Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Wakuu,mada hii ni pana mno,kuiandaa na kuiweka yote hapa hata kwa summary bado ni kubwa mno kwa kuwa inajumuisha mambo mengi sana,na ndio maana huwa natumia njia hii ya kutoa dokezo halafu watu huuliza maswali ambayo wanadhani yana utata nami huyajibu.
Nikiweka mada yote huku kama inavyotakiwa wana JF kwa jinsi ninavyowafahamu,hawataisoma yote na badala yake watakimbilia kupinga kwanza,utake usitake,hivyo ndivyo wana JF wengi walivyo,hii ni mojawapo ya tabia inayonivunja moyo sana,na ndio maana najitahidi kunusuru muda wangu pia.Nilitoa vidokezo 4 kusema kwamba ugonjwa huu ni feki katika nyanja hizo,hivyo mtu ambaye ana swali kwenye kidokezo chochote kati ya hivyo anaweza kuniuliza nami nitamjibu na kumpatia evidence pale anapohitaji ingawa najua pia hata nikitoa evidence bado watu hawataamini kwa kuwa tumepumbazwa akili zetu na taarifa hizi za uongo kwa muda mrefu sasa mpaka imefikia wakati tunaona ni kweli.Uongo ukiurudia rudia mara kwa mara mwishowe watu watauona ni ukweli(ukweli wa uongo).

VIDOKEZO;
1.Historia ya HIV/AIDS ni feki
2.Hypothesis ya HIV/AIDS ni feki
3.Vipimo vya HIV/AIDS ni feki
4.Dawa zinazotumika za HIV/AIDS yaani ARVs ni feki pia.

Karibuni kwenye elimu ya bure,ni muda wako tu.
Swali langu ni hili kama hivyo vyote ni feki,AIDS haswa ni nini?
Ikumbukwe miaka ya 1980s UKIMWI umeua watu wengi uganda
na hatimaye mkoa wa kagera,na ARVs zilikuwa bado
hazijagunduliwa.Na pia mkoa wa Njombe kipindi hicho
ikiwa wilaya sehemu za makete ukimwi umeua watu wengi sana.
sasa je,ukimwi ni nini na unasababishwa na nini?
maana hao walioleta majibu 'feki' kwa akili yangu
nadhani wameyaleta kwa sababu ya majanga
makubwa yaliyosababishwa na ugonjwa huu.
Naomba majibu,asante.
 
mbona hayo yote yalishajibiwa ukisoma page zote utakutana nayo tu
 
mbona hayo yote yalishajibiwa ukisoma page zote utakutana nayo tu
Mkuu kwanza hongera kwa kusoma mwanzo mpaka mwisho, watu dizaini ya uliem-quote naweza sema ni wavivu wa kusoma. Hayo aliyouliza yameshajibiwa mara kadhaa post za nyuma nilishasema huu uzi uko toka 2013, sasa kama mtu kaufungua juzi au jana halafu anaanza kusoma kurasa za mwisho hakika hatoelewa dhima iliyotukuka ya uzi huu. By the way mkuu deception upo? Long time no see bro![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi kesho naenda kupima wakuu wa kaya na demu wangu ila nilishapita kavu kavu kwa wawili watatu hvie hvie ntakua nimepona kweli wait ntajua kesho na huyo demu wangu hajawah kupima toka amalize sec na leo tuko chuo wote 1st year bachelor ya telecomnctn engineering niombeeni wakuu kesho ntardi humu
 
Kapime tu mkuu... ila unachokitafuta utakipata
 
Wadau,

Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!

Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu! Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."

Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".

Nisaidieni wadau.

Nawasilisha.

======
Je hv virus vinashi nje ya mwili wa bnadamu kwa mda gan mfano mtu Mwenye ukimwi akitumia cndano au wembe akajkata virus vinaish pale kwenye hvyo vifaa kwa mda gan?
 
Wana jamii nimepima na hayo ndiyo majibu, je hiki kipimo hakiongopi? Na kinaonyesha kuwa umeathirika baada ya muda gani tangu uambukizwe? Maana mi nimepima baada ya kukaa cku 100 bila kufanya tendo
 
Mkuu kama ukienda kupima kisha ukakutwa na HIV+ ukamua kwenda kupima kituo chengine nako ukakuta HIV + hapo inakuwaje? Au unatakiwa upime mara ngapi ili ujirithishe bahada ya kupima na kukutwa na HIV+

Sent from my HTC One_M8 Eye using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom