Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,494
Unamrekebisha daktari wako?
Duh so mnafikiri mimi niko kwenye side yoyote? Mimi ninataka sana kuelewa ndio maana nikawaita madaktari ninaowajua wa humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamrekebisha daktari wako?
Mimi naomba ampinge Dr Peter au Robert Willner
Dr. Peter anasema HIV yupo ila hasababishi Ukimwi afuatilie machapisho yake halafu ampinge.
Dr. Robert aliyesema hakuna HIV na akajidunga damu ya the so called HIV+ ambao ni AIDS patients.
Aachane na deception adeal na real scientists ambao wanaopinga hii kitu.
Pia ampinge Dr Luc founder wa HIV anayesema kutest HIV+ sio lazima uumwe ukimwi. Na kwamba body immunity ikiwa nzuri baadaye waweza kukutwa negative na kwamba with good nutrition na antioxidant virusi wanapotea.
Yote unayoyajua wewe kuhusu ukimwi tunayajua sana,na tumeshasikia vifo vingi sana vya ukimwi,tunataka hoja zenye mashiko, tunataka point zako na wewe, je ulifanya research au kusoma kuhusu UKIMWI na ARV ili utueleweshe vizur? njoo na ushahid kutoka kwa wanasayansi,ata ku google unashindwa? Kweli dokta? Unashindwa kuja na hoja zako za msingi na kuambatanisha na maelezo kutoka google or something? Maneno yako ni matupu sana, yapo uchi, yani kila mtu anayajua apa, unadhani sisi hatujui kuwa ukimwi upo? ,jengea hoja zenye mashiko uje apa
Sasa kama hakuna VVU,,kutakuwa na ukimwi(AIDS) ndo hakuna na ndivo ulivyosema.
Nahitaji facts zaidi ili niweze kuside. Nimechanganyikiwa.Na mimi naomba umpinge doctor Gorgousmimi anayesema ukimwi upo na arv hazina matatizo yeyote, naomba umpinge au ukubaliane nae kwa hoja, vinginevyo I'm out, i know how to google too
Zamani watu wakila mitishamba kwasababu hakukuwa na advanced technology ya madawa.Na dawa nyingi zinatokea kwenye mimea ila zinakuwa synthethized na kuwekwa ingredients nyingine ili ziwe madhubuti zaidi.Au zinakuwa semi synthesized.Kwani we ulifikiri dawa inatokea wapi warumi?
Kwa nn tunaambiwa tupime Ukimwi zaidi ya mara moja? Kwann vipimo vya HIV vinaweza kuonesha negative na baadae positive? Vipimo ivi vinaonesha uwepo wa kirusi(hiv) au kinaonesha upungufu wa kinga?(ukimwi).Naomba tuanzie hapa docta..!
Sasa kama hakuna VVU,,kutakuwa na ukimwi(AIDS) ndo hakuna na ndivo ulivyosema.
Warumi my dear, wengi wetu tunapenda sana Deception awe right hata hao madaktari nao wanapenda; why? Because they are also affected and infected just like anyone else. So habari kuwa HIV haipo au haileti Ukimwi ni good news kwa wote ambao hawanufaiki na biashara ya Ukimwi. Hata wafanyakazi wa tacaids nao wangefurahi kama huyu mdudu asingekuwepo. Issue ni kwamba wengi wetu tumeona vifo na mateso mengi ya 'ukimwi' pasipo hata matumizi ya arv na pia tumeona wengi waliokuwa positive muda mfupi wakianza kunywa arv wanakufa. Sasa ndio hapo tunapochanganyikiwa.
gorgeousmimi ni kweli wengi wanafurahia maelezo ya deception kwasababu
1. Yanaleta matumaini
2. Kuna vitu vingi pro hiv wanashindwa kuvielezea kama kweli wao wenyewe wanavielewa
3. Kungekuwa na scientific debate kati ya Wanasayansi wakubwa pro hiv na hiv denialists ingesaidia sana
Halafu hawa ma dr wanatwist questions sasa hata ukimwi mnaita virus?? Go back to school na hapa debate si kuwa ukimwi hamna Gorgeous mimi ni kuwa HIV virus hasababishi ukimwi
Back in early 2000 kulikuwa na nurse mmoja kwenye one of the national parks. Aliniambia hata matumizi ya muda mrefu ya antibiotic yanaweza leta upungufu wa kinga mwilini. Namkubali sana huyo nurse. Hii ilikuwa kabla sijasikia kuhusu hiv denial.
So my dear Ukimwi unaweza sababishwa na kitu kingine na sio lazima hiv.
Nilikuuliza virusi ni nn ukakimbia !!Kwa hiyo unamaanisha bila VVU hakuna Ukimwi?Naomba unijibu hili swali please.
Warumi Kitu nimegundua ni kuwa doctors way of thinking is limited to the books they don't ever get curious Hivi Gorgeousmimi kweli kama mna claim hiv takes 9 to 10 years to get aids while hizo dawa it takes 12 to live na mtu anakuwa na mateso ya hizo dawa for 12 years kuna haja gani ya kuzinywa? 2 years difference is it worth it kweli? Am suprised
Hujanipata kabisa.
Nilisema ningependa Dr gorgeousmimi awapinge hao gurus wa virology na fields zingine maana nimeona wameshindwa kuelewana na deception.
Sasa suala la kuona wengine hawajui kugoogle limekuwaje? Nina maswali tu yanayochanganya tu ndio ningependa kupata majibu au hata mitazamo ya learned felas maana I am just a laykaunga
Mimi naomba ampinge Dr Peter au Robert Willner
Dr. Peter anasema HIV yupo ila hasababishi Ukimwi afuatilie machapisho yake halafu ampinge...
...Dr. Robert aliyesema hakuna HIV na akajidunga damu ya the so called HIV+ ambao ni AIDS patients.
Aachane na deception adeal na real scientists ambao wanaopinga hii kitu....
...Pia ampinge Dr Luc founder wa HIV anayesema kutest HIV+ sio lazima uumwe ukimwi. Na kwamba body immunity ikiwa nzuri baadaye waweza kukutwa negative na kwamba with good nutrition na antioxidant virusi wanapotea.
Kwa nn tunaambiwa tupime Ukimwi zaidi ya mara moja? Kwann vipimo vya HIV vinaweza kuonesha negative na baadae positive? Vipimo ivi vinaonesha uwepo wa kirusi(hiv) au kinaonesha upungufu wa kinga?(ukimwi).Naomba tuanzie hapa docta..!