Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Sawa lakini si ni kweli?
Ai inajibu na kupindisha vile unataka ,mm nilijua una vitabu ,kesho nitakuja na vitabu vyenu humu, nitapiga picha na kunukuu

Wewe inaonekana ni maamuma
 
Nipe fact kuwa Mungu hayupo
 
Ndiyo ni hadithi dhaifu lete hadithi sahihi
Mkibanwa mnakimbilia Hadith dhaifu, au mnajinasibisha na Ukristo na Uyahudi

Uislamu ni dini isiyojitegemea ,ULISHAONA Ukristo unategemea uislamu isimame?

Uislamu ni dini ya ujanjaujanja aliyokuja nayo mudy
 
Ai inajibu na kupindisha vile unataka ,mm nilijua una vitabu ,kesho nitakuja na vitabu vyenu humu, nitapiga picha na kunukuu

Wewe inaonekana ni maamuma
Hata mimi sahihi Bukhar ninacho na hakuna walipoandika hivyo hata sasa hivi nitakuletea hiyo hadithi

Halafu ulisema kuwa hakuna manabii waliotaka kujiua kwenye biblia umewaona sasa
 
Mkibanwa mnakimbilia Hadith dhaifu, au mnajinasibisha na Ukristo na Uyahudi

Uislamu ni dini isiyojitegemea ,ULISHAONA Ukristo unategemea uislamu isimame?

Uislamu ni dini ya ujanjaujanja aliyokuja nayo mudy
Mbona unaleta porojo tupu bila hoja zozote
Na kutegemea hadithi dhaifu zikubebe na wakati hadithi dhaifu zinafahamika na hazikubaliki wewe kama unajua kitu njoo na hadithi sahihi
 
Hata mimi sahihi Bukhar ninacho na hakuna walipoandika hivyo hata sasa hivi nitakuletea hiyo hadithi

Halafu ulisema kuwa hakuna manabii waliotaka kujiua kwenye biblia umewaona sasa
Mudy alitaka kujiua baada ya warq kufa sababu ndiye aliyekuwa anampa Wahayi ,unalijua hilo?

Halafu usifananishe Manabii wa kiyahudi na mudy ,ni tofauti kabisa ,haya maandiko na mafundisho Yao tofaut kabisa

Usimuweke mudy kundi moja na manabii waliotoka Israeli ,hilo ni kosa kubwa na siwezi kupoteza muda kumjadili mudy kapu moja na manabii wakiyahudi
 
Mbona unaleta porojo tupu bila hoja zozote
Na kutegemea hadithi dhaifu zikubebe na wakati hadithi dhaifu zinafahamika na hazikubaliki wewe kama unajua kitu njoo na hadithi sahihi
Eti Hadith dhaifu🤣🤣
 
Mbona unaleta porojo tupu bila hoja zozote
Na kutegemea hadithi dhaifu zikubebe na wakati hadithi dhaifu zinafahamika na hazikubaliki wewe kama unajua kitu njoo na hadithi sahihi
Soma hapo ,Waraq alipokufa tu ,mudy akona KIMENUKA ,nani atampa Tena story za kiyahudi

Ndio maana tunasema mudy ni nabii wa Uongo
 
Eti Hadith dhaifu🤣🤣



Amesimulia ‘Aaishah (Mama wa Waumini): (رضي الله عنها):



Wahyi kwa Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) ulianza kwa ndoto njema usingizini na alikuwa haoni ndoto isipokuwa ni kweli kama ulivyo mwanga wa mchana, na alipendezeshwa kujitenga. Alikuwa akijitenga ndani ya pango la Hiraa akimwabudu (Allaah Pekee) mfululizo kwa siku nyingi kabla ya kwenda kwa familia yake. Na anachukua chakula cha safari cha kutosha, na kisha alirejea kwa (mkewe) Khadiyjah (رضي الله عنها) kuchukua chakula tena mpaka ukweli ulishukia alipokuwa ndani ya pango la Hiraa. Malaika alimjia na alimtaka asome. Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) akajibu, “Mimi sio msomaji.” Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) akaendelea kusema: “Malaika akanishika kwa nguvu na akaniminya kwa nguvu mpaka nikapata tabu. Kisha aliniachia, na tena akanitaka nisome na nikamjibu, ‘Mimi si msomaji’. Baada ya hapo akanishika tena akaniminya kwa mara ya pili mpaka nikapata taabu. Kisha akaniachia akasema:



اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ ﴿١﴾

Soma kwa Jina la Rabb wako Aliyeumba.



خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ ﴿٢﴾

Amemuumba mwana Aadam kutokana na pande la damu linaloning’inia.



اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾

Soma na Rabb wako ni Mkarimu kushinda wote. [Al-‘Alaq: 1-3]





