Hapa hujajibu chochote mkuu, nimeona maneno mengi tu ambayo obviously ni siasa.... kusema kuna mambo mengi atakua ameyabypass na kumiss taarifa ni kutojibu chochote....
Ungeingia into details ni vipi hao wazee walikufa kwa style moja mpaka mtoto na mahawara nao wakafata kwa style hiyo hiyo na wakati walikua hawatumii arv, na madawa ya magonjwa nyemelezi waliyatumia....
Wewe utakuwa na matatizo makubwa bila kujifahamu,na ndio maana nikakwambia kwanza ondoa bias na kasumba kwa kuwa hizo ndizo lock za milango yako ya fahamu.Haya nilishayajibu huko nyuma,lakini kwa sababu ya bias na kasumba,umeyapita bila kuelewa.Halafu unagusagusa reply chache sana,unarukaruka,leo huku kesho kule.Huwezi kuelewa kamwe kwa tabia hiyo uliyonayo,hata nikikwambia kwamba kwenye post zangu namba fulani nimejibu hayo maswali wala huwezi kuelewa kama nimejibu na badala yake utaendelea kung'ang'ania kukumbatia kasumba.Yaani ndio bado kabisa,wale madaktari ndio nilikuwa nakwenda nao sawa,sio wewe.Wewe huwezi kung'amua kabisa mtu akisema jambo huwa ana maana gani.
Sasa hapo unasema niingie kwenye details kwenye swali la jamaa.Nitaingia vipi kwenye details ilihali hata mwenyewe aliyeuliza hajaingia kwenye details,ametoa mfano ambao hakusema kaona dalili gani(amesema ameona dalili zinazofanana ila hakuzitaja),ulikuwa mwaka gani,alikuwa na umri gani wakati anashuhudia hayo,walikuwa wanatumia dozi gani za hayo magonjwa,hali ya kiuchumi ya hao wagonjwa ilikuwaje na walikuwa wanaishi kwenye mazingira gani,style yao ya maisha ilikuwaje na mambo mengine lukuki hakutaja.
Sasa unasema mimi niingie kwenye details,nitaingiaje kwenye details bila kujua taarifa kama hizo?Ubongo wako umejiandaa kusikia kile ambacho unakijua tu na si zaidi ya hapo.Hivi wewe umeshaona wapi daktari anatoa dozi kwa mgonjwa kwa kumsikiliza malalamiko yake tu bila kujiridhisha kwa kuchukua vipimo?Wewe ndivyo unavyotaka mimi nifanye,na kwa kuwa unadhani akili yangu na yako zinafanana basi unategemea kweli nitakujibu kama unavyotaka.
Sasa tuangalie hiyo post yako unayosema;
.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......
*ukimwi ulianza kugundulika kwa mtu wa kwanza kabla ua arv kuwepo.... aliupata kwa njia gani bila ya kuambukizwa kupitia arv!??...
Samahani kwa majibu nitakayokupa;Usikimbilie kusema ninakuuliza swali kabla sijajibu swali,haya yote yanatokea kwa kuwa maswali yako yana utata na hayajakamilika,hivyo nataka tuyaweke vizuri kabla sijakujibu.Nimeamua kukwambia hivyo mapema kabisa kwa maana najua uwezo wako wa kutambua bado si mzuri.
-Kwanza inajidhihirisha kabisa kwamba hujui unachokiongea.
Haya niambie ukimwi ulianza kugundulika mara ya kwanza mwaka gani?
-Unaweza kupata ukimwi kwa njia nyingi tu,baadhi ya hizo njia ni;
1.Malnutrition/ukosefu wa chakula bora 2.Ukosefu wa antioxidants 3.Frequent use of drugs 4.Ukosefu wa maji safi ya kunywa 5.Hygiene(maambukizi ya mara kwa mara kutokana na uchafu) nk.
Najua haya yako nje ya kasumba unayoijua.
.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......
*arv ya kwanza kugundulika ilikua 1988 lakini kwa tabzania zilichelewa kufika mpaka miaka ya mwanzo ya 90, je kwa kipindi chote hicho maambukizi yalikua kwa njia gani!??..
-Hapa unazungumzia maambukizi ya kitu gani?Weka sawasawa kwanza kabla sijakujibu swali lako.
.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......
*TB unayoisema imeanza zamani sana na wagonjwa walikua wanapata dawa mbalimbali, inakuaje kwa tb hii kuuwa watu wengi namna hiyo na kukondesha kiasi hicho....
-Una uthibitisho wowote kwamba TB ya mwanzo ilikuwa haiui watu wengi na kukondesha sana?Haya mazungumzo ya hisia ndio huwa nayachukia mimi,halafu unakuja kulalamika kwamba sijajibu swali lako,wenzako wameondoka humu kwa kukosa vithibitisho,theory wanazo nyingi tu,hata mimi ninazo theory zangu,usifikiri kwamba sina.Ila mwisho wa siku tunatakiwa kuthibitisha kwa kutumia uhalisia wa mambo.
Haya lete uthibitisho kwamba TB ya mwanzo ilikuwa haiui watu wengi sana na ilikuwa haikondeshi sana.
.......... nijibu haya tu na kazi imeisha......
*kama ni TB mbona ukimwi unasemekana ulianzia Bukoba miaka hiyo, watu wa mikoa mingine walikua hawaugui TB!?? kwanini na wenyewe wasiishe kama watu wa BK walivyokua wanadhoofika...
Unaona matatizo yako yalivyo?
Eti "ukimwi unasemekana ulianzia Bukoba miaka hiyo".Yaani hisia tupu zimejaa.Eti "watu wa mikoa mingine walikuwa hawaugui TB".Eti"Kwa nini wenyewe wasiishe kama watu wa Bukoba walivyokuwa wanadhoofika"
Yaani zote ni hisia tu hizo.
1.
kama ni TB mbona ukimwi unasemekana ulianzia Bukoba miaka hiyo.
Yaani hapa naona hata uvivu kukujibu.Hizo ni WHO data ndizo zinasosema hivyo kama ulikua hujui,wameripoti case ya kwanza mwaka 1983 Bukoba wakati HIV katangazwa kugundulika 23 April 1984 na mgunduzi ametangazwa bila hata ku submit test results zake kwa wanasayansi wengine kwa ajili ya peer review(sijui kama umeng'amua kitu hapo).Na hao wanaoongoza WHO ndio hao wenye viwanda vya madawa yakiwemo ya ARVs,hivyo si ajabu kuja kutafuta soko Tanzania na nchi nyingine duniani,ukifunga milango yako ya fahamu huwezi kuyajua haya yote,utaendelea kumnyenyekea mtu ambaye wewe unamwona anakupenda kumbe ni hatari kwa maisha yako.
2.
watu wa mikoa mingine walikua hawaugui TB!?? kwanini na wenyewe wasiishe kama watu wa BK walivyokua wanadhoofika?
Wewe uliwaona hao watu wa mikoa mingine kwamba walikuwa hawadhoofiki?Na kama uliwaona je unaweza kututhibitishia vipi hapa?