Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
INSHAALLAHAllah (s.w) azidi kukuongoza katika njia iliyonyooka na uzidi kutoa elimu yenye manufaa kwa wote wenye kuskiliza, INSHALLAH
Hajasimulia mtume halafu inakua sahih?Ni sahih
Hadith sio lazima iwe ni maneno ya mtume tu,inaweza maneno,matendo,sifa au kuridhia kwakeHajasimulia mtume halafu inakua sahih?
Samahan mkuu, Unaweza kuniletea ushahidi kutoka katika biblia kuwa yesu alikufa, na kama alikufa, alikufa mda Gani?huyu sio Yule YEsu aliesulubiwa na Warumi. huyu anaezungumziwa kwenye hii haya 157: Ni yesu mwingine mana Original YEsu alisulubiwa,akazikwa na akafufuka na akapaa Mbinguni na atarudi tena
Biblia inathibitisha kuwa Yesu Kristo alikufa, na pia inatoa maelezo kuhusu wakati wa kifo chake.Samahan mkuu, Unaweza kuniletea ushahidi kutoka katika biblia kuwa yesu alikufa, na kama alikufa, alikufa mda Gani?
hamis 77, nimeuliza hapo juu ni nani anaongea katika Surat Fat-ha?Biblia inathibitisha kuwa Yesu Kristo alikufa, na pia inatoa maelezo kuhusu wakati wa kifo chake.
Nitakupa maandiko yanayothibitisha kifo chake na muda uliotokea
Yesu achana na Tapeli Issa,
biblia inarekodi kwamba Yesu alisulubiwa na kufa msalabani.
Maandiko yanayoonesha kifo chake ni haya yafuatayo
Mathayo 27:50 โYesu akalia tena kwa sauti kuu, akakata roho.โ
Marko 15:37 โYesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akakata roho.โ
Luka 23:46 โYesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, โBaba, mikononi mwako naiweka roho yangu.โ Akiisha kusema hayo, akakata roho.โ
Yohana 19:30 โBasi Yesu alipokuwa amepokea siki, akasema, โImekwisha.โ Akainamisha kichwa, akakata roho.โ
Mistari hii inathibitisha kuwa Yesu kweli alikufa msalabani.,ukitaka nitakupa na jinsi manabii walivyotabiri kifo chake ,ukitaka nitakupa na ushahidi wa MAANDIKO ya nabii Daniel alitabiri Hadi mwaka atakaoanza kazi na mwaka atakaokufa .
Yesu Alikufa Saa Ngapi?
Tuiulize biblia ...
Biblia inasema kwamba Yesu alisulubiwa asubuhi na alikufa alasiri:
Marko 15:25 โNayo ilikuwa saa tatu walipomsulubisha.โ (Saa tatu za Kiyahudi ni sawa na saa 9:00 asubuhi)
Marko 15:33-34 โHata ilipofika saa sita kukawa na giza juu ya nchi yote mpaka saa tisa. Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, โEloi, Eloi, lama sabakthani?โโ (Saa sita ni saa 12:00 jioni na saa tisa ni saa 3:00 mchana)
Luka 23:44-46 โBasi ilikuwa yapata saa sita, giza likawa juu ya nchi yote hata saa tisa... Yesu akasema, โBaba, mikononi mwako naiweka roho yangu.โ Akiisha kusema hayo, akakata roho.โ
Kwa hivyo, Yesu alikufa takriban saa tisa mchana (yaani, saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa).
Yesu Kristo alikufa kama inavyothibitishwa na maandiko mbalimbali. Alisulubiwa mnamo saa tatu asubuhi na alikufa mnamo saa tisa alasiri. Kifo chake kilitokea siku ya Ijumaa kabla ya Sabato, kama inavyoelezwa katika Marko 15:42 na Yohana 19:31.
Kiongozi wacha bana hapo Marko, mathayo na Luka wametofautiana.Biblia inathibitisha kuwa Yesu Kristo alikufa, na pia inatoa maelezo kuhusu wakati wa kifo chake.

Jibu lipo wazi, ngoja nimalizane na mkuu alieleta maandiko ya mdahamis 77, nimeuliza hapo juu ni nani anaongea katika Surat Fat-ha?
Wasaidie kujibu tafadhari,
Maana naona wako kimya tu.
Nini shida๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Alaf wakumbushe kumnuru Allah.
Ni wajibu wao wa kila siku la sivyo Allah ataangamizwa siku ya Khiyama ๐๐๐
Ni uelewa wako mdogo ,hii sio QuraniKiongozi wacha bana hapo Marko, mathayo na Luka wametofautiana.
Jibu ni saa 9 au saa 6 au saa 3?
Hao wote wametofautiana na mbona vitu vinaeleweka kabisa acha kuvigeuza geuza ,naomba kaa soma vizuri uje na jibu moja yesu alikufa saa ngapi?
Lipo wazi kwanini hujibu ,Jibu lipo wazi, ngoja nimalizane na mkuu alieleta maandiko ya mda
AllahHivi ni nani anaye ongea katika Surat Fat-ha
Hii hapa.
ุจูุณูู ู ุงูููููู ุงูุฑููุญูู ูููฐูู ุงูุฑููุญููู ู
(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
ู ูุงูููู ููููู ู ุงูุฏููููู
ุงููุญูู ูุฏู ููููููู ุฑูุจูู ุงููุนูุงููู ูููู
(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
ุงูุฑููุญูู ูููฐูู ุงูุฑููุญููู ู
(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
ุฅููููุงูู ููุนูุจูุฏู ููุฅููููุงูู ููุณูุชูุนูููู
(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
ุงููุฏูููุง ุงูุตููุฑูุงุทู ุงููู ูุณูุชููููู ู
(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,
ุตูุฑูุงุทู ุงูููุฐูููู ุฃูููุนูู ูุชู ุนูููููููู ู ุบูููุฑู ุงููู ูุบูุถููุจู ุนูููููููู ู ููููุง ุงูุถููุงูููููู
(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
Ni Allah, Muhamadi au Majini ?
Nasubiri jibu.
Sitaki jibu la ubabaishaji, wewe kesho nenda msikitini mwulize imamu wako ulete jibu hapa.
Nani aliye ongea katika Surat Fat-ha ?
Kwa hiyo hakuwa na uzima wa mileleYesu Kristo alikufa kama inavyothibitishwa na maandiko mbalimbali.
Yesu sio mudy,Kwa hiyo hakuwa na uzima wa milele
Anamuabudu na kukuomba msaada nani?Allah
Sasa hapa saa Tisa ndio kafa au ndio alikuwa anaongea na kama yesu alianza kusurubiwa saa 3 asubui akafa saa 9 iyo 12 jioni imehusikaje?Marko 15:33-34 โHata ilipofika saa sita kukawa na giza juu ya nchi yote mpaka saa tisa. Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, โEloi, Eloi, lama sabakthani?โโ (Saa sita ni saa 12:00 jioni na saa tisa ni saa 3:00 mchana)
NITAENDELEA KUSISITIZA ALLAH SIO MUNGU HATA YEYE ANA MUNGU WAKE NAAllah