Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mi nilipima 2015 nipo + ila nimezaliwa nao family ilikua haijanambia,2016 nikachek cd4 ziko juu Dr akanambia nichukue dawa nikagoma (nilikua bado sina elimu yoyote kuhusu hayo madawa ila nilikataa maana muoga wa dawa) nikamwambia Dr zikishuka nitakuja sasa nikawaza kama nimeweza kuishi zaidi ya miaka 20 bila mapipi yao kwanini nitumie sasa,nikichanganya na niliyosoma humu yaani labda wanizimishe halafu ndo wanipe
Bravo hta kaka yangu na shangazi waligoma na mpaka leo wandunda mwaka 6 na 4 huu
 
Niongezee kidogo. Niliishi na mke wangu miaka kumi. Alianza kuumwa mwaka wa nane wa ndoa yetu. Nilipuuza. Mwaka wa tisa nikaanza kupata hofu baada ya kusikia aliyekuwa mpenzi wake kabla yangu ana virus. Hatukupima hadi alipozidiwa mwaka wa kumi. Nilimpeleka hospital ambapo walimshauri apimwe na majibu yakawa +. Akafa siku iliyofuata kwa hofu.
Niliishi kama mwaka hivi nikaamua nikapimwe. Sikuamini niliambiwa sina maambukizi. Nilirudia zaidi ya mara tano kwa kubadilisha vituo lakini jibu likawa ni -
Hadi leo najiuliza imewezekanaje, sipati jibu.
Your luck. Kuna watu hawana HIV receptor so hata wakuinject HIV virus watakuwa chakula chako tu mkuu .
 
Si kweli.Ukiwa na nia ya kujua ukweli utajua tu.Kuna mifano mingi ipo ya watu wenye HIV na hawatumii ARVs na bado CD4 zao ziko juu,tena ni wengi hata humu wapo watu wanatoa ushuhuda.

Mimi sikubaliani kwamba HIV/AIDS is real.AIDS ndio real na hata hiyo AIDS haitishi,ukibadilisha lifestyle tu uko safi na wakati mwingine unakuwa na AIDS wewe mwenyewe hujui mpaka uumwe mfano TB ndio utagundua,lakini wakati mwingine AIDS inatoweka bila wewe kujua,ni utaratibu wa maisha tu ambao nilishazungumzia haya.
Lakini napinga mpaka mwisho wa maisha yangu kwamba hakuna AIDS inayosababishwa na HIV.HIV hana uwezo wa kushusha kinga ya mwili,nina scientific evidence na mifano hai kuthibitisha hili.Wewe umeanzia mwishoni huu uzi.

Na ndio maana nasema ili mtu aelewe ukweli kuhusu jambo hili inabidi apitie hatua zote nilizotaja mwanzoni.Halafu inabidi ajue kwamba hii ni biashara ya watu fulani,HIV/AIDS haukutokea kwa bahati mbaya,ulipangwa.Ninaposema ulipangwa sina maana HIV ametengenezwa,la hasha,bali mfumo mzima wa kutunga ugonjwa huu HEWA ndio umepangwa.

Watu hawajui;HIV ni retrovirus,retrovirus huyu amepachikwa jina hili na watu wawili tu ambao ni Robert Gallo na Luc Montaigner.Hawa ndio wamepewa hati miliki ya ugunduzi.Wamekusanya data zao wakachanganya zikawa zinatofautiana lakini pamoja na hayo wakaamua watoe jina moja la mdudu huyu HEWA ambalo ni HIV.Sasa hakuna retrovirus yoyote duniani mwenye uwezo wa kushusha kinga.

