T Taitu2024 JF-Expert Member Joined May 15, 2024 Posts 244 Reaction score 295 Jul 14, 2024 #1 Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
Lightysh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2024 Posts 434 Reaction score 1,551 Jul 14, 2024 #3 Watu wanaomba kazi Dar na wanapata, hilo lisikutishe. Ushindani usikukatishe tamaa, ukiona kazi unaqualify apply tu huku ukiwa na imani utaipata.
Watu wanaomba kazi Dar na wanapata, hilo lisikutishe. Ushindani usikukatishe tamaa, ukiona kazi unaqualify apply tu huku ukiwa na imani utaipata.
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Jul 14, 2024 #4 Duh kwanza karipoti kazini majobless wote tumetamani hatua uliyopo