Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Umetumia neno kama "mnavyopelekeshwa". Nikiweka kumbukumbu sawa sidhani kama nimefafanua mimi nipo upande gani zaidi ya kuuliza swali.

Huyu shetani hii nguvu ya kufanya hivyo kapewa na nani? Na kwanini?

Shetani na wafuasi wake ni malaika waasi. Alipomkosea Mungu kule mbinguni alitupwa duniani na wafuasi wake. Hakunyang'anywa ukuu wake kama malaika. Yeye na wafuasi wake wanatumia zile nguvu za kimalaika walizonazo kuwahadaa wanadamu hapa duniani.
Hizi hapa chini ni baadhi ya uwezo wa malaika. Sasa kwakuwa shetani alikosana na Mungu na anafanya juu chini kufanya maovu, anazitumia hizi nguvu hapa chini kufanya kinyume chake;

1. Angels are guardians, shielding individuals from physical and spiritual harm.
2. They can provide guidance and direction in life decisions, sometimes through signs or intuition.
3. Angels can act as messengers, delivering prayers to God on behalf of humans.
4. Angels can motivate people towards good deeds and virtuous behavior.
5. They may alert individuals about potential threats or dangers.
6. Angels can facilitate physical or spiritual healing
7. Angels can deliver divine messages or revelations to individuals
8. Angels can perform miracles
9. Angels are celestial beings who continuously praise and glorify God
 
Andiko lako feki feki feki feki.

1. Siyo biblia yote inaitwa Injili, Injili ni ujumbe wa Yesu. Ni vitabu vya agano jipya.

2. Vitabu vya mwanzo, torati na manabii, vilitabiri ujio wa Yesu siyo mpenda mademu

3. Yesu aliposema ataleta msaidizi, hakukusudia Mzee Mudi, alimaanisha Roho mtakatifu. Utabiri ulitimia kwa matendo 2.


Hivyo wacha kujidanganya, Yesu ni Alfa na Omega, baada yake hakuna nabii mwingine aliyetumwa
 
muachage kupotosha maandiko matakatifu ya Bibla, huyo msaidizi aliyeandikwa ni Roho Mtakatifu, full stop
 
Kwa reply hii seems like tatizo limeanzia kwa Muumba mkuu
 

Hawata kuelewa maana wameziba masikio. Alipotaka kuoa mke wa mtoto wake "akajiteremshia" aya ya kumpa go ahead. Alipotaka kuoa wake wengi zaidi ya hao wanne akajifanyia hivyo hivyo. Alipopata challenge ya mwanamke au mkewe akaweka aya za kuwalaani wanawake na kuwafanya nusu watu and the list goes on and on! What a delusional fake prophet.
 
Kwa reply hii seems like tatizo limeanzia kwa Muumba mkuu

Mungu anaruhusu free will ya viumbe wake. Ha-dictate maamuzi ya kiumbe chake. Ukija na mtazamo huo utauliza maswali endlessly. Kwanini Mungu anaruhusu watu wake wema wateseke, kwani kuna vita, kwanini watu wake na njaa, kwanini alimtupa shetani duniani, kwanini asingemuua tu shetani pale alipomkosea badala yake akatuletea hizo shida, kwanini aliruhusu Eva aongee na yule nyoka (shetani) , kwanini Adam alikubali kudanganywa. Huwezi kumaliza maswali. Ila usisahau hata kama haileti maana, Mungu hakosei.
 
Lakini yesu si amesha jua kabisa fulani ataingia motoni au bado hajajua? Maana ulisema hata kabla yuda hajamsaliti alikuwa amesha jua
Sure anajua fate ya kila mmoja wetu, kifo chake anajua kilishaleta ushindi kwa watu wake wanaostahili huo wokovu kutokana na kuwa na hofu ya Mungu, anajua asingejitoa angepoteza wengi (yaani before and after kujitoa kwake, hiyo picha ya ingekuwaje anajua). Anajua alishamwokoa nani, na nani hataokolewa kutokana na maamuzi binafsi ya mtu.
 
Basi kama hayafahamu hayo basi yeye si Mungu
Au we unaonaje
Mungu Mwana hajui. Mungu Baba anajua. Ndivyo Mungu anavyooperate. Usimuweke Mungu katika level ya kibinadamu, utauliza maswasli mengi yasiyo na majibu.
 
Nimekutolea mfano wa post ya bams na jinsi ulivyo reply, japo hujajibu swali nililikuuliza baada ya ile post, na ofcourse maswali hayawezi isha maana maswali na majibu huongeza uelewa mkuu.
Swali lingine bams kakupotosha na wewe umekubali , describe the scenario in terms of freewill
 
Yaani wanachekeshaga hawa jamaa maana hata ukichukia utaumia moyo na roho, ngoja tuwaombee tu siku moja watatembelewa na nguvu ya YESU.
Sure wako wanaopata neema ya kumjua Mungu. Tusiwalaumu sana, haya maswali na majibu yetu huenda yakaokoa roho moja au mbili.
 
Kuna watu waliamua kuiba maandiko ya wengine wakatengeneza dini isiyoeleweka 😃😃😃
 
Sure wako wanaopata neema ya kumjua Mungu. Tusiwalaumu sana, haya maswali na majibu yetu huenda yakaokoa roho moja au mbili.
Mkuu kwa statement hii nina swali la mwisho kwako hata kama yale ya nyuma ukiyapotezea sawa tu swma hili la mwisho natamani kuona reply yako
 

Kama umefuatilia mijadala ya hii post huko nyuma usingekuja na hii hoja. Tutakuwa tunaandika yale yale over and over again. Hiyo hoja yako haijustify point yako kabisa.
 
Na Yesu ni mungu wa akina nani
 
Unatumia criteria gani kujua yupi ni fake na yupi si-fake?

1. God knows everything, past, present, and future
2. God is all-knowing
3. Omnibenevolence - God is supremely good
4. God is all-loving, and God shows compassion and mercy.
5. Omnipresence God is everywhere
6. Holy: God is sacred, revered, and divine
6. Glorious: God is infinitely beautiful and great
7. Fearlessness: God is fearless even in the midst of sorrow
8. Purity of mind: God has a pure mind
9. God is non-violent
10. God speaks the truth
11. Universal: God is universal to all creation
12. God is without limit and unbound
 
Kwa criteria hizi, yakupasa kufuta usemi kwa uliyemuita fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…