Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mimi binafsi kuna kitu kimenifungua akili, aunt yangu alikuwa na mgogoro na mume wake aliyekuwa na mahusiano nje ya ndoa muda mrefu tena ulifikia pabaya baada ya mumewe kuzaa na mmoja wa wanawake zake, kukafanywa vikao mume akaomba msamaha ila aunt akasisitiza hatoweza shiriki naye tendo la ndoa mpaka wapime HIV, mume akakubali mbele ya kikao eehhh walivyoenda kupima jamani aunt yangu akakutwa ameathirika na mume hajaathirika, hii imemfanya aunt azidi kudhoofika kwasababu mume ambaye hakuwa mwaminifu ndo mzima jaman yaan ana mawazo sasa imekuwaje au mume ni carreer yaan hamna anayeelewa, ila baada ya kusoma hapa kuna kitu nimepata i wish nimuonyeshe asome hapa apunguze stress maskini maana ndo znamfubaisha sababu huyo mwanamke aliyezaa na uncle anamsimanga maskin mpaka huruma
 
Kwetu wanaweza wakawepo, ila si wengi kama unavyoiput. Na zaidi si kitu kilichokuwa documented hivyo kufahamu hasa idadi si rahisi. Ila based on cases nilizowahi kuziona clinic naweza kusema mi chache out of watu wote waliokuja kupima. Sasa hao wa jamiiForums unaowasema mkuu, je, ni documented cases au ndo zile za washkaji kuongea wanachojisikia tuu? Na zaidi, kwenye medicine, distribution ya traits mara kadhaa hiwa ni normal...hasa kwa zile ambazo zipo universal. Hivyo ukiona kitu kiko kidogo nje basi na kwetu itakuwa more or less hivyo hivyo.

Wewe hujaelewa kabisa mantiki ya nilichokijibu.Kuna wenzako walikuwa wananijibu kwa pupa vivyohivyo,lakini baada ya kugundua niko vipi,wakaanza kuwa makini kwenye majibu yao.

Ukiacha mifano mingi sana ile ninayoijua mimi,humuhumu JF pia kuna watu wana mifano yao kuhusu watu waliopimwa na kuonekana wana huyo HIV(feki).Lakini ni miaka mingi sana imepita wako vyema kiafya na hawatumii ARVs.Sasa kama hawa watu hawana hizo traits,unatakiwa kujibu swali ni kwanini hawa watu ninaowajua mimi na hawa walioshuhudiwa humu JF wanaishi miaka mingi hivyo bila kutumia ARVs.

Ha ha haaa,najua utaniambia HIV yuko kwenye latent period,mnakosaga majibu ninyi!!!
 
Mimi binafsi kuna kitu kimenifungua akili, aunt yangu alikuwa na mgogoro na mume wake aliyekuwa na mahusiano nje ya ndoa muda mrefu tena ulifikia pabaya baada ya mumewe kuzaa na mmoja wa wanawake zake, kukafanywa vikao mume akaomba msamaha ila aunt akasisitiza hatoweza shiriki naye tendo la ndoa mpaka wapime HIV, mume akakubali mbele ya kikao eehhh walivyoenda kupima jamani aunt yangu akakutwa ameathirika na mume hajaathirika, hii imemfanya aunt azidi kudhoofika kwasababu mume ambaye hakuwa mwaminifu ndo mzima jaman yaan ana mawazo sasa imekuwaje au mume ni carreer yaan hamna anayeelewa, ila baada ya kusoma hapa kuna kitu nimepata i wish nimuonyeshe asome hapa apunguze stress maskini maana ndo znamfubaisha sababu huyo mwanamke aliyezaa na uncle anamsimanga maskin mpaka huruma

Unaona ukweli unavyojieleza wenyewe eeenh?Na ndio maana nasema ugonjwa huu feki ni feki kila nyanja,mojawapo ya nyanja hizo ni vipimo na huyo HIV mwenyewe.Nashukuru sana kusema hili mapema.Naomba umuwahishe huyo aunt yako aje tuongee.Sitakubali kumpoteza mtu mnyenyekevu kama huyo.
Usiwasikilize hao mwewe wanaosema kwamba eti mme wake atakuwa carrier,muwahishe haraka sana hapa tuongee halafu wewe mwenyewe utakuwa shuhuda kwa mara ya pili hapahapa JF hata kwenye uzi mwingine.
 
Mkuu kumbuka post yangu ya #93 ndo mana nkasema wewe ni ujanja ujanja kuwatoa watu kwenye mstari.... nimekuuliza swali unajibu kwa swali, kwanini usinijibu kwanza ndo ukauliza na wewe....

