Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Mkuu hebu shangaa na wewe halafu eti wanatutisha wanadhani hofu inasaidia chochote hapa .....dk huelewiiii.hata me sjawah soma biology tangu nizaliwe nmeelewa kua ukimwi na hiv ni vitu viwili tofauti!!!jaman ndio maana warumi aliwahi sema humu kuna madaktari wa mifugo.ndugu tuliza akili usome taratibu.hadi sada cjaona kitu ambacho akijasemwa humu.bt still unauliza yaleyale.me adi naskia aibu jamani uwiiii
Hawa ndio madaktari wetu wanachakazwa na mtu mmoja tu halafu tutarajie hawa hawa ndio wafanye tafiti za matatizo mengine ya kiafya yanayotukabili huku mtaani eti .......
Mungu tusaidie sana .......
Nimeona aibu na kukereka sana kwakweli maana nawaheshimu sana hawa watu ....!!