Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Swali langu ni hili kama hivyo vyote ni feki,AIDS haswa ni nini?
Ikumbukwe miaka ya 1980s UKIMWI umeua watu wengi uganda
na hatimaye mkoa wa kagera,na ARVs zilikuwa bado
hazijagunduliwa.Na pia mkoa wa Njombe kipindi hicho
ikiwa wilaya sehemu za makete ukimwi umeua watu wengi sana.
sasa je,ukimwi ni nini na unasababishwa na nini?
maana hao walioleta majibu 'feki' kwa akili yangu
nadhani wameyaleta kwa sababu ya majanga
makubwa yaliyosababishwa na ugonjwa huu.
Naomba majibu,asante.
 
mbona hayo yote yalishajibiwa ukisoma page zote utakutana nayo tu
 
mbona hayo yote yalishajibiwa ukisoma page zote utakutana nayo tu
Mkuu kwanza hongera kwa kusoma mwanzo mpaka mwisho, watu dizaini ya uliem-quote naweza sema ni wavivu wa kusoma. Hayo aliyouliza yameshajibiwa mara kadhaa post za nyuma nilishasema huu uzi uko toka 2013, sasa kama mtu kaufungua juzi au jana halafu anaanza kusoma kurasa za mwisho hakika hatoelewa dhima iliyotukuka ya uzi huu. By the way mkuu deception upo? Long time no see bro![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi kesho naenda kupima wakuu wa kaya na demu wangu ila nilishapita kavu kavu kwa wawili watatu hvie hvie ntakua nimepona kweli wait ntajua kesho na huyo demu wangu hajawah kupima toka amalize sec na leo tuko chuo wote 1st year bachelor ya telecomnctn engineering niombeeni wakuu kesho ntardi humu
 
Kapime tu mkuu... ila unachokitafuta utakipata
 
Je hv virus vinashi nje ya mwili wa bnadamu kwa mda gan mfano mtu Mwenye ukimwi akitumia cndano au wembe akajkata virus vinaish pale kwenye hvyo vifaa kwa mda gan?
 
Wana jamii nimepima na hayo ndiyo majibu, je hiki kipimo hakiongopi? Na kinaonyesha kuwa umeathirika baada ya muda gani tangu uambukizwe? Maana mi nimepima baada ya kukaa cku 100 bila kufanya tendo
 
Mkuu kama ukienda kupima kisha ukakutwa na HIV+ ukamua kwenda kupima kituo chengine nako ukakuta HIV + hapo inakuwaje? Au unatakiwa upime mara ngapi ili ujirithishe bahada ya kupima na kukutwa na HIV+

Sent from my HTC One_M8 Eye using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…