NOTE: KWA WA WATUMIAJI WA ARV.
Mnapopewa hayo madawa yanakuwa wrapped kwenye mifuko maalumu, hivyo mnashauriwa mzitunze hizo dawa kwenye mifuko /container kama mlivyopewa, maana wengine wakipewa tu ARV wanatoa kwenye mifuko yake maalumu wanaweka kwenye makaratasi au vitu wanavyovijua wao kwa kuogopa watu kuwagundua kuwa wanatumia ARV, mwisho wa siku izo dawa haziwi DAWA bali zinakuwa SUMU matokeo yake yanakuua wewe mwenyewe,wataalamu wana maana yao walivyohifadhi hizo dawa kwenye hyo mifuko, hivyo unatakiwa uhifadhi umo umo, kama watu wakiona utajibeba vinginevyo una haribu virutubisho vya hizo dawa na kugeuka sumu, so watumiaji mzitunze ivooo, ndo maisha yenu hayo, nyie jishaueni mjifanye masista duu mnayaficha kwenye maziwa wengine kwenye boxer sijui mnajidanganya wenyewe, ukimwi si wako? Maisha si yako? KWa nini uogope? Mara wengine wanaficha ARV matakon* eeh jamani kweli? Kama unao best unao tu, cha muhimu ni kuhifadhi sehemu maalumu kama utakavyoelezewa na wataalamu
Maana wengine wanatembea na ARV kutwa wamezificha kwenye matak* au nguo za ndani, sasa jaman kweli? Na wengine kuzifua nguo za ndani ni mtihani wa taifa, sasa izo dawa zitakuwa dawa kweli au mnataka tu na mengine? ARV ndo mpenzi wako wa maisha ivo umtunze kama mboni yako nshamaliza
Cc:
Gorgousmimi
Deception Econometrician