Post #93 Nilikwambia hivi wakati nakujibu

Madaktari wengi najua wanaipita hii thread kwa sababu ya style yako ya kujibu.... unastory ndefu zisizo na scientific proves

Usituletee habari za madokta wako wa mifugo apa, wenyewe wanajua kilichowakimbiza humu... we kama unataka kuelewa uliza tu utaeleweshwa achana na madokta wa mifugo
 
Ah well, sichepuki! Though niko vyombo nimepitia pitia hii sread japo kuna mikanganyiko mingi hakuna suluhisho la pamoja!

Wasi wasi ndio akili..... Kanyesha ni kanyesha tu IPO na ilikwepo na itaendelea kuwepo manake bado sijaona jitihada za kuimaliza au ugunduzi wa dawa wala tiba!

Sent from JamiiForums

Tatizo wabongo ni vichwa ngumu mno, aliyekwambia uchepuke nani? Ivi unajielewa vizuri unachokiandika? Acha kuwaza kama mnyama bwana, nani kaongelea kuhusu kuchepuka humu au kufanya ngono isiyo salama? Think like a human

Wewe ni mpumbavu, unawaza kuchepuka tu, kwani usiwaze mambo mengine? Kwa hiyo kama dawa ingepatikana ungechepuka? Jali afya yako acha kuwaza kama kuku, huu ni utoto sana, eti sichepuki, who told you to? Nitafutie sehemu walioandika humu kuwa watu wachepuke?
 
Ah well, sichepuki! Though niko vyombo nimepitia pitia hii sread japo kuna mikanganyiko mingi hakuna suluhisho la pamoja!

Wasi wasi ndio akili..... Kanyesha ni kanyesha tu IPO na ilikwepo na itaendelea kuwepo manake bado sijaona jitihada za kuimaliza au ugunduzi wa dawa wala tiba!

Sent from JamiiForums

Huwezi kujua jitihada za kuimaliza au ugunduzi wa dawa kama unavysoema wakati umelala kijana, unataka nani akufuate kwako akwambie dawa ya ukimwi imepatikana? Do you think properly? changamsha akili yako, Ujinga wako ndio utakaokuponza, unaweza kujishaua apa unaogopa ukimwi kumbe unao tayari

ukisoma vizuri humu utajua jinsi ya kujikinga na magonjwa mbali mbali kwa kuzingatia lishe bora hata kama huja athirika, kama unataka kujifunza ni bora ukaja na maswali yenye mashiko sio unaongea kama umekunywa viroba.
 
Hapa hujajibu chochote mkuu, nimeona maneno mengi tu ambayo obviously ni siasa.... kusema kuna mambo mengi atakua ameyabypass na kumiss taarifa ni kutojibu chochote....

Ungeingia into details ni vipi hao wazee walikufa kwa style moja mpaka mtoto na mahawara nao wakafata kwa style hiyo hiyo na wakati walikua hawatumii arv, na madawa ya magonjwa nyemelezi waliyatumia....

dah! yani jamaa kanikata stimu kweli. nilikuwa nasubiri sana jibu lake kuhusiana na alivyoulizwa ila kanihuzunisha kweli. angetuwekea basi link ya majibu yake. hilo swali lililohlizwa ndio ilikuwa nafasj yake ya kukata mzizi wa fitna. Deception hata kama ulishajibu basi jinukuu tuone majibu. kulalamikia arv bado hujatusaidia
 
Last edited by a moderator:
Hii thread nilikuwa sijaipitia sku nyingi sana, naona bado iko hai...iko hai lakini ikiwa imepoteza dira kabisaa. swali la mleta mada lilikuwa straight na wazi kabisa, na wadau walishalijibu kisayansi, kinachoendelea sasa ni vijembe, siasa, marketing za waganga wa kienyeji, matusi na takataka zingine zilizoko nje ya mada!...kazi ipo.
 
