Je, inayotekelezwa ni ilani ya CCM au ilani ya mtu?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,169
Kama kweli inayotekelezwa ni ilani ya CCM iweje leo wana CCM wenyewe watilie mashaka ilani yao?
1. Wananza kujadili manufaa ya ununuzi wa ndege.
2. Leo hii wanaanza kujadili umeme wa maji dhidi ya umeme wa gesi
3. Leo hii wanajadili bandari ya bagamoyo dhidi ya reli ya kisasa.
4. Leo hii wanajadili chanjo ya corona na kuvunja nyungu muhimbili.
Wananchi tuliowapa dhamana tunaanza kuingiwa mashaka na uwezo wenu wa kuongoza lakini pia hata hatuelewi nia yenu juu ya taifa letu.
Sasa hii ni CCM ambayo bado ina wazee wenye busara akina Warioba, je hali itakuwaje kwa CCM ya miaka 20 ijayo ambapo wazee wa chama watakuwa akina Polepole na babu Tale?
"Muda utaongea"
 
Kazi ya mbunge ni kujadili mambo iwe kwa kukubaliana ama kutokukubaliana na mambo hayo kwa maslahi mapana kwa taifa lakini kujadili kwa lengo la kupinga waziwazi huo ni usaliti kwa taifa.
 
Ilani yao ilitungwa na kikundi na genge la wapigaji likiongozwa na kina Bashiru, Slowslow na Hayati 'Ntu ya dili'
Marehemu 'Ntu ya dili' alikuwa ni populist aliejificha kwenye chaka la propaganda ili kuhadhaa uma kuwa ni mchapa kazi!
 
Kama kweli inayotekelezwa ni ilani ya CCM iweje leo wana CCM wenyewe watilie mashaka ilani yao?
1. Wananza kujadili manufaa ya ununuzi wa ndege.
2. Leo hii wanaanza kujadili umeme wa maji dhidi ya umeme wa gesi
3. Leo hii wanajadili bandari ya bagamoyo dhidi ya reli ya kisasa.
4. Leo hii wanajadili chanjo ya corona na kuvunja nyungu muhimbili.
Wananchi tuliowapa dhamana tunaanza kuingiwa mashaka na uwezo wenu wa kuongoza lakini pia hata hatuelewi nia yenu juu ya taifa letu.
Sasa hii ni CCM ambayo bado ina wazee wenye busara akina Warioba, je hali itakuwaje kwa CCM ya miaka 20 ijayo ambapo wazee wa chama watakuwa akina Polepole na babu Tale?
"Muda utaongea"
🤔🤔🤔Babu Tale Polepole🤭🤭🤭😊😊😊😃😃
 
Aisee 🤔

Kama hawaitaki ilani yao ilitakiwa waigomee huko ndani ya chama ikitoka huko iwe maamuzi ya umoja
Kazi ya mbunge ni kujadili mambo iwe kwa kukubaliana ama kutokukubaliana na mambo hayo kwa maslahi mapana kwa taifa lakini kujadili kwa lengo la kupinga waziwazi huo ni usaliti kwa taifa.
 
Wakati magufuli alipotia ilani ya ccm mfukoni kwake ulisema wewe mjinga?

Heri kipindi hiki ilani ya ccm inatekelezwa
 
Ulimsikiliza Mangula akihutubia kwenye msiba Chato?
Alisema nanukuu " Yote yaliyofanyika kipindi cha JPM yameelezwa kwenye ilani ya chama"
Hiyo maana yake hakuna lililofanywa nje ya ilani
 
Sasa wewe unamwamini Mangula? Mangula na Magufuli hawana tofauti.

Wote wanapenda kupika data, wote wanapenda keki ya nchi iliwe na wasukuma pekee, wote wana element za ujinga fulani
 
Back
Top Bottom