Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

NOTE: KWA WA WATUMIAJI WA ARV.

Mnapopewa hayo madawa yanakuwa wrapped kwenye mifuko maalumu, hivyo mnashauriwa mzitunze hizo dawa kwenye mifuko /container kama mlivyopewa, maana wengine wakipewa tu ARV wanatoa kwenye mifuko yake maalumu wanaweka kwenye makaratasi au vitu wanavyovijua wao kwa kuogopa watu kuwagundua kuwa wanatumia ARV, mwisho wa siku izo dawa haziwi DAWA bali zinakuwa SUMU matokeo yake yanakuua wewe mwenyewe,wataalamu wana maana yao walivyohifadhi hizo dawa kwenye hyo mifuko, hivyo unatakiwa uhifadhi umo umo, kama watu wakiona utajibeba vinginevyo una haribu virutubisho vya hizo dawa na kugeuka sumu, so watumiaji mzitunze ivooo, ndo maisha yenu hayo, nyie jishaueni mjifanye masista duu mnayaficha kwenye maziwa wengine kwenye boxer sijui mnajidanganya wenyewe, ukimwi si wako? Maisha si yako? KWa nini uogope? Mara wengine wanaficha ARV matakon* eeh jamani kweli? Kama unao best unao tu, cha muhimu ni kuhifadhi sehemu maalumu kama utakavyoelezewa na wataalamu

Maana wengine wanatembea na ARV kutwa wamezificha kwenye matak* au nguo za ndani, sasa jaman kweli? Na wengine kuzifua nguo za ndani ni mtihani wa taifa, sasa izo dawa zitakuwa dawa kweli au mnataka tu na mengine? ARV ndo mpenzi wako wa maisha ivo umtunze kama mboni yako nshamaliza

Cc: Gorgousmimi Deception Econometrician
haha hahaaa matakoni tena ...warumi "" acha masihara basiiii"""
 
Samahani kama majibu yangu hapo juu yalikukwaza.Haikuwa lengo langu.

Umewahi kuisikia hii kauli ""UKIMWI HAUUWI ILA MAGONJWA NYEMELEZI" Sasa kama ukimwi hauuwi ni kipi kinachokuthibitishia na kukuaminisha kuwa Mwenza wa kwanza na wa pili ni kutokana na sababu ya ukimwi ... Hilo ni moja naomba uende hospital au kwa hivyo vifo ulivyovishuhudia kuwa vilitokana ukimwi ukadadisi ni ugonjwa upi dhahiri ulisababisha kifo. Mtu kufa na mwingine akifuatia ni coincidence tu hakuna uhusiano na ukimwi.

Naomba umtafute Karry Mullis , mgunduzi wa kifaa cha PCR mahospital ambacho ndicho kifaa hawa madactari wetu hukitumia kuverify hicho wanachoita sijui ukimwi au HIV(Cha kushangaza mgunduzi wa kifaa hicho hajawahi kuona kitu kinaitwa HIV). Hapa nilipo network inazingua ningekuwekea link uone
Sawa,
Basi ieleweke hivi,
Kirusi cha HIV hakipo kwani hakijawahi kuonekana.
Ila tufanye kuwa, umetambuliwa aina ya upungufu wa kinga mwilini ambao unauwezo wa kuambukiza toka mtu mmoja hadi mwingine kwa njia ya mwingiliano wa damu.
Yaani mtu mwenye huo upungufu wa kinga mwilini mwake anaweza kumwambukiza mtu asiye na huo upungufu kama damu yake itaingiliana na damu ya mtu huyo.
Hapa naona imekaa sawa sawa, pia tahadhari lazima itolewe kwa watu kujikinga na aina hiyo ya upungufu wa kinga mwilini inayoambukiza.
Upungufu huo wa kinga unaoambukiza tuuite kwa jina la AIDS, na ule wa kawaida usioambukiza tuuite HIV.
 