Ndio mkuu,yaani sikubakisha kitu,documentary zote zinazohusu mambo haya nimezifuatila kwa undani kabisa tena karibu mara sita sita kila moja.Hakuna documentary nilibakisha.Pia scientific papers mbalimbali nimefuatilia na nimefanya tafiti mbalimbali clinic za watu wanaotumia ARVs na nimefuatilia pia watu wanaotumia ARVs walio kwenye hatua za mwisho/yaani wenye hali mbaya zaidi kiafya.
Nikaja kuhitimisha kwamba,sisi tunauawa kwa kukosa maarifa na uelewa,kwa kweli inaniuma sana hadi leo hii baada ya kujua ukweli huu na ninadhani ipo siku walioshikiria biashara hii ya ARVs wataniua kwa kuwaelimisha watu ukweli kwa maana sina hata chembe ya uvumilivu ya kuhifadhi ukweli huu ndani ya ubongo wangu.
Tumedanganywa kuhusu ugonjwa huu kuanzia;
1.Historia yake(ni feki)
2.Hypothesis yake(ni uongo uliopindukia)
3.Vipimo vya HIV(ni feki na very misleading)
4.na Dawa zake za ARVs(hazina faida yoyote na ndio hizi hasa zinazosababisha matatizo halafu tunamsingizia HIV).

Naomba majina ya hzo documentary mkuu
 
Unaona ukweli unavyojieleza wenyewe eeenh?Na ndio maana nasema ugonjwa huu feki ni feki kila nyanja,mojawapo ya nyanja hizo ni vipimo na huyo HIV mwenyewe.Nashukuru sana kusema hili mapema.Naomba umuwahishe huyo aunt yako aje tuongee.Sitakubali kumpoteza mtu mnyenyekevu kama huyo.
Usiwasikilize hao mwewe wanaosema kwamba eti mme wake atakuwa carrier,muwahishe haraka sana hapa tuongee halafu wewe mwenyewe utakuwa shuhuda kwa mara ya pili hapahapa JF hata kwenye uzi mwingine.

Watu wengi tunaogopa UKIMWI kwa kuwa tunajua hauna tiba wala kinga , ila kuna magonjwa kama MARALIA, TB na magonjwa mengi tu ambayo yana Tiba,kinga
na dawa ila bado vifo vinatokea mfululizo especially vinavyosababishwa na maralia, nauliza ivi

1. Kwa hiyo hao wanaoukufa kwa maralia,tb nk CD 4 zao zinakuwa ndogo (kinga) au nini kinachowaua?

2. Mtu ukiwa na Upungufu wa kinga mwilini (CD 4) that means una ukimwi?

3. Wote wanaoathirika na Ukimwi lazima wafe vifo vya mateso? Kama kuarisha sana, homa, vidonda mwilini nk, ina maana hakuna waathirika wanaokufa natural death?, yani alikuwa mzima kiafya ila kalala ndo ikawa kwa heri.

4. Nataka kujua dalili moja tu ya waathirika wa UKIMWI ambayo hakuna mgonjwa yeyote anayeweza kuipata isipokuwa waathirika tu, achilia mbali homa, kuarisha, vidonda mwilini nk.

5. Nataka kujua kinachowaua wagonjwa wa UKIMWI na wagonjwa wa MARALIA

6. Unakuta mtu anaambiwa ana UKIMWI na baada ya mda tu lazima yule mtu afe(nimeshuhudia mara 4-6), japokuwa nakuwa sina uhakika kama wanatumia ARVs au lah maana hyo ni siri ya mtu na sina uhakika kama kweli wana VVU ila uvumi kama unavyojua,kuna dada mmoja ivi uku kwetu aliolewa na mzungu zaman sana, huyo mzungu alifariki mwaka 99 kwa UKIMWI inavyosemekana ,basi huyo dada akaendelea kuishi vizur tu, mpaka mwaka huu mwezi 3 hali ikaanza kubadilika, watu wakasema anamfuata mume wake, dada akaugua sana, hatimaye akafariki kama wiki tatu zimepita wakamzika kwao moshi, na sasa ivi kuna jamaa ambaye alikuwa anatembea nae watu wameanza pia kumhesabia siku, kibinadamu inatisha, haswa ukishuhudia, inachanganya sana.

7.Kutokana na maelezo yako umesema ARV zinaua na ushahidi tumeona kutoka kwa wanasayansi na mashuhuda wengi tu, je? Mfano mimi warumi niliyeathirika na UKIMWI nafanyaje kuhakikisha naishi na vizuri, bila HOFU wala magonjwa?, je ni chakula tu ndicho kitakachofanya afya yangu iwe imara kama watu wengine kwa miaka yote bila kutumia madawa yeyote?
 
Last edited by a moderator:
Hii thread nilikuwa sijaipitia sku nyingi sana, naona bado iko hai...iko hai lakini ikiwa imepoteza dira kabisaa. swali la mleta mada lilikuwa straight na wazi kabisa, na wadau walishalijibu kisayansi, kinachoendelea sasa ni vijembe, siasa, marketing za waganga wa kienyeji, matusi na takataka zingine zilizoko nje ya mada!...kazi ipo.

