Umechemka sana kununua kiwanja chenye makaburi. Bora ungetosheka tu na kiwanja chako cha awali.Ni kiwanja ambacho kinapakana na na kiwanja changu, nikaona nijitanue .
Nikiongea na wahusika ili wahamishe wenyewe je?Umechemka sana kununua kiwanja chenye makaburi. Bora ungetosheka tu na kiwanja chako cha awali.
Binafsi sikushauri kuyahamisha. Badala yake, ni bora mara 100 ukalikwepa hilo eneo kwa namna yoyote ile.
Nikiongea na wahusika ili wahamishe wenyewe je?Umechemka sana kununua kiwanja chenye makaburi. Bora ungetosheka tu na kiwanja chako cha awali.
Binafsi sikushauri kuyahamisha. Badala yake, ni bora mara 100 ukalikwepa hilo eneo kwa namna yoyote ile.
Mkuu na wewe umekubali kabisa kununua kiwanja chenye makaburi ambayo hujui ni ya nani?Nimenunua kiwanja pembeni kina makaburi matatu, ni kipande cha mita tatu kwa tatu, sasa nawaza niyahamishie sehemu nyingine huko ili nipate nafasi kubwa zaidi ya kiwanja, nimekuja kwenu ili nijue kama kuna madhara yoyote au la.
Hela yenyewe unayo sio utusumbue njoo na hela kaburi moja kuhamisha milioni mbili kama huna usije[emoji13][emoji13]Nikiongea na wahusika ili wahamishe wenyewe je?
[emoji3][emoji3]Hela yenyewe unayo sio utusumbue njoo na hela kaburi moja kuhamisha milioni mbili kama huna usije[emoji13][emoji13]
Kiwanja cha milioni 3.5 nihamishe makaburi kwa milioni 6 = 9.5M,rudisheni pesa zangu.Hela yenyewe unayo sio utusumbue njoo na hela kaburi moja kuhamisha milioni mbili kama huna usije[emoji13][emoji13]
Hata wakikubali kuhamisha itabidi wahamishe wao mkuu,vinginevyo yatabaki kama yalivyo.Kwetu ukijaribu kufukua kaburi la mtu afu uache kufanya tambiko lazima utakufa muda si mrefu.
Mleta mada nakushauri uwahusishe wanafamilia wa kina marehemu muelewane kabla hujafanya lolote.Na Kama utapewa taratibu za kuafuata hakikisha unazizingatia ipasavyo coz that's a matter between life and death.
Kama watakubali kuhamisha,watakaohamisha ni wao sio mimi.Mtatizo mengine huwaga mnajitaftia tu.
Makaburi si yakuish nayo, ni vile tu hii nchi mipango miji ni hovyo.
Kuhamisha makazi ya wafu huo ni upuuzi maana inakuwa ni dharau na kashifa, hata wew hupendi kusumbuliwa ukiwa umelala, je kwanini uwasumbue hao waliopp kaburin?
Uza icho kiwanja katafte mahala pengine, na nikuonye ole wako uharibu ama uhamishe hayo makaburi, majibu utayapata baada ya muda, na hakika utarudi hapa kutupa ushuhuda na kuomba ushaur wa jinsi ya kuwakimbia mizimu..ole wako kijana, be respectively kwa waliolala
Umeuliza swali nililotaka kuulizaa[emoji1][emoji1][emoji1]Ulianzaje kununua kiwanja chenye makaburi?
Kinapakana lkn sio sehemu yako sio,,,,sasa ujitanuaje kwa eneo ambalo si lako,unakaribisha migogoro na wafu jaribu uone km utakaa hapoNi kiwanja ambacho kinapakana na na kiwanja changu, nikaona nijitanue .
Hata kama ashakufa bado ana thamani kwa nduguMtu akishakufa amekufa
Embu ondoa uchafu huo
Ile ilikuwa ni sehemu ya madhabau ya kichawi na mhusika alikuwa ni chief satanists alif star one.Hii jaribu kupata uzoefu kutoka kaburi la Kiyeyeu Iringa
Kwenye mioyo yaoHata kama ashakufa bado ana thamani kwa ndugu
Kwani ulipojenga una uhakika gani ujajenga juu ya kaburi, na uhakika upi haukuwa mji watu walizikwa hapo zamani kablaUmechemka sana kununua kiwanja chenye makaburi. Bora ungetosheka
tu na kiwanja chako cha awali.
Binafsi sikushauri kuyahamisha. Badala yake, ni bora mara 100 ukalikwepa hilo eneo kwa namna yoyote ile.
But still panaheshimika bado ndo maana ya nyumba ya milele.Kwenye mioyo yao
Ila pale chini inabaki mbolea