Unahitaji kujua mambo mengi sana kwa kuwa kila pembe ya ugonjwa huu feki kuna very tricky deception.Kama huelewi pembe zote hizo basi kila wakati utaendelea kujishawishi kwamba HIV/AIDS is real kila kukicha.Hwa jamaa wana akili bwana.
Deception nimekuelewa sanaa broo na nna shukuru kwa kutufungua asee binafsi nlikuwa mguu nje kuhusu ukimwi hususan pale nilipokuja kusikia kuwa Huyo virus feki ni man made... daahh nikasema kuna people zinauwezo wa kukipa roho kiumbe...??
Anyway maswali mengi yameulizwa nikihisi ni magumu lakin man umeyajibu kirahisi sanaa kiasi Hata mm cna cha kuuliza zaid tuu naomba unisaidie hapa mkuu na me nitembee kifua mbele na nielimishe wengine kadri nitakavyo jaaliwa...

1.Huyu retrovirus najua yupo na wao ndo wanamsingizia kuwa anasababisha ukimwi feki asa je hyu virus anaambukizwaje au katika mazingira gan mtu unaweza kumpata....?? Kiasi kupimwa na kukutwa una kinga dhidi yake ambayo wao ndo wanaiterm as ukimwi...??

2.Je akikuingia hyu virus the ukamdhibiti ndo unakuwa vaccinated against it au vp...??

Sina swali zaid...
Ila ningeoendekeza yafuatayo.....

1. Naona una nia ya thabbit kabbisa kuukomboa huu umma so ingependeza zaid na nnaomba ungetengeneza audio voice kuelezea hii kitu vizur na kwa lugha nyepesi tu ili hata kwa yule asiyekuwa na elim hata ya shule aelewe ilimrad ajue tuu kiswahili....

2.No 1 will left katika huu ulimwengu na me nnajua haya yote yamefanyika kwa lengo flan hv....
For my side naona its all about ILLUMINATE na FREEMANSON kupunguza watu na kuweza kuitawala dunia.... Apart from hlo coz hata ukiangalia condom,uzazi wa mpango na mengine kibbao.

So pls man usivunjike moyo elimisha man as much as you can na kwa kadri alivokuwezesha Allah naiman unafungu lako.....
Deception
 
Asante mkuu Deception hakika nimepata maarifa mapya Mungu akubariki uendelee na moyo huo huo.
 
Si kweli.Ukiwa na nia ya kujua ukweli utajua tu.Kuna mifano mingi ipo ya watu wenye HIV na hawatumii ARVs na bado CD4 zao ziko juu,tena ni wengi hata humu wapo watu wanatoa ushuhuda.

Mimi sikubaliani kwamba HIV/AIDS is real.AIDS ndio real na hata hiyo AIDS haitishi,ukibadilisha lifestyle tu uko safi na wakati mwingine unakuwa na AIDS wewe mwenyewe hujui mpaka uumwe mfano TB ndio utagundua,lakini wakati mwingine AIDS inatoweka bila wewe kujua,ni utaratibu wa maisha tu ambao nilishazungumzia haya.
Lakini napinga mpaka mwisho wa maisha yangu kwamba hakuna AIDS inayosababishwa na HIV.HIV hana uwezo wa kushusha kinga ya mwili,nina scientific evidence na mifano hai kuthibitisha hili.Wewe umeanzia mwishoni huu uzi.

Na ndio maana nasema ili mtu aelewe ukweli kuhusu jambo hili inabidi apitie hatua zote nilizotaja mwanzoni.Halafu inabidi ajue kwamba hii ni biashara ya watu fulani,HIV/AIDS haukutokea kwa bahati mbaya,ulipangwa.Ninaposema ulipangwa sina maana HIV ametengenezwa,la hasha,bali mfumo mzima wa kutunga ugonjwa huu HEWA ndio umepangwa.

Watu hawajui;HIV ni retrovirus,retrovirus huyu amepachikwa jina hili na watu wawili tu ambao ni Robert Gallo na Luc Montaigner.Hawa ndio wamepewa hati miliki ya ugunduzi.Wamekusanya data zao wakachanganya zikawa zinatofautiana lakini pamoja na hayo wakaamua watoe jina moja la mdudu huyu HEWA ambalo ni HIV.Sasa hakuna retrovirus yoyote duniani mwenye uwezo wa kushusha kinga.

