Kwa ubobezi nilio nao inawezekana pia upinzani ukafanya uhalifu huu wa utekaji ili kuchafua reputation ya alie madarakani, ukiniuliza upinzani wanawezaje kuteka watu wao wenyewe ntakujibu inawezekana ni kama mzazi mwenye tamaa ya mali anavyoweza kumtoa kafara mtoto wake ili yeye awe tajiri.
Aliemadarakani hata kama anafanya uchafu lakini hawezi kufanya uchafu huo kwa kiwango ambacho kinaharibu sifa yake kwa kiasi hiki, kwahiyo inaweza kuwa ni upinzani ndo wanafanya au kikundi cha watu walio ndani ya chama tawala chenye nia ya kumchafua alie madarakani, lakini siyo rahisi aliemadarakani kujichafua mwenyewe.