hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Hatutaki maelezo,Tatizo ni kwamba siwezi kuandika maelezo mengi tena
Huwezi kujua Fake bila original
Maelezo ni uzushi
Unaposema hii pesa ni bandia ,inabidi Ulete original,sio maelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki maelezo,Tatizo ni kwamba siwezi kuandika maelezo mengi tena
Tatizo nikuwa alishakufa kwa hiyo hana sifa ya umilele kama aliyokuwa nayo Mungu.Hapa ni aya inayosema Yesu ana uwezo wa kutoa uhai wake na kuutwaa tena:
Yohana 10:17-18
"Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu anayeniondolea, bali mimi mwenyewe nautoa. Ninao uwezo wa kuutoa, na ninao uwezo wa kuutwaa tena. Agizo hilo nimelipokea kutoka kwa Baba yangu."
Mudy hana huo uwezo ,yupo kaburini ameoza
Kwani mungu wenu ni yupi hasa kati ya yesu na yehovaSema Allah mungu wa kikureshi ndio hawezi,
Mungu wetu Yehova anaweza
Yohana 1:14
"Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu (nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba), amejaa neema na kweli."
Hii inaonyesha kuwa Yesu, ambaye ni Neno (Mungu), alichukua mwili wa kibinadamu na kuishi miongoni mwa wanadamu.
Yesu sio Allah mungu wa kikureshiTatizo nikuwa alishakufa kwa hiyo hana sifa ya umilele kama aliyokuwa nayo Mungu.
Halafu hakuna mtu aliyesema kuwa Mtume Muhammadﷺ ni mungu na kuwa ataishi milele
Yeye kasema hakuna anayejua zaidi ya Mmoja tu wewe unalazimishaje yeye ajue wakati hajui na yeye anakiriBIBLIA HAISOMWI KIMSIKITIMSIKITI
Yesu aliposema kwamba hajui siku wala saa ya mwisho, alizungumza katika hali yake ya kibinadamu, ambapo alijinyenyekeza na kujifanya mdogo kwa hiari yake (Wafilipi 2:6-7). Alipokuwa duniani, alijifunga kwa mipaka ya ubinadamu, akichagua kutofunua kila kitu kwa wakati huo. Hata hivyo, baada ya kufufuka na kurudi katika utukufu wake kamili, Yesu anajua yote kama alivyoonyesha katika Ufunuo 1:8: "Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi."
Wakolosai 2:3 inasema kuwa ndani ya Yesu "zimefichwa hazina zote za hekima na maarifa," ikionyesha kwamba ana ujuzi wote wa kimungu. Tangu mwanzo wake wa milele (Mika 5:2), Yesu alikuwa na uungu kamili, lakini alipokuwa duniani, alificha utukufu wake kwa muda. Hivyo, usemi wake katika Marko 13:32 haupingani na uungu wake, bali unaonyesha unyenyekevu wake wa kibinadamu kwa ajili ya wokovu wetu.
Yeye amesema hajui siku ya mwisho ni lini kwa nini unang'ang'ania wewe unatunga uzushi kuwa anafahamuYesu alipokuwa duniani alionyesha utii kwa Baba na mara nyingine alionekana kujinyenyekeza kwa mamlaka ya Baba (kama katika Mathayo 20:23 na Yohana 5:30), bado Biblia inaonyesha kuwa alikuwa na ujuzi wa kila kitu. Aya kama Yohana 16:30 na Yohana 21:17 zinathibitisha kwamba Yesu anajua yote, akifunua asili yake ya kimungu.
Yesu ni Mungu katika mwili ,ndiye huyo huyo alimtokea ibrahimuKwani mungu wenu ni yupi hasa kati ya yesu na yehova
Unaeleewa maana ya Alfa na Omega?Yeye amesema hajui siku ya mwisho ni lini kwa nini unang'ang'ania wewe unatunga uzushi kuwa anafahamu
Mbona maandiko yanasema aliyeumba ni mmoja tu?BIBLIA HAISOMWI KIMSIKITIMSIKITI
Aya zinazothibitisha kuwa Yesu ni Muumbaji:
Yohana 1:1-3
"Hapo mwanzo kulikuwa na Neno, na Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu. Yeye alikuwa katika mwanzo pamoja na Mungu. Vyote vilifanywa kwa yeye, na pasipo yeye hakufanywa chochote kilichofanywa."
Hapa, Yesu anaitwa Neno (Logos), na inasema kuwa "vyote vilifanywa kwa yeye." Hii inamaanisha kuwa Yesu alishiriki kikamilifu katika uumbaji wa dunia na vyote vilivyomo.
Kolossai 1:16-17
"Kwa maana kwa yeye vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo duniani, vyenye kuonekana na visivyoonekana, ikiwa ni viti vya enzi au mabawa ya utawala au wakuu au mamlaka; vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake. Naye yeye ni kabla ya vyote, na vyote hudumu kwanjia yake."
UNAELEWA MAANA YA ALFA NA OMEGA?Yeye kasema hakuna anayejua zaidi ya Mmoja tu wewe unalazimishaje yeye ajue wakati hajui na yeye anakiri
Kwa ufupi tu hivyo vitabu havipo kwa sasa baada ya kuharibiwa na wayahudiLeta maelezo hapa ,
Acha POROJO
Hapa ni Yohana 1:1:Mbona maandiko yanasema aliyeumba ni mmoja tu?
Unejuaje au kwa ushahidi upi kuwa viliharibiwa, ni mwaka ganiKwa ufupi tu hivyo vitabu havipo kwa sasa baada ya kuharibiwa na wayahudi
Mbona hata yesu imeonekana kwenye maandiko kuwa hana hizo sifa kama nilivyokuonyeshaYesu ni binadamu na ni Mungu,
Hizo Sifa za Yesu nitafutie nabii au yeyote mwenye hizo Sifa ,
Ukimpata mlete hapa
Nilishajibu na nimekujibu tenaAcha ujanja ,weka hapa au ujibu ,unaogopa nini
Umeleta Sifa za Yesu kama binadamu 100%Mbona hata yesu imeonekana kwenye maandiko kuwa hana hizo sifa kama nilivyokuonyesha
Hujajibu ,unasema viliharibiwaNilishajibu na nimekujibu tena
Kwa hiyo yesu alikuwa anajiomba mwenyeweMungu mmoja katika nafsi 3
Haya jibu SWALI langu ,Torati na zaburi original ziko wapi
Yesu alikuja kufundisha tabia ya MunguKwa hiyo yesu alikuwa anajiomba mwenyewe
Na mbona alikuwa anawahubiria watu kuhusu Baba yake wa mbinguni
HAYA MASWALI MAGUMU AU HUNA MAJIBU?Kwa hiyo yesu alikuwa anajiomba mwenyewe
Na mbona alikuwa anawahubiria watu kuhusu Baba yake wa mbinguni