Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Tatizo nikuwa alishakufa kwa hiyo hana sifa ya umilele kama aliyokuwa nayo Mungu.
Halafu hakuna mtu aliyesema kuwa Mtume Muhammadﷺ ni mungu na kuwa ataishi milele
 
Kwani mungu wenu ni yupi hasa kati ya yesu na yehova
 
Tatizo nikuwa alishakufa kwa hiyo hana sifa ya umilele kama aliyokuwa nayo Mungu.
Halafu hakuna mtu aliyesema kuwa Mtume Muhammadﷺ ni mungu na kuwa ataishi milele
Yesu sio Allah mungu wa kikureshi

Yohana 10:18:

"Hakuna aniondoleaye uhai wangu, bali mimi mwenyewe niutoa. Nami nina mamlaka ya kuutoa, na tena nina mamlaka ya kuupokea. Amri hii nimepewa na Baba yangu."
 
Yeye kasema hakuna anayejua zaidi ya Mmoja tu wewe unalazimishaje yeye ajue wakati hajui na yeye anakiri
 
Yeye amesema hajui siku ya mwisho ni lini kwa nini unang'ang'ania wewe unatunga uzushi kuwa anafahamu
 
Kwani mungu wenu ni yupi hasa kati ya yesu na yehova
Yesu ni Mungu katika mwili ,ndiye huyo huyo alimtokea ibrahimu

Yohana 8:58, ambapo Yesu anasema:

"Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Kabla Ibrahimu hajazaliwa, niko."

Hii ni ishara ya Yesu kujidhihirisha kama Mungu wa milele, aliyekuwepo kabla ya Ibrahimu, akionyesha uungu wake.

Katika Agano la Kale, tunaona mfano wa Yesu akimzungumzia Ibrahimu katika Mwanzo 18:1-3, ambapo Abrahamu anapokutana na wale "watu watatu" (ambao ni mfano wa Mungu mwenyewe akitembelea Ibra
himu):
 
Mbona maandiko yanasema aliyeumba ni mmoja tu?
 
Yeye kasema hakuna anayejua zaidi ya Mmoja tu wewe unalazimishaje yeye ajue wakati hajui na yeye anakiri
UNAELEWA MAANA YA ALFA NA OMEGA?

PIA naomba ujibu maswali ninayokuuliza ,

Unauliza maswali tu kujibu hutaki

Nauliza tena Torat ,zaburi na Injili Original ziko wapi tufananishe na hizi unazosema zimeharibiwa

SWALI NI GUMU?
 
Mbona maandiko yanasema aliyeumba ni mmoja tu?
Hapa ni Yohana 1:1:

"Hapo mwanzo kulikuwa Neno, na Neno alikuwapo pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu."

Aya hii inaonyesha kuwa Neno (ambalo ni Yesu) alikuwapo tangu mwanzo, na alikuwa pamoja na Mungu, na alikuwa Mungu.
 
Yesu ni binadamu na ni Mungu,

Hizo Sifa za Yesu nitafutie nabii au yeyote mwenye hizo Sifa ,

Ukimpata mlete hapa
Mbona hata yesu imeonekana kwenye maandiko kuwa hana hizo sifa kama nilivyokuonyesha
 
Mbona hata yesu imeonekana kwenye maandiko kuwa hana hizo sifa kama nilivyokuonyesha
Umeleta Sifa za Yesu kama binadamu 100%

Nami nimekupa za Yesu kama Mungu 100%

Kwahiyo ni wewe tu ukitaka ubaki na Yesu kama binadamu tu,sisi tunachukulia Yesu pande zote ,

Ndio maana anaitwa Emmanuel,MUNGU PAMOJA NASI
 
Mungu mmoja katika nafsi 3

Haya jibu SWALI langu ,Torati na zaburi original ziko wapi
Kwa hiyo yesu alikuwa anajiomba mwenyewe
Na mbona alikuwa anawahubiria watu kuhusu Baba yake wa mbinguni
 
Kwa hiyo yesu alikuwa anajiomba mwenyewe
Na mbona alikuwa anawahubiria watu kuhusu Baba yake wa mbinguni
Yesu alikuja kufundisha tabia ya Mungu

Yohana 14:9, ambapo Yesu anasema:

"Yesu akamjibu, Nimesha kuwa nanyi kwa muda mrefu, na wewe, Filipo, hujanijua? Yeye aliyeona mimi ameona Baba; basi, jinsi gani unavyosema, 'Tuonyeshe Baba'?"

Aya hii inaonyesha kuwa Yesu ni ufunuo wa Baba, na kwa kumjua Yesu, mtu anamjua Baba. Yesu alikuja kumfundisha Mungu kwa njia ya maisha yake na mafundisho yake.

Pia, Yohana 1:18 inasema:

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati mwingine, lakini Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, ndiye aliyetangaza."

Aya hii inasema kuwa Yesu ndiye aliyemfunua Mungu kwa watu, kwani alikuja kutangaza tabia na asili ya Mungu kwa ulimwengu.

MASWALI YANGU UNAYAKIMBIA ?

UMEKAZANA KUULIZA MASWALI ,KUJIBU HUTAKI ? KAMA MAGUMU SEMA NIACHANE NAYO
 
Kwa hiyo yesu alikuwa anajiomba mwenyewe
Na mbona alikuwa anawahubiria watu kuhusu Baba yake wa mbinguni
HAYA MASWALI MAGUMU AU HUNA MAJIBU?

unasema TORATI,ZABURI NA INJILI viliharibiwa

Lini ,na nani ,mwaka gani ,kwa ushahidi upi

ili tuache porojo na uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…