comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Marahaba hujamboShikamoo baba kipepe
Waongo hao, kashavuka mistari mingap na wamemshindwa?Wajuzi wa mambo wanasema akijaribu kuvuka huo mstari basi ndio ticket yake kwenda kwa aliyemuumba
Ngoja tuone itakuaje
Ngoja tuone maana Ngoma bado mbichi japo mzani umechegama tayariWaongo hao, kashavuka mistari mingap na wamemshindwa
Ni yeye tu aamue hakuna wa kumzuiaNgoja tuone maana Ngoma bado mbichi japo mzani umechegama tayari
Kama kuna uwezekano waondoe kimya kimya.Ukipata tatizo, wake kwa waume, wananchi kwa watu maarufu, viongozi wa DINI kwa viongozi wa kimila, wasanii, matajiri, wote wanakuja kwako wakiwa wanaburuzika na magoti, wanakuhusudu na kukuabudu kama mwokozi wa maisha Yao.
INGEKUA Mimi, nshajipatia nchi ya watu wa aina hii, ningekua kama KAGAME au M7, eeeeh! Sasa mijitu haijielewi si najipigia tuu??! Au??! Ama??!
Kua kama KAGAME Mzee mama, jipigie mzenji si vibonde
Hali inajionyeshaEndeleeni kupiga ramli
Sijambo aika mbeMarahaba hujambo
HerehoaSijambo aika mbe
Kipepe naomba ela yangu.Herehoa
Natamani nkupe cash kwenye kamfukoKipepe naomba ela yangu.
Usijali namba ni ileile inapokeašNatamani nkupe cash kwenye kamfuko
Acha woga mtoto mzuriUsijali namba ni ileile inapokeaš