Dhul Qarnainn
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 151
- 67
- Thread starter
-
- #541
Fafanua zaidiKama umefuatilia mijadala ya hii post huko nyuma usingekuja na hii hoja. Tutakuwa tunaandika yale yale over and over again. Hiyo hoja yako haijustify point yako kabisa.
Shida ni kwamba alishaonja umauti kwa hiyo ameshakosa sifa ya umilele"Alikufa, akafukuka, akapaa mbinguni. Ameketi kuume kwa Baba.." Mwamba yuko hai milele na atarudi dunaini kutuhukumu
Elewa kwanza huo mstari mwanzo mpaka mwishoWapi hapo kakiri mambo asiyoyaweza?usisome Biblia kama gazette au kuran
Kwa hiyo wewe unaupinga huo msitari.Kwahiyo huo mstari mmoja umeubeba kichwani kabisa, soma vitabu vingine!
Kwani mbona unajichanganya wewe si ulisema happing kuwa Allah ni Mungu na wala happing kuwa yesu ni mungu.Siku ya kiama haipo na huyo Allah mwenyewe hayupo kwahyo Kuna uwezekano mkubwa sana hata huyo yesu alikuwa mungu wao kwa wale waliomwamini
Endelea kushikiria huo huo mstariKwa hiyo bado unakataa kuwa Daudi alikuwa nabii
Hata kama ni mstari mmoja lakini si umekuumbua na ujinga wako wa kujifanya mjuzi kumbe mjuaji 😃Endelea kushikiria huo huo mstari
Na sio huo tu inaelekea kuna miiiiiiiiiiiiiiingi tu huifahamu!!!!Endelea kushikiria huo huo mstari
Nani kakwambia kuna mtu wa kuabudiwa?ukitaka kujua mtu wa kuabudiwa ni Yesu tu.
Usipoleta ushahidi wa maana kuhusu uliyoyaandika utakuwa sawa na bwege nazi tuAnhaa. Unamaanisha yule anayewaelekeza mlipize visasi, mmalize kizazi cha Myahudi na mueneze dini kwa upanga! Hello, are you there?
Yule aliyewataka mjitenge na kuwaona wengine makafiri. Nina coworker hatoi hata pole kwa "kafiri" akifiwa au kupatwa na janga. Ila yuko mstari wa mbele kuchangia muislam mwenzie akifiwa, my dear you!
Anha! ni huyo anayesema usiadopt watoto yatima kwakuwa ni haramu, ai wewe!, yule aliyemruhusu Mood alale na kabinti kalikokuchuliwa nyumbani kwao wakati kanacheza zake bembea kako na midoli yake, kakaharibiwa kizazi kakashindwa hadi kuzaa maisha yake yote, nyie!
Huyohuyo anayemdiscribe mwanamke kama nusu mtu, kiasi kwako ushahidi wa mwanamke mmoja haujatimia, huko nchi za waarabu wanawake wanaobakwa wanaishia kutiwa kunyongwa hadharani kisa walibakwa?
Huyuhuyo anayetaka mfanye jihad na honor killing, just for Allah wewe ua tu (fyi wetu anasema usiue)
Huyohuyo anayewaahidi wanaume bikra 72 wasioisha bikra, unajua maumivu ya kutolewa bikra wewe, why Allah hates women this much?
Huyohuyo aliyejaa vitisho na hofu kwa wanadamu na full of confusing information?
Huyohuyo anayeyatambua majini kama viumbe wazuri, wakati hayo majini ni shetani na wafuasi wake wanaosubiri adhabu ya milele?
Wakristo leo na wengine wasio Waislam na hata Waislam wenyewe wanateseka sana kwa sababu ya Uislam. Mungu huyu aendele kusaidia taifa hili (tz) liendelee kuvumiliana maana hatujakutana na ile full wrath ya dini yenu. Ila kuna nchi zinateseka sana jamani nyie! Bloodshed everywhere!
Niishie hapa kwa leo. Ila nakushauri usimfananishe Mungu na vitu vya ajabu ajabu! Ila nakupa tu tumaini kuwa Mungu anatupenda sisi sote, mtafute uipate amani na upendo wa kweli.
Hamis acha porojo lete ushahidi sahihi wa unachokisema sio tu unatafuta sifa.Muhammad alitaka kujinyonga baada ya Waraq kufariki na Wahayi ukakoma
Waislamu mnajua kwanini ?
