Je inawezekana ukaomba ajira mkoa mwingine na ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba?

Je inawezekana ukaomba ajira mkoa mwingine na ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba?

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
 
Duh kwanza karipoti kazini majobless wote tumetamani hatua uliyopo
 
Back
Top Bottom