dirtyboy
JF-Expert Member
- Sep 16, 2017
- 380
- 669
Habari za wakati huu wana JF.
Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza kufanya mtihani wa qt kwa mwaka mmoja? Nakama inawezekana nitaratibu zipi afate?
Nakaribisha michango yenu.