Kama ulifaulu kidato cha pili, QT ya nini? QT ni daraja kati ya darasa la saba na kidato cha nne. Jiandikishe tu kufanya CSEE.Habari za wakati huu wana JF.
Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza kufanya mtihani wa qt kwa mwaka mmoja? Nakama inawezekana nitaratibu zipi afate?
Nakaribisha michango yenu.
Ni Lazima Afanye QT ,Then Akifaulu Atapata Namba Ambayo Atasajilia PCHabari za wakati huu wana JF.
Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza kufanya mtihani wa qt kwa mwaka mmoja? Nakama inawezekana nitaratibu zipi afate?
Nakaribisha michango yenu.
Bila shaka mkuu! ๐๐๐พNatumae mleta mada umepata muongozo...
Itawezekana, chamsingi awe na ile namba yake ya mtihani ambayo itaonesha ufaulu wake wa form two, maana ili ufanye mtihani wa kidato cha nne lazima uwe umefaulu kidato cha pili,Habari za wakati huu wana JF.