Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Hapo Allah anasema kuwa hayo ni majina makureshi waliyatunga na kusema ni watoto wa Allah

Acha propaganda sema mna miungu wangapi?
Niliwah kusikia Allah ni jamaa fulani, aliwahi kuishi zamani na alikuwa na watoto watatu. Huu ukweli waumini wa kiislamu, wanaupinga sana.
 
Quran imechakachuliwa.
Lete aya za Qur’an nilizokwambia uzilete kama ushahidi acha porojo.

Kwani we si ulisema kuna aya za Qur’an ukiziunganisha unapata kuwa yesu alikufa na akafufuka ndo nazisubiri hizo aya 😃😀😄
 
Niliwah kusikia Allah ni jamaa fulani, aliwahi kuishi zamani na alikuwa na watoto watatu. Huu ukweli waumini wa kiislamu, wanaupinga sana.
Lete ushahidi si maneno ya vijiwe vya kahawa
 
Injili ni hekaya za kutungwa na kusadikika tu.

Quran ni hekaya za kutungwa na kusadikika tu.

Mtume Muhammad hajawahi kuwepo na hayupo.

Hakuna Mungu.
Yesu hakuwahi kuwepo ,mtume alikuwepo na aliishi maana yupo hadi kwenye vitabu vya historia ila ni muhuni flani aliyetembelea hekaya za wayahudi na huyo yesu/feki na alikua tapeli ,muuaji,mbakaji ,alikufa kwa kupewa sumu .
 
Katika Uislamu unapotaja jina la Mtume yeyote wa Mwenyezi Mungu unatakiwa umuombee amani. Hii ni kwa Mitume wote akiwemo na Mtume Muhammad (Rehema na Amani ziwe juu yake).
Unaombea maiti amani ili iweje
 
Hapana mimi si watatu mimi ni mmoja tu!!!
Hapo ndo kichwa ya muislamu ilipopigwa kufuli, Hawa watu wanamfanisha MUNGU na mwanadamu. MUNGU ni roho, Hana mwili, mnasema mnaamini injili na bado mnaichambua na kuitafsiri vibaya.
 
Yatolee ushahidi wa wazi hayo uliyoyasema wewe!!!
Sio maneno tu!!!

Vitabu vyenu vyenyewe vinasema hilo lizee liligegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, yaani nje huku nikiangalia katoto ka miaka tisa halafu niwaze libabu la miaka hamsini linakagegeda najikuta nahisi kichefu chefu Cha kutaka kutapika.
Mohamed Kusababisha mauaji kwa watoto wa Wayahudi mbona maandiko yenu yapo wazi au nikuletee humu, yaani huyo Babu ana mauchafu mengi sana nashangaa iweje mnamuabudu.
 
Ninavyojua watu huwa wanafata ukoo wa baba hata waarabu na sio wa mama/ujombani sasa huyu ismail babaake alikua mwarabu??
 
Ndio maana warabu hawafati ukoo wa mama,babaake ismail sio mwarabu
 
Si mnadai biblia hii sio halisi imechakachuliwa ,kwanini sasa kutumia kama reference,tuleteeni ile biblia halisi achaneni na hii ilochakachuliwa na wazungu.
 
kama unao ushahidi wa kimaandiko kuwa Mungu aliyempa Taurati nabii Musa sio Mungu aliyempa Quran nabii Muhammad weka hapa tuone
Mkuu Quran imekuja mwaka 1500 Baada ya uyahudi,, uislam ulianza mwaka 1500 Baada ya uyahudi(dini ya kiyahudi) ALLAH SUBHANA WATAALAH amekuja miaka 1500 baada ya uyahudi Labda alikuwa kabla akitumia jina lake la AL BAAL... LAKINI LA SUBHANA WATAALAH kaanza kulitumia Kwa makuresh waliosali uchi Al Kaaba na wakati Muhammad alipouleta uislam....

Allah subhana hahusiki Kwa namna yoyote na TORATI..Ukitaka kujua soma content ya TORATI utaonà haifanani na mtazamo WA dini ya kiislam..mfano WA Kwanza ni huo nimekuandikia......ipo na mingine..

Jambo lingine MUNGU aliempa Musa TORATI kajitambulisha Kwa majina..Niko ambae Niko na Yehova....Hakuna kitu kinachoitwa Allah subhana POPOTE.

Quran kuelezea Jambo la miaka 1500 kabla ni hadithi na historia. Na heresay....Hio habari ni historia kwenye kitabu kilichokuja baadae Sana Baada ya kushushwa TORATI.
 
Lete ushahidi
Halafu sisi hatumuabudu mtu kama nyinyi
 
Si mnadai biblia hii sio halisi imechakachuliwa ,kwanini sasa kutumia kama reference,tuleteeni ile biblia halisi achaneni na hii ilochakachuliwa na wazungu.
Umeambiwa yapo kadhaa yaliyoacha sahihi na sio yote kama vile usiibe na usiabudu miungu mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…