Humu sio waganga tu ata wachawi tupo, kuna wazinzi, wezi, majambazi na kila aina ya watu unaowajua, kwa hiyo ulikuwa unataka msaada gani? Wa kiganga, kichawi, kisiasa au unatafuta biashara na wewe? Basi jitahidi kuitangaza biashara yako na wewe tuione, acha porojo ,humu hatuimbi taarabu....
 
Nshatembea sana na totoz but mpaka leo am so good, nothing like mdudu, but also nakula sana mitishamba,, niko na almost 15 years sijala hata panadol.

Mitishamba gani hyo mkuu
Need assistance kwakweli!
 
Zimo humu ndan fuatilia vizuri mkuu..

Watu wanadanganyana uko PM na kusema vibaya kwa maneno ya kashfa ooh eti tunadanganyika na kushabikia upuuzi, mi nawaona wao ndio wapuuzi, wanashindwa kuja na hoja za msingi kuhusu wanachokipinga wanaishia kuongelea pembeni wapuuzi sana, hakuna aliyeingia humu kushindana na mtu wote tunataka kujifunza kwa yeyote atakayekuwa tayar kufanya hivyo na kwa hoja za msingi.
 
Hapa hujajibu chochote mkuu, nimeona maneno mengi tu ambayo obviously ni siasa.... kusema kuna mambo mengi atakua ameyabypass na kumiss taarifa ni kutojibu chochote....

Ungeingia into details ni vipi hao wazee walikufa kwa style moja mpaka mtoto na mahawara nao wakafata kwa style hiyo hiyo na wakati walikua hawatumii arv, na madawa ya magonjwa nyemelezi waliyatumia....

Wewe utakuwa na matatizo makubwa bila kujifahamu,na ndio maana nikakwambia kwanza ondoa bias na kasumba kwa kuwa hizo ndizo lock za milango yako ya fahamu.Haya nilishayajibu huko nyuma,lakini kwa sababu ya bias na kasumba,umeyapita bila kuelewa.Halafu unagusagusa reply chache sana,unarukaruka,leo huku kesho kule.Huwezi kuelewa kamwe kwa tabia hiyo uliyonayo,hata nikikwambia kwamba kwenye post zangu namba fulani nimejibu hayo maswali wala huwezi kuelewa kama nimejibu na badala yake utaendelea kung'ang'ania kukumbatia kasumba.Yaani ndio bado kabisa,wale madaktari ndio nilikuwa nakwenda nao sawa,sio wewe.Wewe huwezi kung'amua kabisa mtu akisema jambo huwa ana maana gani.

Sasa hapo unasema niingie kwenye details kwenye swali la jamaa.Nitaingia vipi kwenye details ilihali hata mwenyewe aliyeuliza hajaingia kwenye details,ametoa mfano ambao hakusema kaona dalili gani(amesema ameona dalili zinazofanana ila hakuzitaja),ulikuwa mwaka gani,alikuwa na umri gani wakati anashuhudia hayo,walikuwa wanatumia dozi gani za hayo magonjwa,hali ya kiuchumi ya hao wagonjwa ilikuwaje na walikuwa wanaishi kwenye mazingira gani,style yao ya maisha ilikuwaje na mambo mengine lukuki hakutaja.
Sasa unasema mimi niingie kwenye details,nitaingiaje kwenye details bila kujua taarifa kama hizo?Ubongo wako umejiandaa kusikia kile ambacho unakijua tu na si zaidi ya hapo.Hivi wewe umeshaona wapi daktari anatoa dozi kwa mgonjwa kwa kumsikiliza malalamiko yake tu bila kujiridhisha kwa kuchukua vipimo?Wewe ndivyo unavyotaka mimi nifanye,na kwa kuwa unadhani akili yangu na yako zinafanana basi unategemea kweli nitakujibu kama unavyotaka.

Sasa tuangalie hiyo post yako unayosema;

.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......

*ukimwi ulianza kugundulika kwa mtu wa kwanza kabla ua arv kuwepo.... aliupata kwa njia gani bila ya kuambukizwa kupitia arv!??...

Samahani kwa majibu nitakayokupa;Usikimbilie kusema ninakuuliza swali kabla sijajibu swali,haya yote yanatokea kwa kuwa maswali yako yana utata na hayajakamilika,hivyo nataka tuyaweke vizuri kabla sijakujibu.Nimeamua kukwambia hivyo mapema kabisa kwa maana najua uwezo wako wa kutambua bado si mzuri.

