ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Mleta mada fuata ushauri huu hapa!Ni vema uonge na wahusika au ndg zao mkubaliane mkuu.
Hii jaribu kupata uzoefu kutoka kaburi la Kiyeyeu IringaNimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
🤣🤣🤣Wee Sema Kweli?Mtu akishakufa amekufa
Embu ondoa uchafu huo
Ongea na ndugu zake wakupe taratibu zao. Ila yanahamishika tu.Hii jaribu kupata uzoefu kutoka kaburi la Kiyeyeu Iringa
The dead online.comOngea na ndugu zake wakupe taratibu zao. Ila yanahamishika tu.
MARTIN KIYEYEU TANESCO NA INTERBETON WANAMJUA VIZURI.
wahehe Mungu anawaona!
Ulianzaje kununua kiwanja chenye makaburi?Nimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
Martin Kiyeyeu NyamaumeHii jaribu kupata uzoefu kutoka kaburi la Kiyeyeu Iringa
😆✍️Martin Kiyeyeu Nyamaume
Ilikuwaje mkuu?Hii jaribu kupata uzoefu kutoka kaburi la Kiyeyeu Iringa
Sawa mkuu,enhe ilikuwaje huko kwenye kaburi la Martin?Ongea na ndugu zake wakupe taratibu zao. Ila yanahamishika tu.
MARTIN KIYEYEU TANESCO NA INTERBETON WANAMJUA VIZURI.
wahehe Mungu anawaona!
Ni kiwanja ambacho kinapakana na na kiwanja changu, nikaona nijitanue .Ulianzaje kununua kiwanja chenye makaburi?
Tetesi zinasema wengi wa waliohusika kuhamisha makaburi yale waliitwa na Kiyeyeu wakajielezeIlikuwaje mkuu?
Acha tamaa, komaa na eneo lako.Ni kiwanja ambacho kinapakana na na kiwanja changu, nikaona nijitanue .
Ni kweli mtoto mzuri to yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wee Sema Kweli?
Uchawi unahusika hapoTetesi zinasema wengi wa waliohusika kuhamisha makaburi yale waliitwa na Kiyeyeu wakajieleze
Haya bhanaNi kweli mtoto mzuri to yeye