Nayajua mengi kwa kuwa nimempa kila mtu nafasi ya kuwa mwalimu wangu, kila mtu humifunza kwa yale atakayo, naheshimu kauli na mawazo ya wote kwa uzito sawa, LAKINI UELEWA NI JUU YANGU.
haha hahaa
 
madokta wamekimbia wanaenda kupekua notes@definition kala matapish yake kaenda kulala .aiseeee we deception ni mtu mbaya sana.umenifanya adi najichekea mwenyewe.jamaa wamekuja na miterminologies ya ajabu ili sisi tutoke kapa.lakini kumbe wamedandia treni kwa mbele.wanauliza vitu ambavyo vingi vilishatolewa ufafanuzi mda tu.nashindwa kuelewa ni wavivu wa kusoma au??kama wanashindwa kupitia uzi huu wa page 40 hayo mavitabu ya maugonjwa na maresearch wanapataga mda kwelibwa kuyapitia???
hahaaa....deception ndio HIV mwenyew ...madoctor wameota mbawa...hahaa Jamaa yuko smart minde mnooo aiseee...daahh wajua mtu unafuatilia mjadala mpka waona bichwa la taka Ku bust ..aiseee
 
Inawezana ila kwa sababu zifuatazo
1. Kama huna michubuko
2. Hujafanya mara nyingi kurudiarudia.
3. Kutumia nguvu sana wakati wa tendo, kwani upelekea msuguano kuwa mkubwa na hivyo mishipa ya damu kutanuka na kusababisha kuruhu kuingia kwa majimaji au kutoka kwa majimaji.
4. Na wewe pia huna maambukizi
5. Physiological ya gland peni hasa njia yake ni nyembamba sana, na kupelekea uguma kidogo kwa majimaji kupenya tofauti na mwanamke.
Hizo ni sababu za kiutaalamu zaidi.
 
Pia usisahau kama hakuna majimaji ya kutosha kwa mwanamke kwa ajili ya misoften viginal chance ya kupata mchubuko ni mkubwa mkuu, ni hayo tu
 
Sawa,
Basi ieleweke hivi,
Kirusi cha HIV hakipo kwani hakijawahi kuonekana.
Ila tufanye kuwa, umetambuliwa aina ya upungufu wa kinga mwilini ambao unauwezo wa kuambukiza toka mtu mmoja hadi mwingine kwa njia ya mwingiliano wa damu.
Yaani mtu mwenye huo upungufu wa kinga mwilini mwake anaweza kumwambukiza mtu asiye na huo upungufu kama damu yake itaingiliana na damu ya mtu huyo.
Hapa naona imekaa sawa sawa, pia tahadhari lazima itolewe kwa watu kujikinga na aina hiyo ya upungufu wa kinga mwilini inayoambukiza.
Upungufu huo wa kinga unaoambukiza tuuite kwa jina la AIDS, na ule wa kawaida usioambukiza tuuite HIV.
Hakuna ugonjwa unaoitwa Ukimwi (AIDS) unaotokana na HIV. HIV no retrovirus ambae kapewa sifa za kinadharia kuwa anababisha AIDS ili watu wapige pesa ila kiuhalisia hakuna kitu kinaitwa HIV. Hapo nakubaliana na wewe.

Sasa turudi kwenye hoja zako. Unasema mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini anaweza kumuambukiza mtu kwa njia ya damu. Huo ni uongo. Hivi unajua stress za maisha zinaweza kumfanya mtu kuwa na upungufu wa kinga mwilini??? SASA naomba unieleweshe kwa namna gani mtu mwenye stress anaweza kumuambukiza upungufu wa kinga mwilini (ukimwi ) mtu mwingine kwa njia ya muingiliano wa damu.

Kila mtu ana ukimwi hata wewe hapo unao na mimi pia , au hujui???? Sasa kipi kinakutatiza mkuu.
 
Kwa hiyo kwa utafiti wako hakuna haja ya kutumia kinga za ki-Kondom wakati wa tendo la kujamiiana kama lengo lake ni kujifurahisha tu ?
Kondom ivaliwe kwa kuepuka mimba sizizoratibiwa, na magonjwa kama Kisonono, Kaswende pekee.