Ni sababu mudy alikuwa anapewa Hadith za kiyahudi na Padre Waraq,
Alipokufa Waraq,Mudy akataka kujitoa uhai akajua kishanuka
KWANINI MUHAMMAD ALITAKA KUJINYONGA “COMMIT SUICIDE”?Hamis acha porojo lete ushahidi sahihi wa unachokisema sio tu unatafuta sifa.
Umedanganya katika sahihil bukhar hakuna wanaposema kuwa mtume alitaka kujinyonga na kama kweli taja namba ya hadithKWANINI MUHAMMAD ALITAKA KUJINYONGA “COMMIT SUICIDE”?
KATIKA SAHIHI BUKHAR TUNASOMA KUWA MUHAMMAD ALIJARIBU KUJINYONGA KWA SABABU YA HUZUNI KWENYE NYOYO YAKE:
Mtume wa Mwenyezi Mungu akasema: Wao watanifukuza? Riwaya inaendelea kwa yanayoshangaza zaidi kuliko hayo Waraqa bin Naufal alipomkuta MTUME AKIJARIBU KUJINYONGA KWASABABU YA HUZUNI yake kwa kukatika Wahyi, kama si Jibril kumtuliza mara hii baada ya kuwa Waraqa bin Naufal akifanya hivyo. Sahihi Bukhar J:9 uk 93 kitab Ta’abiyri
Swali la kujiuliza hapa ni hili: Hivi wapi tunasoma kwenye Taurat au Zaburi au Injili kuwa Mitume wa kwenye Biblia walijaribu kujinyonga kama Muhammad wa kwenye Quran?
Nilipo endelea kusoma vitabu vya Waislam nikagundua kuwa, hilo tukio la kujaribu kujinyonga “commit suicide” halikufanywa mara moja na Muhammad ambaye ni Nabii kipenzi cha Allah.
MUHAMMAD ALIPANDA MLIMANI NA KUJARIBU KUJITUPA ILI AFE, JE HII TABIA YA KUTAKA KUJIUA NI YA KINABII? Soma hiki kisa hapa chini:
Kisha Waraqa hakuchukua muda akafariki na Wahyi ukakatika kwa muda na Nabii (s.a.w.w.) akahuzunika, ambapo katika yaliyo tufikia mara nyingi huzuni ilipelekea kutaka kujirusha kutoka katika vilele vya milima, lakini kila alipopanda mlima ili ajiangushe Jibril alimtokea na akamwambia Ewe Muhammad “Hakika wewe ni Mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, basi kwa hayo inapoa hasira yake na nafsi yake inatulia na anarudi na unaporefuka muda wa kutopata Wahyi anarudia hayo, na anapofika kwenye kilele cha mlima Jibril anamtokea na kumwambia mfano wa aliyomwambia. J: 8 uk 234 kitabu Daawaati
Umesoma mwenyewe ushahid kutoka vitabu vyenu kuwa Muhammad alitaka kujinyonga na au kujiua au kuitoa nafsi yake. Hii ni ishara tosha kuwa yule anaye daiwa kumpa wahai ni Shetani na sio Mungu wa kwenye Biblia ambaye ni wa upendo. Lakini nilipo endelea kusoma vitabu vyao, nikagundua kuwa labda haya matatizo yanatokana na kurogwa kwake Muhammad.
Hebu soma kwanza hiki kisa cha Muhammad kama kinavyo simuliwa na mke wake kipenzi Aisha:
Kutoka kwa Aisha amesema:- Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) alilogwa hadi alikuwa anapagawa kuwa amefanya kitu kumbe hakukifanya hadi siku moja alipokuwa kwangu alimuomba Mwenyezi Mungu akamjibu, kisha akasema ewe Aisha umehisi kuwa Mwenyezi Mungu amenijibu nilivyomuomba. “ “ J: 8 uk 56 kitabu Adabu
Nabii (s.a.w.w.) alibaki siku kadhaa wa kadha amepagawa kuwa amemwingilia mke wake na wala hakumwingilia. Al –fruqaan 25
UMESOMA MWENYEWE KUWA MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA na niajabu sana kwa Nabii wa Allah kurongwa huku Allah akimwangalia tu na kuto fanya chochote kile. Nilipo isoma Biblia Takatifu, sikuwai soma kuwa kuna Nabii wa Jehovah ambaye alirogwa kama Muhammad wala ona kuwa kuna Manabii walitaka kujinyonga kama Muhammad wa kwenye Quran.
