mkuyati og
JF-Expert Member
- Apr 19, 2011
- 821
- 587
mi nasubiri nakala tu hapa, mengine yote porojo. weka link mkuu deception watu tuchambue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,nadhani unakumbuka nilivyosema kwamba,ukimwi ulikuwapo tangu karne nyingi tu,na una kinga na tiba pia ambazo nilishaziorozesha.Sasa hivi hawa jamaa wamekuja kuujenga uongo kwenye vichwa vyetu kwenye misingi ya ukweli tunaoujua kwamba eti ukimwi unasababishwa na HIV na hauna kinga wala tiba,hii sikweli na nikatolea uthibitisho wake,baadhi ya uthibitisho unaonekana kwa macho hata humu kuna watu wengi wameshajionea wenyewe kwamba HIV hasababishi ukimwi(pamoja na kwamba kwa uelewa wangu HIV ni feki).
Nadhani wewe mwenyewe umemsikia yule mgunduzi wa HIV(HIV kwangu ni feki) alichosema,sasa ninashangaa watu wanang'ang'ania kusema HIV/AIDS haina kinga wala tiba wakati mgunduzi mwenyewe anasema HIV ana kinga na ana tiba.Unajua kasumba ikitawala kwenye vichwa vya watu ni kitu kibaya sana.Watu wakiona watu wanakonda na kufa hawawezi kufikiri upande wa pili na badala yake wataelemea kwenye kasumba,kweli hawa jamaa wametuchakaza sana.
Umeona eenh!!
Magonjwa yana tiba na dawa lakini watu bado wanakufa,na yalikuwapo hata kabla ya HIV kutangazwa na yalikuwa na tiba na dawa lakini watu bado walikuwa wanakufa kwayo.Lakini leo hii ukitibiwa magonjwa hayo halafu ukashindwa kupona watasema HIV ndio amehusika.
Sio wote wanaokufa kwa magonjwa hayo wana CD4 chache.Kuhusu nini kinawaua,ni sayansi ya ugonjwa wenyewe husika jinsi unavyodhoofisha mwili.
Ndugu yangu,hao waliotudanganya wana definition nyingi sana tofauti za ukimwi.CD4 zako zikiwa chini ya kiwango fulani wanachokisema kuwa ni safe watakwambia una ukimwi.Ukiwa na TB+HIV watakwambia una ukimwi lakini ukiwa na TB bila HIV ukimwi huna,ukiwa na Dementia+HIV una ukimwi lakini ukiwa na Dementia bila HIV huna ukimwi na kuendelea....Hata hizo CD4 walisema kama ni chini ya 250 basi una ukimwi,wakaja wakaongeza na kuwa 350 na sasa hivi wakaongeza tena imekuwa 500,na baadhi ya maeneo wanatumia hiki kiwango cha CD4 chini ya 500 kusema kwamba una ukimwi.Yaani wanabadilisha kila kukicha.
Lakini wanaangali CD4 kama ndio pekee inahuska kwenye kinga ilihali kuna mambo mengine lukuki.
Hao tulioambiwa ni waathirika wa ukimwi,huwa hawafi kwa ugonjwa unaofanana,lakini wengi wanakufa kwa mateso sana.Na ukichunguza utagundua kwamba magonjwa yanayowaua huwa mara nyingi ni;
1.Moyo 2.Ini kufeli 3.figo kufeli 4.Anaemia 5.Cancer ukifanya uchunguzi wako binafsi utakuja kuleta marejesho hapa hata kwenye uzi mwingine,sio lazima afe hata kama kazidiwa,we chunguza nini kinamsumbua lazima kitaangukia kwenye moja ya hayo niliyotaja juu.
Ukiona kafa kwa TB,Malaria,itakuwa aidha kachelewa kutibu au hakufuata masharti ya dozi au mwili umekataa ku respond dawa kutokana na sumu ya ARVs.Chunguza huku ukiwa na free mind utajua tu.
Hakuna dalili kama hiyo.Kama kuna mtu anayepinga anaweza kusema ni dalili gani hiyo.
Ukimwi hauui,bali ugonjwa unaoupata kutokana na upungufu wa kinga ndio unaoweza kukuua.Madaktari ndio wanaweza kukueleza kwa kina jinsi malaria inavyoua,to be honest mimi siwezi vinginevyo nitakudanganya tu.