Na sio kujikinga na HIV wala AIDS ?

Hapa inabidi mkuu uombe kufanya Mhadhara wa Kitabibu ili ufafanue hili wazo lako mbele ya jopo la wataalamu wa Afya.
 
Condom ya kwanza ya mfumo wa rubber ilitengenezwa mwaka 1855 , unaweza ingia ukasoma history yake. Na haikutengenezwa kwa ajili ya HIV. Mpaka hapo utakuwa umepata jibu.
 
Condom ya kwanza ya mfumo wa rubber ilitengenezwa mwaka 1855 , unaweza ingia ukasoma history yake. Na haikutengenezwa kwa ajili ya HIV. Mpaka hapo utakuwa umepata jibu.
Kama mawazo yako ni muhimu kwa jamii yetu,
Omba Mhadhara wa Kitabibu ili uieleze Umma kuhusu hilo wazo lako.
Hapa unazumngumza na watu ambao hawana utaalam wa kutosha wa mambo ya kiafya na Kitabibu
Na unaweza kuwapotosha watu wakaacha tahadhali ya kuchukua dhidi ya maambukizi ya Ukimwi.
Ili uaminike nenda Wizara ya Afya uwaeleze kuhusu hilo wazo lako la kuwa Virus HIV hayupo wala AIDS haipo, na juhudi za mashirika kama ya TACAIDS hazina maana.
Ukiweza kudhibitisha hilo wazo lako huko kunakohusika ndipo hapo sisi tutakuamini.
Hapa hatuwezi kukuamini kwani hatujui taaluma yako, wala mashiko ya utafiti wako.
Inawezekana unataka kupotosha umma tu.
Nenda kathibitishe hoja yako Wizara ya Afya kama ni ya ukweli itakubaliwa tu.
Sisi bado tunaamini mdudu HIV yupo na AIDS ipo.
Hadi hapo mashirika ya Afya yatakaposema vinginevyo.

" Ukweli huwa Ukweli Ukizungumzwa na Mhusika aliyebobea na kuaminiwa na umma juu ya jambo husika "
 
Yote uliyoandika yapo humu kwenye uzi huu nakuomba uanze kusoma tangu mwanzo wa thread hii mpaka hapa
 
Vipi kwa wale wanawake/wanaume waliotulia kwenye ndoa lakini wakaupata kutokana na wenza wao kutotulia,nao walistahili adhabu?

Hesabu niliyo nayo ni ndefu mno kwamba kama ulitulia kwenye ndoa yako ila mwenza akawa kiwembe, Muumba hataruhusu uupate. Kama uliupata, chunguza tu taratiibu, kuna siku katika hasira ya kutaka kumkomoa uliterereka ukatoka kwenye mstari. Kama ni me uliamua kumsulubu kwa kuingia lango lile la uani kwa hasira zako kuwa unamuadhibu. Kama ni ke, uliamua kuchoviwa na rafikiye kipenzi au mmoja wa wenye wake wenzio. Pole sana, Muumba wetu hana unyama huo.
 
ey try to get serious.... mi naona unapotosha watu tu na theory zako!!!

* HIV/AIDS Imeanza kuingia kabla hata ya ARVs kuuzwa, unavosema kuwa HIV/AIDS ni mradi wa kuuza ARVs unakosea sana.... ingeku hivyo basi ARVs zingekuja zamani sana pamoja na ugonjwa huo

* HIV/AIDS inasababishwa na ARVs.... seriously!??? wangapi ambao hawajaanza hata kutumia hizo dawa na tiari wanaugua ukimwi, haya tuseme vipimo ni fake hawana huo ukimwi then ni ugonjwa gani unaowadhoofisha mpaka kufa ambao bado hauna jina na ni nini dawa ya huo ugonjwa...