Nilipo endelea kusoma vitabu vya Waislam, nikagundua kuwa kumbe Muhammad alikiri kuwa yeye ni mwendawazimu: Soma huu ushuhuda wa Nabii wa Allah:
The "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Book of the Major Classes), by Ibn Sa'd, kimetafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], Ukurasa 225 Nabii Muhammad anasema:
O Khadija, ninaona mwanga na kusikia masauti sauti, nafikiri mimi ni Mwendawazimu.
Kwenye tafsiri zingine zinasema kuwa Muhammad alisema anafikiria kuwa yeye ni “KICHAA”
Je, huu ushuhuda inawezakana kuwa ulitokana na kupigwa kwake kabali na Jibril kwenye pango:
OKOKA UMFATE YESU
Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Tafsiri ya Qur’an, Hadithi namba 6982.Umedanganya katika sahihil bukhar hakuna wanaposema kuwa mtume alitaka kujinyonga na kama kweli taja namba ya hadith
Umeleta madai mengi yanayojaribu kupotosha historia ya Mtume Muhammad (rehema na amani zimshukie), lakini hakuna ushahidi wa kweli unaounga mkono haya unayodai. Nitayapitia moja baada ya jingine kwa uhalisia.KWANINI MUHAMMAD ALITAKA KUJINYONGA “COMMIT SUICIDE”?
KATIKA SAHIHI BUKHAR TUNASOMA KUWA MUHAMMAD ALIJARIBU KUJINYONGA KWA SABABU YA HUZUNI KWENYE NYOYO YAKE:
Mtume wa Mwenyezi Mungu akasema: Wao watanifukuza? Riwaya inaendelea kwa yanayoshangaza zaidi kuliko hayo Waraqa bin Naufal alipomkuta MTUME AKIJARIBU KUJINYONGA KWASABABU YA HUZUNI yake kwa kukatika Wahyi, kama si Jibril kumtuliza mara hii baada ya kuwa Waraqa bin Naufal akifanya hivyo. Sahihi Bukhar J:9 uk 93 kitab Ta’abiyri
Swali la kujiuliza hapa ni hili: Hivi wapi tunasoma kwenye Taurat au Zaburi au Injili kuwa Mitume wa kwenye Biblia walijaribu kujinyonga kama Muhammad wa kwenye Quran?
Nilipo endelea kusoma vitabu vya Waislam nikagundua kuwa, hilo tukio la kujaribu kujinyonga “commit suicide” halikufanywa mara moja na Muhammad ambaye ni Nabii kipenzi cha Allah.
MUHAMMAD ALIPANDA MLIMANI NA KUJARIBU KUJITUPA ILI AFE, JE HII TABIA YA KUTAKA KUJIUA NI YA KINABII? Soma hiki kisa hapa chini:
Kisha Waraqa hakuchukua muda akafariki na Wahyi ukakatika kwa muda na Nabii (s.a.w.w.) akahuzunika, ambapo katika yaliyo tufikia mara nyingi huzuni ilipelekea kutaka kujirusha kutoka katika vilele vya milima, lakini kila alipopanda mlima ili ajiangushe Jibril alimtokea na akamwambia Ewe Muhammad “Hakika wewe ni Mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, basi kwa hayo inapoa hasira yake na nafsi yake inatulia na anarudi na unaporefuka muda wa kutopata Wahyi anarudia hayo, na anapofika kwenye kilele cha mlima Jibril anamtokea na kumwambia mfano wa aliyomwambia. J: 8 uk 234 kitabu Daawaati
Umesoma mwenyewe ushahid kutoka vitabu vyenu kuwa Muhammad alitaka kujinyonga na au kujiua au kuitoa nafsi yake. Hii ni ishara tosha kuwa yule anaye daiwa kumpa wahai ni Shetani na sio Mungu wa kwenye Biblia ambaye ni wa upendo. Lakini nilipo endelea kusoma vitabu vyao, nikagundua kuwa labda haya matatizo yanatokana na kurogwa kwake Muhammad.
Hebu soma kwanza hiki kisa cha Muhammad kama kinavyo simuliwa na mke wake kipenzi Aisha:
Kutoka kwa Aisha amesema:- Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w.) alilogwa hadi alikuwa anapagawa kuwa amefanya kitu kumbe hakukifanya hadi siku moja alipokuwa kwangu alimuomba Mwenyezi Mungu akamjibu, kisha akasema ewe Aisha umehisi kuwa Mwenyezi Mungu amenijibu nilivyomuomba. “ “ J: 8 uk 56 kitabu Adabu
Nabii (s.a.w.w.) alibaki siku kadhaa wa kadha amepagawa kuwa amemwingilia mke wake na wala hakumwingilia. Al –fruqaan 25
UMESOMA MWENYEWE KUWA MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA na niajabu sana kwa Nabii wa Allah kurongwa huku Allah akimwangalia tu na kuto fanya chochote kile. Nilipo isoma Biblia Takatifu, sikuwai soma kuwa kuna Nabii wa Jehovah ambaye alirogwa kama Muhammad wala ona kuwa kuna Manabii walitaka kujinyonga kama Muhammad wa kwenye Quran.
