Inafikirisha sana, kwenye msiba makamu mwenyekiti bara alisema yote yaliyofanywa yapo kwenye ilani yenye kurasa zaidi ya 300 ila leo wenye yao wanaanza kuikataaIlani yao ilikuwa ni ilani ya mashaka.
Tunawezaje kuwaamini kwenye mambo makubwa kama haya madogo tayari wameanza kupinganaIlani yao ilikuwa ni ilani ya mashaka.
Ilani yao ilitungwa na kikundi na genge la wapigaji likiongozwa na kina Bashiru, Slowslow na Hayati 'Ntu ya dili'Ilani yao ilikuwa ni ilani ya mashaka.
Marehemu 'Ntu ya dili' alikuwa ni populist aliejificha kwenye chaka la propaganda ili kuhadhaa uma kuwa ni mchapa kazi!Ilani yao ilitungwa na kikundi na genge la wapigaji likiongozwa na kina Bashiru, Slowslow na Hayati 'Ntu ya dili'
🤔🤔🤔Babu Tale Polepole🤭🤭🤭😊😊😊😃😃Kama kweli inayotekelezwa ni ilani ya CCM iweje leo wana CCM wenyewe watilie mashaka ilani yao?
1. Wananza kujadili manufaa ya ununuzi wa ndege.
2. Leo hii wanaanza kujadili umeme wa maji dhidi ya umeme wa gesi
3. Leo hii wanajadili bandari ya bagamoyo dhidi ya reli ya kisasa.
4. Leo hii wanajadili chanjo ya corona na kuvunja nyungu muhimbili.
Wananchi tuliowapa dhamana tunaanza kuingiwa mashaka na uwezo wenu wa kuongoza lakini pia hata hatuelewi nia yenu juu ya taifa letu.
Sasa hii ni CCM ambayo bado ina wazee wenye busara akina Warioba, je hali itakuwaje kwa CCM ya miaka 20 ijayo ambapo wazee wa chama watakuwa akina Polepole na babu Tale?
"Muda utaongea"
Kama kweli inayotekelezwa ni ilani ya CCM iweje leo wana CCM wenyewe watilie mashaka ilani yao?
1. Wananza kujadili manufaa ya ununuzi wa ndege.
2. Leo hii wanaanza kujadili umeme wa maji dhidi ya umeme wa gesi
3. Leo hii wanajadili bandari ya bagamoyo dhidi ya reli ya kisasa.
4. Leo hii wanajadili chanjo ya corona na kuvunja nyungu muhimbili.
Wananchi tuliowapa dhamana tunaanza kuingiwa mashaka na uwezo wenu wa kuongoza lakini pia hata hatuelewi nia yenu juu ya taifa letu.
Sasa hii ni CCM ambayo bado ina wazee wenye busara akina Warioba, je hali itakuwaje kwa CCM ya miaka 20 ijayo ambapo wazee wa chama watakuwa akina Polepole na babu Tale?
"Muda utaongea"
Kazi ya mbunge ni kujadili mambo iwe kwa kukubaliana ama kutokukubaliana na mambo hayo kwa maslahi mapana kwa taifa lakini kujadili kwa lengo la kupinga waziwazi huo ni usaliti kwa taifa.
Lakini wote waliitumia kuombea kuraIlani yao ilitungwa na kikundi na genge la wapigaji likiongozwa na kina Bashiru, Slowslow na Hayati 'Ntu ya dili'
🤔🤔🤔Babu Tale Polepole🤭🤭🤭😊😊😊😃😃
Wananchi tunapata mashaka makubwa kuwa lisemwalo kwenye majukwaa halina uhalisiaAisee 🤔
Hatari sanaWananchi tunapata mashaka makubwa kuwa lisemwalo kwenye majukwaa halina uhalisia
Ulimsikiliza Mangula akihutubia kwenye msiba Chato?Wakati magufuli alipotia ilani ya ccm mfukoni kwake ulisema wewe mjinga?
Heri kipindi hiki ilani ya ccm inatekelezwa
Sasa wewe unamwamini Mangula? Mangula na Magufuli hawana tofauti.Ulimsikiliza Mangula akihutubia kwenye msiba Chato?
Alisema nanukuu " Yote yaliyofanyika kipindi cha JPM yameelezwa kwenye ilani ya chama"
Hiyo maana yake hakuna lililofanywa nje ya ilani