-Kwanza inajidhihirisha kabisa kwamba hujui unachokiongea.Haya niambie ukimwi ulianza kugundulika mara ya kwanza mwaka gani?
-Unaweza kupata ukimwi kwa njia nyingi tu,baadhi ya hizo njia ni;
1.Malnutrition/ukosefu wa chakula bora 2.Ukosefu wa antioxidants 3.Frequent use of drugs 4.Ukosefu wa maji safi ya kunywa 5.Hygiene(maambukizi ya mara kwa mara kutokana na uchafu) nk.

Najua haya yako nje ya kasumba unayoijua.

.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......

*arv ya kwanza kugundulika ilikua 1988 lakini kwa tabzania zilichelewa kufika mpaka miaka ya mwanzo ya 90, je kwa kipindi chote hicho maambukizi yalikua kwa njia gani!??..

-Hapa unazungumzia maambukizi ya kitu gani?Weka sawasawa kwanza kabla sijakujibu swali lako.

.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......

*TB unayoisema imeanza zamani sana na wagonjwa walikua wanapata dawa mbalimbali, inakuaje kwa tb hii kuuwa watu wengi namna hiyo na kukondesha kiasi hicho....

-Una uthibitisho wowote kwamba TB ya mwanzo ilikuwa haiui watu wengi na kukondesha sana?Haya mazungumzo ya hisia ndio huwa nayachukia mimi,halafu unakuja kulalamika kwamba sijajibu swali lako,wenzako wameondoka humu kwa kukosa vithibitisho,theory wanazo nyingi tu,hata mimi ninazo theory zangu,usifikiri kwamba sina.Ila mwisho wa siku tunatakiwa kuthibitisha kwa kutumia uhalisia wa mambo.

Haya lete uthibitisho kwamba TB ya mwanzo ilikuwa haiui watu wengi sana na ilikuwa haikondeshi sana.

.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......

*kama ni TB mbona ukimwi unasemekana ulianzia Bukoba miaka hiyo, watu wa mikoa mingine walikua hawaugui TB!?? kwanini na wenyewe wasiishe kama watu wa BK walivyokua wanadhoofika...

Unaona matatizo yako yalivyo?
Eti "ukimwi unasemekana ulianzia Bukoba miaka hiyo".Yaani hisia tupu zimejaa.Eti "watu wa mikoa mingine walikuwa hawaugui TB".Eti"Kwa nini wenyewe wasiishe kama watu wa Bukoba walivyokuwa wanadhoofika"

Yaani zote ni hisia tu hizo.

1.kama ni TB mbona ukimwi unasemekana ulianzia Bukoba miaka hiyo.
Yaani hapa naona hata uvivu kukujibu.Hizo ni WHO data ndizo zinasosema hivyo kama ulikua hujui,wameripoti case ya kwanza mwaka 1983 Bukoba wakati HIV katangazwa kugundulika 23 April 1984 na mgunduzi ametangazwa bila hata ku submit test results zake kwa wanasayansi wengine kwa ajili ya peer review(sijui kama umeng'amua kitu hapo).Na hao wanaoongoza WHO ndio hao wenye viwanda vya madawa yakiwemo ya ARVs,hivyo si ajabu kuja kutafuta soko Tanzania na nchi nyingine duniani,ukifunga milango yako ya fahamu huwezi kuyajua haya yote,utaendelea kumnyenyekea mtu ambaye wewe unamwona anakupenda kumbe ni hatari kwa maisha yako.

2.watu wa mikoa mingine walikua hawaugui TB!?? kwanini na wenyewe wasiishe kama watu wa BK walivyokua wanadhoofika?

Wewe uliwaona hao watu wa mikoa mingine kwamba walikuwa hawadhoofiki?Na kama uliwaona je unaweza kututhibitishia vipi hapa?
 
Hii thread nilikuwa sijaipitia sku nyingi sana, naona bado iko hai...iko hai lakini ikiwa imepoteza dira kabisaa. swali la mleta mada lilikuwa straight na wazi kabisa, na wadau walishalijibu kisayansi, kinachoendelea sasa ni vijembe, siasa, marketing za waganga wa kienyeji, matusi na takataka zingine zilizoko nje ya mada!...kazi ipo.

Je,hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?
 
Usituletee habari za madokta wako wa mifugo apa, wenyewe wanajua kilichowakimbiza humu... we kama unataka kuelewa uliza tu utaeleweshwa achana na madokta wa mifugo
Kwa mwendo huu, hautafika popote.... try to grow up!!!!
 
Back
Top Bottom