Nilipo endelea kusoma vitabu vya Waislam, nikagundua kuwa kumbe Muhammad alikiri kuwa yeye ni mwendawazimu: Soma huu ushuhuda wa Nabii wa Allah:
The "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Book of the Major Classes), by Ibn Sa'd, kimetafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], Ukurasa 225 Nabii Muhammad anasema:
O Khadija, ninaona mwanga na kusikia masauti sauti, nafikiri mimi ni Mwendawazimu.
Kwenye tafsiri zingine zinasema kuwa Muhammad alisema anafikiria kuwa yeye ni “KICHAA”
Je, huu ushuhuda inawezakana kuwa ulitokana na kupigwa kwake kabali na Jibril kwenye pango:
OKOKA UMFATE YESU
Unachokisema kuhusu Sahih al-Bukhari Hadithi 6982 si sahihi, kwa sababu hakuna hadithi hiyo katika Sahih al-Bukhari inayoeleza kuwa Mtume (saw) alitaka kujirusha kutoka mlimani.Sahih al-Bukhari, Kitabu cha Tafsiri ya Qur’an, Hadithi namba 6982.
Hapa kuna rejea kamili ya hadithi hiyo:
Sahih al-Bukhari (Hadithi 6982)
Imepokewa na Aisha (r.a.):
"Ufunuo ulipositishwa kwa muda, Mtume (ﷺ) alihisi huzuni sana kiasi kwamba mara nyingi alikwenda juu ya milima ili kujitupa kutoka huko. Lakini kila alipofika kwenye kilele cha mlima ili kujirusha,
Chanzo:
Sahih al-Bukhari, Juzuu ya 9, Kitabu cha 87 (Tafsiri ya Qur'an), Hadithi ya 69
82
🤣🤣🤣🤣AI itakupoteza kijana ,Umeleta madai mengi yanayojaribu kupotosha historia ya Mtume Muhammad (rehema na amani zimshukie), lakini hakuna ushahidi wa kweli unaounga mkono haya unayodai. Nitayapitia moja baada ya jingine kwa uhalisia.
1. Je, Mtume Muhammad (saw) Alitaka Kujinyonga?
Hakuna hadithi sahihi katika Sahih al-Bukhari wala Sahih Muslim inayosema kuwa Mtume alitaka kujinyonga. Madai haya yanatokana na riwaya zisizo sahihi zilizomo kwenye baadhi ya vitabu vya historia, kama vile Ibn Ishaq, lakini hata wanazuoni wa Kiislamu kama Ibn Hajar al-Asqalani walizikosoa kwa udhaifu wake.
Hadithi zinazopatikana katika Sahih al-Bukhari zinathibitisha kwamba baada ya wahyi wa kwanza, Mtume (saw) alipata mshtuko kwa jambo hilo jipya, lakini hakuwahi kujaribu kujinyonga. Riwaya hizi za kutaka kujiua zinapingwa kwa sababu:
Hazimo katika vitabu sahihi vya hadithi
Zinatoka kwenye vyanzo vilivyokusanya pia simulizi zisizo na uthibitisho
Zinapingana na historia halisi ya maisha ya Mtume (saw), aliyekuwa na subira na uimara wa moyo hadi mwisho wa maisha yake
Kwa hiyo, mtu yeyote anayetaka kutumia hoja hii hana msingi wa kweli wa kiuhadithi wala wa kihistoria.
2. Kuhusu Uchawi na Kurogwa kwa Mtume
Hadithi kuhusu Mtume kurogwa ipo katika Sahih al-Bukhari, lakini inaonyesha jinsi Allah alivyomlinda na kumponya. Kuwepo kwa jaribio la wachawi halimaanishi kwamba Mtume alikosa ulinzi wa Allah, bali lilikuwa ni mtihani na kisha alipewa nusra na Allah. Katika Qur’an tunasoma:
"Na hakika wale waliokufuru wanapanga vitimbi, na nami napanga mpango." (Qur’an 86:15-16)
Allah alimhifadhi Mtume wake, na hakuna dalili ya kwamba uchawi huo ulimuathiri kiasi cha kumpotosha.
