Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Nonsense
 
Alah anawahidi wafuasi wake kwamba atawapa
Alah anawaahidi wafuasi wake kama wewe kwamba atawapa wanawake 72 na pombe..Imagine watu 10 Γ—70=700.sasa hiyo mbigu yenu si itakuwa ni virugu tu?Alah is fake na ni mfanyakazi wa shetani.ukitaka kujua mtu wa kuabudiwa ni Yesu tu.taja Jina hilo kwenywe tatizo lolote na tatizo linaisha.
 
Wapi hapo kakiri mambo asiyoyaweza?usisome Biblia kama gazette au kuran
 
Sawa nimekuelewa mkuu.
Kwa hiyo inatakiwa nikubaliane nalo tu hata kama najua ni uongo.
Kati yenu hapo Hakuna anaejua chochote, bali mnaamini tu, tofautisha kujua na kuamini, wewe hapo haujui kama ni uongo au nikweli, bali unaamini ni uongo, hata mwenzio anavyosema yesu atamfufua Mohammad, hasemi kanakwamba anajua bali anaamini hivyo.
 
Muhamad alikuwa mhuni tu ,alikuwa anafanya biashara, baada ya mtaji lumuishia kwa kuhonga vitotozi akaja na plan B, ya kujifanya mhubiri . Ila ukweli kwa kiswahili cha kileo tunasema alikuwa amefuria
Usipoleta ushahidi wa maana basi wewe ndio muhuni
 
Kati yenu hapo Hakuna anaejua chochote, bali mnaamini tu, tofautisha kujua na kuamini, wewe hapo haujui kama ni uongo au nikweli, bali unaamini ni uongo, hata mwenzio anavyosema yesu atamfufua Mohammad, hasemi kanakwamba anajua bali anaamini hivyo.
Mimi najua na naamini
 
Hadithi za Mtume Ziliandikwa Na Mtume πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ‘‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…