Unahitaji kujua mambo mengi sana kwa kuwa kila pembe ya ugonjwa huu feki kuna very tricky deception.Kama huelewi pembe zote hizo basi kila wakati utaendelea kujishawishi kwamba HIV/AIDS is real kila kukicha.Hwa jamaa wana akili bwana.
Mi mmoja wapo,tena nina afya huwezi jua kama situmii na Nina zaid ya miaka 20
 
Mi nilipima 2015 nipo + ila nimezaliwa nao family ilikua haijanambia,2016 nikachek cd4 ziko juu Dr akanambia nichukue dawa nikagoma (nilikua bado sina elimu yoyote kuhusu hayo madawa ila nilikataa maana muoga wa dawa) nikamwambia Dr zikishuka nitakuja sasa nikawaza kama nimeweza kuishi zaidi ya miaka 20 bila mapipi yao kwanini nitumie sasa,nikichanganya na niliyosoma humu yaani labda wanizimishe halafu ndo wanipe
Mkuu nakushauri uingie kwenye dozi haraka iwezekanavyo....
 
Ndio mkuu,yaani sikubakisha kitu,documentary zote zinazohusu mambo haya nimezifuatila kwa undani kabisa tena karibu mara sita sita kila moja.Hakuna documentary nilibakisha.Pia scientific papers mbalimbali nimefuatilia na nimefanya tafiti mbalimbali clinic za watu wanaotumia ARVs na nimefuatilia pia watu wanaotumia ARVs walio kwenye hatua za mwisho/yaani wenye hali mbaya zaidi kiafya.
Nikaja kuhitimisha kwamba,sisi tunauawa kwa kukosa maarifa na uelewa,kwa kweli inaniuma sana hadi leo hii baada ya kujua ukweli huu na ninadhani ipo siku walioshikiria biashara hii ya ARVs wataniua kwa kuwaelimisha watu ukweli kwa maana sina hata chembe ya uvumilivu ya kuhifadhi ukweli huu ndani ya ubongo wangu.
Tumedanganywa kuhusu ugonjwa huu kuanzia;
1.Historia yake(ni feki)
2.Hypothesis yake(ni uongo uliopindukia)
3.Vipimo vya HIV(ni feki na very misleading)
4.na Dawa zake za ARVs(hazina faida yoyote na ndio hizi hasa zinazosababisha matatizo halafu tunamsingizia HIV).
Hivi Mzee baba aids ilipoingia tz kupitia Uganda kulikua hakuna ARV mbona watu walipukutika sana
 
My dad is HIV positive.. But it took two years my mom to realize it.. And still now she's negative.. Thou nowadays they're using condoms... But earlier they didn't used it.. Dadii he was just very carefully protecting her wife without my mom noticing..

Rafiki yangu kipenz alinipa hiki Kisa cha ukweli kuhusu wazazi wake
 
Wadau,

Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!

Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu! Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."

Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".

Nisaidieni wadau.

Nawasilisha.

======
Usije ujajaribu.Minakuomba uache zinaaa
 
Hakika unaweza kwenda peku na usiupate ili mradi usiwe na manjonjo mengi kitandani na kikubwa ni kumwandaa tu

Samahani sana jingus;
Hayo manjonjo mengi kitandani ni yapi?? Wataka kutuambia kuwa "Kifo cha mende tu" ndio ruksa na ku pump kama baiskeli kujaza upepo basi?? Nina mashaka na wewe na ukiendeleza utoto huo, jamaa atatoka nje leo leo. Akirudi wewe utapewa kadawa tu kwa wiki mara moja.
Mwanamke jifunze kila aina ya utundu kitandani bora chunga jicho lisiguswe tu. Wake zetu leo wanatutoa mijasho na hatujaupata
 
Back
Top Bottom