Je, inawezekana ukahamisha makaburi na yasitokee madhara?

Je, inawezekana ukahamisha makaburi na yasitokee madhara?

Hakuna madhara hapa napoishi Kuna ma kabuli mawili nimeweka msingi nimejenga vyumba viwili wapangaji wanakaa kwa Amani kubwa Sana kama kawaida so Safi tu Sema usiwe na mawenge mawenge ya udhaifu moyoni mwako kuona kwamba ni kitu cha ajabu au sio bhana
 
Nimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
Ulinunua kiwanja itabdi Sasa ununue kiwanja Cha makaburi na gharama za kuhamisha. Bado Kazi unayo... Kuna jamii haziamin kwenye kuhamisha makaburi itabidi utumie nguvu Zaidi..
 
Haya maisha haya hamna kupmzka hata ukifa s walsema ukifa unaenda kupumzka kwenye nyumba yako ya milele mbona kusumbuana tena
 
Back
Top Bottom