Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Sawa lakini si ni kweli?🤣🤣🤣🤣AI itakupoteza kijana ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakini si ni kweli?🤣🤣🤣🤣AI itakupoteza kijana ,
Ndiyo ni hadithi dhaifu lete hadithi sahihiMudy mkiona anadhalilika ,mnakimbilia hiyo Hadith dhaifu🤣🤣
Ai inajibu na kupindisha vile unataka ,mm nilijua una vitabu ,kesho nitakuja na vitabu vyenu humu, nitapiga picha na kunukuuSawa lakini si ni kweli?
Nipe fact kuwa Mungu hayupoUnapinga
Nikweli kuwa hakuna mungu hiyo Iko wazi na kila binadamu anajua hilo kuwa hakuna mungu, ila kwenye kuamini nikwamba mungu yupo na ni chanzo cha kila kitu, ....namimi nasema najua kuwa hakuna mungu kwasababu mungu hayupo, ila wewe unasema mungu yupo kwasababu unaamini mungu yupo.
Mimi ninaweza kukuona fact za kwamba mungu hayupo ila wewe hauwezi kunipa fact zakwamba mungu yupo
Mkibanwa mnakimbilia Hadith dhaifu, au mnajinasibisha na Ukristo na UyahudiNdiyo ni hadithi dhaifu lete hadithi sahihi
Hata mimi sahihi Bukhar ninacho na hakuna walipoandika hivyo hata sasa hivi nitakuletea hiyo hadithiAi inajibu na kupindisha vile unataka ,mm nilijua una vitabu ,kesho nitakuja na vitabu vyenu humu, nitapiga picha na kunukuu
Wewe inaonekana ni maamuma
Mbona unaleta porojo tupu bila hoja zozoteMkibanwa mnakimbilia Hadith dhaifu, au mnajinasibisha na Ukristo na Uyahudi
Uislamu ni dini isiyojitegemea ,ULISHAONA Ukristo unategemea uislamu isimame?
Uislamu ni dini ya ujanjaujanja aliyokuja nayo mudy
Mudy alitaka kujiua baada ya warq kufa sababu ndiye aliyekuwa anampa Wahayi ,unalijua hilo?Hata mimi sahihi Bukhar ninacho na hakuna walipoandika hivyo hata sasa hivi nitakuletea hiyo hadithi
Halafu ulisema kuwa hakuna manabii waliotaka kujiua kwenye biblia umewaona sasa
Eti Hadith dhaifu🤣🤣Mbona unaleta porojo tupu bila hoja zozote
Na kutegemea hadithi dhaifu zikubebe na wakati hadithi dhaifu zinafahamika na hazikubaliki wewe kama unajua kitu njoo na hadithi sahihi
Soma hapo ,Waraq alipokufa tu ,mudy akona KIMENUKA ,nani atampa Tena story za kiyahudiMbona unaleta porojo tupu bila hoja zozote
Na kutegemea hadithi dhaifu zikubebe na wakati hadithi dhaifu zinafahamika na hazikubaliki wewe kama unajua kitu njoo na hadithi sahihi
Eti Hadith dhaifu🤣🤣
Acha uongo hii ni dhaifu na hakuna kitu utanidanganyaSoma hapo ,Waraq alipokufa tu ,mudy akona KIMENUKA ,nani atampa Tena story za kiyahudi
Ndio maana tunasema mudy ni nabii wa Uongo
View attachment 3252624
🤣🤣🤣Eti dhaifu mnafurahisha ,mkiona tu Hadith zinamuumbua mudy mnakimbilia ni dhaifu ,Acha uongo hii ni dhaifu na hakuna kitu utanidanganya
Nyinyi mkiona hamna pointi mnakimbilia hadithi dhaifu ili mjifiche kwa bahati mbaya kila hadith dhaif inajulikana huwez kudanganya chochote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti dhaifu mnafurahisha ,mkiona tu Hadith zinamuumbua mudy mnakimbilia ni dhaifu ,
Hadith sahih juu ya hilo suala nimekuletea hapo juu huna sababu ya kudanganya tena bwana hamisi 😂😂😂🤣🤣🤣Eti dhaifu mnafurahisha ,mkiona tu Hadith zinamuumbua mudy mnakimbilia ni dhaifu ,
Sahih al-Bukhari (6982) si hadithi dhaifu, bali ni hadithi sahihi kabisa kwa mujibu wa vigezo vya Imam al-Bukhari katika kukusanya hadithi zake.Nyinyi mkiona hamna pointi mnakimbilia hadithi dhaifu ili mjifiche kwa bahati mbaya kila hadith dhaif inajulikana huwez kudanganya chochote 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sahih al-Bukhari (6982) si hadithi dhaifu, bali ni hadithi sahihi kabisa kwa mujibu wa vigezo vya Imam al-Bukhari katika kukusanya hadithi zake.
Hadithi hii inasimuliwa na Aisha (r.a.), na mnyororo wa wapokezi wake ni wenye nguvu. Katika usahihi wa hadithi, Imam al-Bukhari alikuwa na masharti madhubuti, ikiwa ni pamoja na:
Nimesoma madrasa najua hiyo hadithi sio dhaifu kama unavyodanganya hapaa,hadithi zote ndani ya Sahih al-Bukhari zina mnyororo wa wapokezi wenye sifa za uaminifu na unganifu wa mapokezi.Wapokezi wa hadithi ni thabiti (Thiqah), Kila mpokezi wa hadithi ndani ya Sahih al-Bukhari ni mtu aliyeaminika kwa tabia, uadilifu, na uwezo wa kuhifadhi hadithi bila dosari.Hakuna hitilafu katika mapokezi (Shudhudh) Hadithi zilizomo ndani ya Sahih al-Bukhari hazina hitilafu kubwa kati ya wapokezi wake, jambo linalothibitisha kuwa ni sahihi.Hakuna kasoro iliyofichika (Illah Qadihah) Imam al-Bukhari alichagua hadithi kwa umakini ili kuhakikisha kuwa hakuna kasoro yoyote iliyoweza kuathiri usahihi wa hadithi zake.
Sahih al-Bukhari (6982) si hadithi dhaifu, bali ni hadithi sahihi kabisa kulingana na vigezo vya hadithi sahihi vilivyowekwa na wanazuoni wa hadithi.
Wewe waonekana hata madrasa hujapita ,hujui mnyororo wa hiyo hadithi
Unataka uniaminishe hizo hadithi za mtume zilijiandika zenyewe😂 siwezi kuamini huo upuuzi😂.Hadithi za Mtume Ziliandikwa Na Mtume 🤔🤔🤔👋
Kwani Mtume alikuwa anajua kuandika?Unataka uniaminishe hizo hadithi za mtume zilijiandika zenyewe😂 siwezi kuamini huo upuuzi😂.
Kuna Aya ukiziunganisha Kwenye Quran, unakuta zinafundisha kwamba Yesu alikufa, alifufuka na atakuja Tena.Kwani Mtume alikuwa anajua kuandika?
Hadithi za Mtume ni maneno,matendo au maridhio yake yaliyoandikea na maswahaba zake