Warumi my dear, wengi wetu tunapenda sana
Deception awe right
hata hao madaktari nao wanapenda;...
Hapo kwenye nyekundu si kweli.
....Hata wafanyakazi wa tacaids nao wangefurahi kama huyu mdudu asingekuwepo...
Si kweli,halafu wakale wapi?
....Issue ni kwamba wengi wetu tumeona vifo na mateso mengi ya 'ukimwi' pasipo hata matumizi ya arv na pia tumeona wengi waliokuwa positive muda mfupi wakianza kunywa arv wanakufa. Sasa ndio hapo tunapochanganyikiwa....
Hapa kwenye nyekundu ndipo kwenye hoja zangu za msingi.Na jambo hili kama ungekuwa makini kufuatilia nimeshalijibu.Lakini hukuwa makini.
Niliwahi kuwaambia watu kwamba unaweza kuona kitu lakini usikielewe,na hii inatokana na uelewa wako kuhusu kitu hicho.Sasa basi,hao watu uliowaona wewe je,unajua sababu ya msingi iliyowaondoa hata kama hawakutumia ARVs?Sehemu kama hizi ndizo ngumu kwa watu kuzielewa kama watakuwa na bias.
Ukiona mtu amepata TB ujue alikuwa na upungufu wa kinga wakati anapata hiyo TB,kama huamini muulize Dr yeyote yule.Na si wagonjwa wote wenye TB wamepimwa HIV+,lakini kutokuwa HIV+ haimaanishi kwamba huwana upungufu wa kinga,umeelewa hapo.
Pia inabidi ufahamu kwamba dalili za TB zinafanana kabisa na zile dalili ambazo wewe umeambiwa ndio dalili za ukimwi,upo hapo?
-Kupungua uzito
-Kukonda sana
-Kukohoa mara kwa mara
-Homa za mara kwa mara
-Kukosa hamu ya kula
-Kuharisha au kutapika kutegemea na aina ya TB
-Kukosa nguvu
Je hata wewe huoni kwamba TB nayo ni ukimwi?Au ukimwi ni nini hasa?Unajichanganya wewe mwenyewe.Ukiwa na bias maeneo kama haya kamwe huwezi kuujua ukweli asilani abadan.
Sasa je,una uhakika gani kama kile ulichokiona sio TB au hakikusababishwa na sababu nyingine zinazofanana na TB?Acha bias kama kweli unataka kuelewa.
...3. Kungekuwa na scientific debate kati ya Wanasayansi wakubwa pro hiv na hiv denialists ingesaidia sana
We unachokoza watu sasa.Unafikiri hao wagunduzi wanapenda kujadili hoja tofauti na zao pamoja na kwamba hiyo wanayosema dawa ya HIV haijapatikana?Kwa kuwa dawa ya huyo HIV haijapatikana,wewe huoni kwamba ndio ungekuwa wakati muafaka kutoa nafasi kwa hoja tofauti kujaribu nafasi yao?Huoni kitu hapo?
Nikipata muda nitakuletea video yenye mambo mengi sana lakini pia utaona jinsi mgunduzi mmoja wa HIV anavyopinga kuulizwa maswali fulani fulani ambayo ni kinyume na theory rasmi.