Je, inawezekana tunapigwa changa la macho au ndio tushachinjiwa baharini au tuvute subra?

Wadau mambo vipi, nimepata kazi ya serikalini ofisi flani, nimeèndà kuchukua barua utumishi na kuipeleka pale ofisini ambako niliambiwa nipeleke hiyo barua, alafu pale ofisini tuliambiwa tutaitwa ilì kuañza kazi ila tumeacha nyaraka zetu muhimu kama vile kopi za vyeti n.k, tangu tuambiwe tutaitwa ni mwezi sasa umepita, Je, inawezekana tunapigwa changa la macho au ndio teshachinjiwa baharini au tuvute subra? Ñaombeni msaada
Mwezi tu??? ingekuwa miezi mitatu sawa. Baadhi ya taratibu inabidi zikamilike kabla ya kuanza kazi. Kikubwa ulishapeleka barua kutoka utumishi kuja kwenye hiyo ofisi husika.
 
Huwezi kuitwa kabla jina halijaingia kwenye Pay roll subiria,halafu Utumishi haiwezi kufanya mambo ya mzaha.
 
Wenzio waliitwa tarehe 2 novemba, wameenda kuanza kazi mwezi huu last week. Unafikiri mchezo mkuu.
 
Wadau mambo vipi, nimepata kazi ya serikalini ofisi flani, nimeèndà kuchukua barua utumishi na kuipeleka pale ofisini ambako niliambiwa nipeleke hiyo barua, alafu pale ofisini tuliambiwa tutaitwa ilì kuañza kazi ila tumeacha nyaraka zetu muhimu kama vile kopi za vyeti n.k, tangu tuambiwe tutaitwa ni mwezi sasa umepita, Je, inawezekana tunapigwa changa la macho au ndio teshachinjiwa baharini au tuvute subra? Ñaombeni msaada
Tunafanyia kazi vyeti vyako kama ni sahihi maana kazi yetu ni nyeti sana hatupendi ubabaishagi.(alisikika mlevi mmoja akisema)
 
Back
Top Bottom