ukimwi upo jamani, acheni siasa kwenye mambo ya msingi
Mm nadhani hii ni pointi ni muhimu na ni kubwa haiwezekani watu wakaugua na kudhoofika siku had siku na wakat huo mwanzo hawakuwa hivyo na akienda kupima anaambiwa ni + na anaweza kwenda hata hospitali hata zaidi ya tatu akaambiwa ni + na wewe ukaenda hizo hospitali 3/ukaambiwa ni( -) haiingii akilini mtu kusema hakuna huu ugonjwa ilhali tunawaona watu wanavyo fukiwa kila ck sasa tuseme ni nini kinachowaua kama c ngwengwe!!!! Cha msingi serikali zetu zifuatilie huu ugonjwa kwa undani zaid huko kwa wenzetu na kujua namna ya kuuondoa na kama kweli wazungu wanatudanganya bac tugundue bac ni nini kinachotuua kila siku naomba sana serikali zetu za Afrika zishirikiane katika kutatua hili suala la huu ugonjwa haraka inawezekana kweli wanatunganya kwa mitego fulani hawa wa magharibi.
 
Ndio, ni kweli mkuu,naona wewe unaanza kufunguka sasa,kaza uzi huohuo utajua mengi tu zaidi ya hayo,this world is full of fiction,utajua mengi tu,nenda taratibu.
Wanasema kwamba global warming inasababishwa na hewa ukaa(carbon dioxide) kitu ambacho si kweli.Au kivingine, wanasema global warming ni anthropogenic,yaani husababishwa na shughuli za kibinadamu ambazo huzalisha hewa ya ukaa.Yaani hapa mkuu hawa jamaa wanadanganya mpaka utapenda badala ya kuchukia.
Lakini wanapata profit kubwa sana kwa uongo huu,tukipata muda tutaijadili hii pia.Huu upumbavu aliuanzisha Al Gore,unamkumbuka huyu jamaa?Unajua ukiwa una influence kwenye serikali ya marekani ni rahisi sana kuanzisha biashara hata kama ni feki,kama hii ya HIV/AIDS.Kuna mtaalam mmoja alisema "If you find something doesn't make sense then follow the money and you will find any answer"
Hivyo mkuu,kuna biashara nyingi feki nenda taratibu utazijua tu na itakufanya uwe huru kwenye maisha yako.Najua kuna mambo mengi kwa sasa yamekuweka kifungoni na tumekaririshwa mashuleni,lakini baada ya kujua ukweli utakuwa huru na utaanza kuona raha ya dunia.
naona rais trump amekusapoti bega kwa bega ktk hili la global warming kwani jamaa haamini hili jambo hadi ameitoa USA kwenye makubaliano yahusuyo global warming
 
This is not quite practical. HIV both I&II finds a home in hosts WBC.

Je unajua baada ya virus kuingia ndani ya mwili wa binadamu. At very first stage within 72 hours ni kuishi kwenye lymphatic nodes?

Hapo ndipo PEP hufanya kazi za kuzuia HIV kwenda kwenye WBC. Mwisho wa siku virus wankufa na kuwa dormant kabisa.

Tambua na ijulikane. Virus wa ukimwi amekuwa laboratory engineered to live and produce replica in white blood cell..
Mkuu ungesema kwa kithwahili wengi wakaelewa maana hicho kizaramo ulichoandika hakieleweki bora ungeandika kisukuma.!
 
mkuu ..nafuatilia huu mjadala ambao sikiwahi kujua kama upo ...nakuhakikishia nitasoma "" kurasa zote bila kuacha hata kurasa moja...lakini nataka nikupe heshima yko aisee...shikamoo ..shikamooo..shikamooo .@deception
Napenda mtu kama wewe ambae una guts za kusoma huu uzi toka page ya kwanza hadi mwisho. Nikushauri usome na kudadisi kwa kina utapata jambo jipya.

Nasikitika wako baadhi wanarukia page ya mwisho na kudondosha comment, sulute kwa deception. Huu uzi uko humu toka 2013, usome mkuu utapata mengi sana.
 
asante chief "" unapousoma mjadala kuanzia mwanzo ndio unapata kung'amua mambo mengi kwakina ""...nashukuru sana kwa pongezi"""
 
Back
Top Bottom