3. Kuhusu Manabii wa Biblia na Majaribio Yao
Unadai kuwa hakuna Nabii aliyepitia magumu kama Muhammad (saw), lakini Biblia inathibitisha kwamba manabii waliopita walikumbwa na majaribu makubwa, ikiwa ni pamoja na kupoteza matumaini:
Eliya alitamani kufa: "Basi akaomba roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee Bwana, uichukue roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu." (1 Wafalme 19:4)
Ayubu alilalamika na kutamani mauti: "Kwa nini nikuzaliwe? Kwa nini nisiangamie tumboni mwa mama yangu?" (Ayubu 3:11)
Yeremia alilalamika sana kuhusu maisha yake: "Laana iwe siku ile niliyowazaliwa... Kwa nini nilitoka tumboni nipate kuona taabu na huzuni?" (Yeremia 20:14-18)
Ikiwa Mitume wa Biblia walipitia magumu na hata kutamani mauti, kwa nini iwe ajabu kwamba Mtume Muhammad alihisi huzuni wakati wa kipindi cha ukimya wa wahyi?
4. Hitimisho
Madai haya dhidi ya Mtume Muhammad (saw) ni sehemu ya propaganda za upotoshaji zinazolenga kumchafua kwa kutumia hadithi dhaifu au zilizopotoshwa. Ukweli ni kwamba:
Hakuna ushahidi wa kuthibitisha kuwa alitaka kujinyonga
Hakurogwa kwa maana ya kupoteza utume wake, bali Allah alimlinda na kumponya
Mitume wote wa Mungu walipitia majaribu, hata wale wa Biblia
Ikiwa mtu anatafuta ukweli, basi anapaswa kutumia vyanzo sahihi na si propaganda zisizo na msingi.
Mudy mkiona anadhalilika ,mnakimbilia hiyo Hadith dhaifu🤣🤣Unachokisema kuhusu Sahih al-Bukhari Hadithi 6982 si sahihi, kwa sababu hakuna hadithi hiyo katika Sahih al-Bukhari inayoeleza kuwa Mtume (saw) alitaka kujirusha kutoka mlimani.
Uhakiki wa Hadithi
Katika Sahih al-Bukhari 6982, inazungumzia kuhusu mwanzo wa wahyi kwa Mtume Muhammad (saw) na Waraqa bin Naufal, lakini haina sehemu yoyote inayodai kwamba Mtume alitaka kujiua.
Nini kilichopo katika hadithi sahihi?
Mtume (saw) alipokea wahyi wa kwanza katika pango la Hira.
Alikuwa na mshangao mkubwa, na Khadija (r.a.) alimpeleka kwa Waraqa bin Naufal, aliyethibitisha kuwa kile alichopokea ni wahyi wa kweli.
Baada ya muda, wahyi ulisitishwa kwa muda mfupi, na Mtume (saw) alihisi huzuni.
Lakini hakuna mahali katika Sahih al-Bukhari ambapo inasemwa kuwa alijaribu kujiua.
Chanzo cha Madai ya Kujinyonga
Simulizi hii inatokana na Ibn Ishaq, lakini hata wasomi wa Kiislamu walikataa sehemu hiyo kwa sababu haikuthibitishwa na mnyororo wa wapokezi wenye nguvu.
Imam Ibn Hajar al-Asqalani, katika kitabu chake Fath al-Bari, alikataa riwaya hizo kwa sababu hazina msingi sahihi wa hadithi
UnapingaSasa mimi ndio nampinga kuwa yesu ni mungu na kwamba atafufua watu
Kwani mbona unajichanganya wewe si ulisema happing kuwa Allah ni Mungu na wala happing kuwa yesu ni mungu.
Sasa mbona hapa unapinga uwepo wa Allah
Nikweli kuwa hakuna mungu hiyo Iko wazi na kila binadamu anajua hilo kuwa hakuna mungu, ila kwenye kuamini nikwamba mungu yupo na ni chanzo cha kila kitu, ....namimi nasema najua kuwa hakuna mungu kwasababu mungu hayupo, ila wewe unasema mungu yupo kwasababu unaamini mungu yupo.Kwani mbona unajichanganya wewe si ulisema happing kuwa Allah ni Mungu na wala happing kuwa yesu ni mungu.
Sasa mbona hapa unapinga uwepo wa Allah