Je INGEKUA wewe ungefanyaje kwa watu ambao hawataki uwe hapo ulipo?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Ukipata tatizo, wake kwa waume, wananchi kwa watu maarufu, viongozi wa DINI kwa viongozi wa kimila, wasanii, matajiri, wote wanakuja kwako wakiwa wanaburuzika na magoti, wanakuhusudu na kukuabudu kama mwokozi wa maisha Yao.

INGEKUA Mimi, nshajipatia nchi ya watu wa aina hii, ningekua kama KAGAME au M7, eeeeh! Sasa mijitu haijielewi si najipigia tuu??! Au??! Ama??!

Kua kama KAGAME Mzee mama, jipigie mzenji si vibonde
 
Wajuzi wa mambo wanasema akijaribu kuvuka huo mstari basi ndio ticket yake kwenda kwa aliyemuumba

Ngoja tuone itakuaje
 
Ukipata tatizo, wake kwa waume, wananchi kwa watu maarufu, viongozi wa DINI kwa viongozi wa kimila, wasanii, matajiri, wote wanakuja kwako wakiwa wanaburuzika na magoti, wanakuhusudu na kukuabudu kama mwokozi wa maisha Yao.

INGEKUA Mimi, nshajipatia nchi ya watu wa aina hii, ningekua kama KAGAME au M7, eeeeh! Sasa mijitu haijielewi si najipigia tuu??! Au??! Ama??!

Kua kama KAGAME Mzee mama, jipigie mzenji si vibonde
Kama kuna uwezekano waondoe kimya kimya.
 
Back
Top Bottom