Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Dokta fake aka mwanasiasa.... jibu swali eti ananipa mifano BP mafuta. Thts crazy. Ila sio mbaya endelea kuwafariji watu waone ndugu zao walionewa na madaktari kwa ukimwi wao. Au wao wenyewe wakatae kupima. Maana kuna watu walikuwa hawataki kusikia issue ya kupima. Sasa watakuwa umewapa sababu
 
Ushamwita dokta fake we usipoteze muda wako humu maana kuna uzi zingine zina hitaji muda wako let the great thinkers do their thinking
Humu si mahali pako uwezo wa ku fikiri ushaingia mitini kwa hiyo km jina lako lilivo kupe utatusumbua tu maana km hata mfano wa BP hujauelewa bhaaaaaas
 
Wewe ndio daktari wa kwanza mpuuzi kumsikia duniani. Kwanza unawakataza watu wasipime. Unawaambia vipimo fake . Unaambiwa pima ukimwi mara 3 . Na sababu ipo wazi .eti unatoa mfano wa maralia. Tb....hayo magonjwa ni tofauti na ukimwi . Hayo magonjwa yana dawa ukimwi hauna dawa.........unadanganya watu ukimwi hauambukizwi kwa sex hivi wewe sio shetani kweli? .......nimesoma jana late ya ukimwi afrika imeshuka . Na nchi kama russia imeongezeka sana . Na sababu ni kuwa watu wamepata elimu ya ukimwi . Ila sasa nadhani ni kampeni maalum ya kuurudisha kwa kasi ukimwi afrika na wewe ni mmojawapo wa waliotumwa. Utakuwa umelipwa hela nzuri sana
 
Dokta fake aka mwanasiasa.... jibu swali eti ananipa mifano BP mafuta. Thts crazy. Ila sio mbaya endelea kuwafariji watu waone ndugu zao walionewa na madaktari kwa ukimwi wao. Au wao wenyewe wakatae kupima. Maana kuna watu walikuwa hawataki kusikia issue ya kupima. Sasa watakuwa umewapa sababu

Unapima ili iweje? Vipimo vyenyewe haviaminiki..yani napima leo kwa mfano nakutwa ni hiv- ila dokta anakuambia majibu haya siyo kamili hadi ipite miezi mitatu then nipime tena ndo niwe na uhakika,,yani kwa miezi mitatu naishi kwa hofu ya kipimo kijacho kitakuaje? Kwa hofu hii kinga lazima ishuke na kwa maana hiyo nitakapokwenda kupima uwezekano ni mkubwa kukutwa +ve,,huu ni mchezo wa kipuuzi na afya za watu,,huoni kama hii ni biashara mkuu? Sitopima kamwe,nikiumwa malaria nitatibu malaria,nikiumwa TB nitatibu TB as long as dawa za haya magonjwa zipo...BAAAASSIII,,!
 
Kama umelala na mwenye ukimwi,nenda kapime kama positive kubali hiyo hali na fuata ushauri wa wataalam.Kufa kuko kwa wote walio nao na wasio nao
 
Wise words binamu, ila mambo yamebadilika siku izi, watu wameanza kupevuka kiakili na kuamua kuwa wadadisi wa mambo ambayo ni muhimu kama hili la afya, haswa kuhusu haya matumizi ya ARV ambayo wengi wetu tunaanza ku doubt effects zake, ambazo zinasemekana ni mbaya zaidi kuliko huo UKIMWI unaogopwa, kila mtu anajua kuhusu ukimwi kama unavyojua wewe, ila tu tunapenda kufikiria kwa jicho la tatu, jicho pevu
 
Dokta fake aka mwanasiasa.... jibu swali eti ananipa mifano BP mafuta. Thts crazy. Ila sio mbaya endelea kuwafariji watu waone ndugu zao walionewa na madaktari kwa ukimwi wao. Au wao wenyewe wakatae kupima. Maana kuna watu walikuwa hawataki kusikia issue ya kupima. Sasa watakuwa umewapa sababu

Nikikuhisi na wewe ni muathirika na unatumia ARV, na baada ya kuona apa kuwa wameelezea ARV ndizo zinazosababisha matatizo zaidi so unaamua kujifariji kwa kumpinga deception je nitakuwa nimekutendea haki? Obviously nitakuwa nimekuumiza kihisia, so acha hisia mpauko na ambazo huna uhakika nazo.

Suala la kupima UKIMWI ni la mtu binafsi, sidhani kama linahitaji mjadala ndugu, na kila mtu anaelewa kuhusu ukimwi kama unavyoelewa wewe, na apa tunaelezewa mambo ambayo tulikuwa hatujawahi kuyasikia popote, so kwa nini usisikilize na kuyapa nafasi kwenye ubongo kwa kuyatafakar tu then uamuzi uwe juu yako?, ni vizur kupinga especially kama una sababu za kufanya hvyo, vinginevyo utakuwa na mawazo mdebwedo
 
Wewe ndio daktari wa kwanza mpuuzi kumsikia duniani. Kwanza unawakataza watu wasipime. Unawaambia vipimo fake . Unaambiwa pima ukimwi mara 3 . Na sababu ipo wazi .eti unatoa mfano wa maralia. Tb....hayo magonjwa ni tofauti na ukimwi . Hayo magonjwa yana dawa ukimwi hauna dawa.........unadanganya watu ukimwi hauambukizwi kwa sex hivi wewe sio shetani kweli? .......nimesoma jana late ya ukimwi afrika imeshuka . Na nchi kama russia imeongezeka sana . Na sababu ni kuwa watu wamepata elimu ya ukimwi . Ila sasa nadhani ni kampeni maalum ya kuurudisha kwa kasi ukimwi afrika na wewe ni mmojawapo wa waliotumwa. Utakuwa umelipwa hela nzuri sana

REACT TO THE MESSAGE, NOT TO THE PERSON, Hili ndio tatizo kubwa tulilonalo wafu wa fikra (wa afrika )
 
Dokta fake aka mwanasiasa.... jibu swali eti ananipa mifano BP mafuta. Thts crazy. Ila sio mbaya endelea kuwafariji watu waone ndugu zao walionewa na madaktari kwa ukimwi wao. Au wao wenyewe wakatae kupima. Maana kuna watu walikuwa hawataki kusikia issue ya kupima. Sasa watakuwa umewapa sababu

Kama unatumia ARV we endelea tu kutumia, usijali hazina madhara yeyote kwa afya yako.
 
Anza we kunielimisha mkuu, mwaga hapa materials.

Magonjwa Yapo Mengi sana Yanayosababisha Upungufu wa Kinga Mwilini... HIV ina Utata

TB
PNEUMONIA
DRUGS
STRESS
MSOSI MBOVU

N.K
NDO MAANA nikatoa ushahidi wa Mtu aliyepatwa na Upungufu wa Kinga Mwilini ila Akapimwa HIV ni Negative
 
Back
Top Bottom