Unajua mambo kama hayo ndiyo yanayowachanganya watu,watu hawana uelewa wa kutosha na hatimaye wanafanya hitimisho lisilo sahihi kwa kutumia kasumba.Unajua kama unafanya maamuzi ya kitu kwa kutumia kasumba,wewe mwenyewe unakuwa hujijui,na badala yake unajiona uko sahihi kabisa.
Sasa ili uweze kufanya hitimisho la mambo kama hayo uliyoeleza ni lazima ufanye controlled study ya tukio zima.Mambo haya uliyoeleza ni sawasawa na swali la mwana JF mmoja ambaye analalamika kwamba ninakimbia kumjibu.Huwezi kujibu swali kama hilo kwa usahihi kwa kutumia hisia tu,kama utafanya controlled study kila kitu kinaelezeka.
Mtu akiwa hana uelewa wa kutosha kuhusu jambo fulani hata mahitisho atakayotoa yatalingana na uelewa alionao.Sasa wewe mwenyewe utajithibitishia.Leo hii umepata elimu tofauti humu JF,sasa itumie elimu hii kufanya udadisi wa mambo kama hayo upya.Lazima utakuja na maelezo yenye mashiko tofauti na kipindi cha nyuma ambacho ulikuwa huelewi ukweli huu.Jaribu kufanya utafiti.Kwa kuwa najua wewe ni mfuatiliaji sana wa mambo,nina uhakika lazima utapata jibu sahihi tu.
Exactly,najua wewe warumi unayajua haya yote,ila najua unatafuta uhakika tu.Yaani inanifariji sana kuona udadisi kama huo ulionao,watu wachache sana wako kama wewe.
Wewe wala usitumie nguvu nyingi;Tumia tu ushauri wa yule Prof aliyegundua HIV(kwangu HIV ni feki),yaani;
1.Nutrition
2.Antioxidants
3.Hygiene
4.Clean water
Naongezea;
5.Mazoezi kama vile kukimbia
6.Kuepuka madawa ya hospitali pasipo ulazima kama vile madawa ya uzazi wa mpango na madawa ya kutuliza maumivu.
7.Ukishindwa kuacha,basi punguza kunywa pombe kali.
8.Epuka matumizi ya madawa ya kulevya
nk
Huyu prof mgunduzi alisema ukiwa na kinga imara HIV(kwangu HIV ni feki) hawezi kukaa mwilini,na pia hata kama yupo mwilini tayari ukibadili tabia na kuweka kinga yako imara, kinga yako utamtoa HIV.Sasa kama huyu Prof watu hawawezi kumwamini,mimi nashindwa kupata picha huyo mwingine wanayemwamini ni nani wakati huyu ndiye mgunduzi?
Ndugu yangu deception hapo ndipo mada ilipolala. Naomba link ya post zako juu ya maswali ya ndugu yetu hapo juu. We umeshajiridhisha, uturidhishe na sisi
Mbona nilisikia wanakuzwa na vyakula vilivyochaganywa na ARV ili kuwanenepesha na kukua sasa sijui ka ni kweli tangia hapo siwalagi hao kuku.
weka nakala ya utafiti wako acha maneno yasiyo na msingi.
WEe? Kwa hyo na mimi nakunywa ARV bila kujijua? Mayoo nyie hawa wazungu looh??
WEe? Kwa hyo na mimi nakunywa ARV bila kujijua? Mayoo nyie hawa wazungu looh??
Yaani inaonekana kabisa kwa upeo wangu kwamba wew una nia ya kujua mambo tofauti,na hiyo attitude yako ndiyo itakayokukomboa kutoka hali hii ya sasa.
Sasa hapa najibu maswali mengi sana na PM pia,halafu nahitaji kutoka kwenda mihangaikoni.Naomba unipe muda nikutafutie baadhi ya hizo link.Ila naomba uulize specific question na mimi nitalitolea jibu kwa uthibitisho.Nadhani huu ndio utakuwa utaratibu mzuri.Unaonaje?
Yaani inaonekana kabisa kwa upeo wangu kwamba wew una nia ya kujua mambo tofauti,na hiyo attitude yako ndiyo itakayokukomboa kutoka hali hii ya sasa.
