RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Tangu awamu ya Tano zilisikika tetesi Kuna wageni wanashiriki ulinzi was wakubwa,lakini tetesi hizi hazikukanushwa wala kutolewa maelezo coz ishu hizi ni nyeti sana!
Mwaka jana kukapitishwa Sheria ya kitengo kisiingiliwe kwenye utendaji wake pale inapokua kwenye operation na sasa Kuna kelele za askari kanzu wengi sana wametapakaa Tanzania nzima wakiendesha Operation teka teka wakijitambulisha kuwa wao ni polisi na wakiwachukua wahanga hawakutwi kituo chochote Cha polisi!!
Hao askari kanzu wenye roho katili hivi ni watz kweli!!?tunajuaje kama ni mapandikizi Toka Kwa jirani yaliyoingia awamu ile!!?na Sasa kama wanajiimarisha zaidi hamuoni hatari mbeleni !?wakawa na influence kwa aina ya viongozi watakao shika hatamu?
What if wakihitilafiana na wenyeji nini kitatokea!!?
Huwa nawaza tu kwa sauti kama mwenye akili timamu!