Kisha Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) alirejea na Wahyi, na huku moyo ukidunda kwa nguvu. Kisha alikwenda kwa Khadiyjah bint Khuwaylid (رضي الله عنها) akasema, “Nifunikeni! Nifunikeni” Wakamfunika mpaka hofu ikatoweka, kisha akamueleza kila kitu kilichojiri akasema, “Naogopa nafsi yangu, kuna kitu (kibaya) kinaweza kunitokea.” “Khadiyjah (رضي الله عنها) akajibu, “Hapana kamwe! Wa-Allaahi, Allaah Hatokudhalilisha. Wewe una mahusiano mazuri na ndugu na marafiki, na unawasaidia masikini na mafukara, unawakirimu wageni wako na unawasaidia waliofikwa na majanga.” Kisha Khadiyjah (رضي الله عنها) alifuatana naye kwa binami yake, Waraqah bin Nawfal bin Asad bin Abdil-‘Uzzah, ambaye wakati wa Jahiliyya (kabla ya Uislam) alikuwa Mkristo na alikuwa akiandika kwa hati za Hebrew. Aliandika kutoka Injiyl kwa Hebrew kiasi alichowezeshwa na Allaah. Alikuwa mzee na alipoteza uoni (kipofu). Khadiyjah (رضي الله عنها) alimwambia Waraqah: “Sikiliza Hadithi (kisa) ya mpwa wako. Ee binami yangu!” “Waraqah akauliza, “Ee mpwa wangu! Umeona nini?” Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) alielezea yote aliyoyaona. Waraqah akasema, “Huyu ni yule yule anayehifadhi siri (Malaika Jibriyl) ambaye Allaah alimpeleka kwa Muwsaa. Natamani ningekuwa kijana, na niishi mpaka pale watu wako watakapokufukuza.” Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) akamuuliza, “Je, Watanifukuza?” Waraqah akasema, “Mtu yeyote aliyeleta kitu kama ulicholeta alikabiliwa na misukosuko; na kama nitaikuta siku utakayofanyiwa uadui nitakuhami kwa nguvu zote.” Lakini baada ya siku chache Waraqah alifariki dunia na Wahyi ulisita kwa muda.



Wapi wamesema akitaka kujinyonga?
 
🤣🤣🤣Eti dhaifu mnafurahisha ,mkiona tu Hadith zinamuumbua mudy mnakimbilia ni dhaifu ,
Nyinyi mkiona hamna pointi mnakimbilia hadithi dhaifu ili mjifiche kwa bahati mbaya kila hadith dhaif inajulikana huwez kudanganya chochote 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣Eti dhaifu mnafurahisha ,mkiona tu Hadith zinamuumbua mudy mnakimbilia ni dhaifu ,
Hadith sahih juu ya hilo suala nimekuletea hapo juu huna sababu ya kudanganya tena bwana hamisi 😂😂😂
 
Nyinyi mkiona hamna pointi mnakimbilia hadithi dhaifu ili mjifiche kwa bahati mbaya kila hadith dhaif inajulikana huwez kudanganya chochote 🤣🤣🤣
Sahih al-Bukhari (6982) si hadithi dhaifu, bali ni hadithi sahihi kabisa kwa mujibu wa vigezo vya Imam al-Bukhari katika kukusanya hadithi zake.

Hadithi hii inasimuliwa na Aisha (r.a.), na mnyororo wa wapokezi wake ni wenye nguvu. Katika usahihi wa hadithi, Imam al-Bukhari alikuwa na masharti madhubuti

Nimesoma madrasa najua hiyo hadithi sio dhaifu kama unavyodanganya hapaa,hadithi zote ndani ya Sahih al-Bukhari zina mnyororo wa wapokezi wenye sifa za uaminifu na unganifu wa mapokezi.Wapokezi wa hadithi ni thabiti (Thiqah), Kila mpokezi wa hadithi ndani ya Sahih al-Bukhari ni mtu aliyeaminika kwa tabia, uadilifu, na uwezo wa kuhifadhi hadithi bila dosari.Hakuna hitilafu katika mapokezi (Shudhudh) Hadithi zilizomo ndani ya Sahih al-Bukhari hazina hitilafu kubwa kati ya wapokezi wake, jambo linalothibitisha kuwa ni sahihi.Hakuna kasoro iliyofichika (Illah Qadihah) Imam al-Bukhari alichagua hadithi kwa umakini ili kuhakikisha kuwa hakuna kasoro yoyote iliyoweza kuathiri usahihi wa hadithi zake.

Sahih al-Bukhari (6982) si hadithi dhaifu, bali ni hadithi sahihi kabisa kulingana na vigezo vya hadithi sahihi vilivyowekwa na wanazuoni wa hadithi.

Wewe waonekana hata madrasa hujapita ,hujui mnyororo wa hiyo hadithi
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hadithi za Mtume Ziliandikwa Na Mtume 🤔🤔🤔👋
Unataka uniaminishe hizo hadithi za mtume zilijiandika zenyewe😂 siwezi kuamini huo upuuzi😂.

Mtume aliwaambia waislam Yesu ni mwana mwa MUNGU, wakamletea chuki, walifanya attempt mbili za kumuua MUNGU akamuokoa, kwasababu alikuwa mfuasi wa kristo, na alimkiri Yesu kuwa Ni BWANA, wajuzi wa kiislamu wanasema ile Nguvu ya Roho mtakatifu iliyomjia mtume kipindi kile ndo imebeba umma wa kiislamu ambao wapo mpaka hii Leo.

Shida ni kwamba Kuna Mambo ya ukweli yalifichwa Kwenye Quran Kama secret code, ukiielewa lazima ubadilike, hazisomwi, Wala haziubiriwi, Kuna tamaduni nyingi, zimefanya waislam wengi wasiamke, Wachache waliamka.

Mkuu njoo nikupe madini natamani nishee nawewe hii elimu ambayo nimeifanyia research ya muda mrefu 😂
 
Unataka uniaminishe hizo hadithi za mtume zilijiandika zenyewe😂 siwezi kuamini huo upuuzi😂.
Kwani Mtume alikuwa anajua kuandika?
Hadithi za Mtume ni maneno,matendo au maridhio yake yaliyoandikea na maswahaba zake
 
Kwani Mtume alikuwa anajua kuandika?
Hadithi za Mtume ni maneno,matendo au maridhio yake yaliyoandikea na maswahaba zake
Kuna Aya ukiziunganisha Kwenye Quran, unakuta zinafundisha kwamba Yesu alikufa, alifufuka na atakuja Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…