Sasa hapa najibu maswali mengi sana na PM pia,halafu nahitaji kutoka kwenda mihangaikoni.Naomba unipe muda nikutafutie baadhi ya hizo link.Ila naomba uulize specific question na mimi nitalitolea jibu kwa uthibitisho.Nadhani huu ndio utakuwa utaratibu mzuri.Unaonaje?
hata me nliskiaga ivyo.ila nkiwakuta wamekaangwa.weeee hapovkwa kweli moyo na nafsi yangu vinanishindaga kweli kujizuia
Mimi sipo apa kwa ajili ya kumshabikia mtu, nipo apa kwa ajili ya kujifunza, na sio vitu vyote anavyosema deception basi mimi nakubaliana navyo vyote, mi deception nimemuelewa sana kuhusu ARV sana, na ninamshukur kwa hilo sana, ila suala la UKIMWI kutokuwepo apo bado kabisa sikubaliani nae, najua ukimwi upo na unaua, nipo apa kwa ajili ya kuelewa ni jinsi gani ya kupambana na hivyo VVU bila kutumia ARV basi na si vinginevyo, apa ndio Deception nasubiria aelezee vizuri, ila mimi ni muumini ya wale wanaoamini kuwa UKIMWI upo na unaua kwa sababu sijapata hoja iliyoshiba ya kukana uwepo wa UKIMWI wakati nashuhudia ndugu, jamaa na marafiki wakipoteza kwa ajili ya UKIMWI, labda nahitaji kuelewa zaidi ili niondokane na haya mawazo mgando ambyo yameusonga ubongo wangu
unaweza kunipa link nidownload mkuu?Nilishaweka hizo si mara moja humu.Ni vizuri ukawa na staha kidogo unapotaka kujua jambo,vinginevyo mtu anaweza kujua kwamba una nia nyingine tofauti na kutaka kuelewa.
Ndo nilivosikia aisee tangia hapo nikawa nawaogopa hata kuonja plasi chemicals za kuwakuza. Kilichonitisha zaidi ni hizo arv sana jinsi inavowafanya watu kuondoka ghafla.
KUhusu kuku wa kizungu mimi ndio bingwa wa kuwala aiseeh, na walivyo rahis kupika na kuiva basi dakika mbili naanda, yan ndio msosi wangu mara kwa mara, sijajua itaniletea madhara gani, napenda kuku aseeh
Kwanini hayo maswali ya pm wasije kuulizia hapa hadharani ili kila mtu ajue kwa undani a, b, c zake kuliko ujibu huko na huku swali hilo hilo ujibu ili Ku save time.
Ha ha haaa.Hapa warumi ume bypass.Sikusema hakuna ukimwi,bali nilisema hakuna ukimwi unaosababishwa na HIV.Nadhani sasa utakuwa umepata point yangu.
Sasa mimi vita yangu ipo kwenye kuwasingizia watu kwamba wana HIV na kuwapa ARVs zenye sumu ili kuwalinda na HIV ambaye hayupo kiuhalisia hivyo hana madhara ilihali ARVs ndizo zinakuja kusababisha matatizo yote tunayoyaona kwa wale wanaozitumia.
Pia hata kama mtu amedhoofika halafu hatumii ARVs,lazima ukimfanyia udadisi kwa kina utagundua kwamba kuna sababu specific na za msingi ambazo zimemsababishia matatizo aliyonayo,na uki deal na hizo sababu za msingi na matatizo yake yatakwisha mara moja.
Hayo ninayoeleza hapo juu watu wanaya bypass sana na kufanya mjadala unakuwa mrefu sana.Niko very consistent na yale ninayoyaeleza na ndio maana hamna mtu yeyote hata kama ni daktari mwenye uwezo wa kupinga kwa hoja zenye mashiko.Nina vithibitisho vya maandishi na vya kuonekana na vile vya kufanya mwenyewe kwa mkono wangu.
mi nasubiri nakala tu hapa, mengine yote porojo. weka link mkuu deception watu tuchambue
Mkuu nikumbushe,maana mambo mengi.Unataka link au nakala inayothibitisha kuhusu nini?
unaweza kunipa link nidownload mkuu?
Yani na umbea wangu natamanije niwe deception japokuwa kwa nusu saa tuu nichungulie uko PM nijionee mambo nicheke hayo maswali ya watu mpaka basi, halafu nikitoka apo nawafungulia thread wote walio ni PM na kuanika msg zao zote, hahahah hahahah ahahh khaa, natania lakini