata mafua kwa makusudi?
Hata mimi nakubaliana na idea yake. BTW nikiangalia meaning ya ID Deception naona kabisa inamreflect alivyo. Tukicheza atawaingiza watu wengi chaka waanze kujiachia mwisho waangamie.
Xo deception HIV anasababisha nn?..
Afu itakua very good ka utaziweka izo physical evidence toka katika maisha yako ya kila siku..
Duuh"" io Kali.. sa chakufanya ki2 kimoja ..umesema kwamba HIV hasababishi AIDs , anasababisha mafua. .. Fresh 2 ..
Unaonaje 2kaingia kwenye njia ya vitendo??
2taftane tusainishane documents mbele ya lawyer
Then nkupe intravenous injection ya serum from infected patient .. niwe namonitor CD4 count zako periodically afu natoa feedback kwa wakereketwa...?? ...
Unaonaje 2kawa sweet example katka kuondoa uo utata ?
Hata mimi nakubaliana na idea yake. BTW nikiangalia meaning ya ID Deception naona kabisa inamreflect alivyo. Tukicheza atawaingiza watu wengi chaka waanze kujiachia mwisho waangamie.
Nafikiri ID yake ni kuonesha msisitizo kuwa ni kiasi gani we have been unde decrption? Just trying to understand the logic behind.... but I am just Kaunga trying to understand complex things.
Hata hivyo kuchukua tahadhari ni mhimu sana mkuu, usije sema hivyo ndo watu wakajiachia, wa jiulize swali dogo tu, walioupata wamepataje??
Xo deception HIV anasababisha nn?..
Afu itakua very good ka utaziweka izo physical evidence toka katika maisha yako ya kila siku..
Nimependa hii ha ha ha!Umenifurahisha Dr.Duuh"" io Kali.. sa chakufanya ki2 kimoja ..umesema kwamba HIV hasababishi AIDs , anasababisha mafua. .. Fresh 2 ..
Unaonaje 2kaingia kwenye njia ya vitendo??
2taftane tusainishane documents mbele ya lawyer
Then nkupe intravenous injection ya serum from infected patient .. niwe namonitor CD4 count zako periodically afu natoa feedback kwa wakereketwa...?? ...
Unaonaje 2kawa sweet example katka kuondoa uo utata ?
Nimeuliza naona blah blah tu...... je hao watu wa ulaya nao wanadanganywa......je nao ni weusi? Maana kuna mtu kasema sisi weusi wazungu hawatupendi
Hana majibu ndio maana anaspeculate hana evidence yoyote na anayoyasema ameamka tu kaanza kunadi Ukimwi hauexist ili auwe maelfu ya watu watakaomuamini.Sijui mtu utaishije na such guilty conscious dah its sad na nikiona watu wanavyomuamini nasikitika tu!!!Nimeuliza naona blah blah tu...... je hao watu wa ulaya nao wanadanganywa......je nao ni weusi? Maana kuna mtu kasema sisi weusi wazungu hawatupendi
Ndio wanachosema hivo hakuna kirusi anayeitwa ukimwi sasa sijui hakuna virusi kabisa maana wapo wengi teh......Kuna kichocho naona :becky:Xo u mean HIV/AID's is nat real?