Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Hajasimulia mtume halafu inakua sahih?
Hadith sio lazima iwe ni maneno ya mtume tu,inaweza maneno,matendo,sifa au kuridhia kwake
1. Maneno ya Mtume – Yote aliyosema kwa mdomo wake.
2. Matendo ya Mtume – Yote aliyofanya kwa vitendo.
3. Kuridhia kwa Mtume – Mambo yaliyotokea mbele yake au aliyoyasikia na hakuyakataa, hivyo yakachukuliwa kuwa sahihi.
4. Sifa za Mtume – Tabia zake, maumbile yake, na mwenendo wake.
 
huyu sio Yule YEsu aliesulubiwa na Warumi. huyu anaezungumziwa kwenye hii haya 157: Ni yesu mwingine mana Original YEsu alisulubiwa,akazikwa na akafufuka na akapaa Mbinguni na atarudi tena
Samahan mkuu, Unaweza kuniletea ushahidi kutoka katika biblia kuwa yesu alikufa, na kama alikufa, alikufa mda Gani?
 
Hivi ni nani anaye ongea katika Surat Fat-ha
Hii hapa.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ

الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ

(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;

الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;

(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.

إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ

(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ

(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,

صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ

(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Ni Allah, Muhamadi au Majini ?

Nasubiri jibu.
Sitaki jibu la ubabaishaji, wewe kesho nenda msikitini mwulize imamu wako ulete jibu hapa.
Nani aliye ongea katika Surat Fat-ha ?
 
Biblia inathibitisha kuwa Yesu Kristo alikufa, na pia inatoa maelezo kuhusu wakati wa kifo chake.

Nitakupa maandiko yanayothibitisha kifo chake na muda uliotokea

Yesu achana na Tapeli Issa,

biblia inarekodi kwamba Yesu alisulubiwa na kufa msalabani.

Maandiko yanayoonesha kifo chake ni haya yafuatayo

Mathayo 27:50 “Yesu akalia tena kwa sauti kuu, akakata roho.”

Marko 15:37 “Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akakata roho.”

Luka 23:46 “Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, ‘Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.’ Akiisha kusema hayo, akakata roho.”

Yohana 19:30 “Basi Yesu alipokuwa amepokea siki, akasema, ‘Imekwisha.’ Akainamisha kichwa, akakata roho.”

Mistari hii inathibitisha kuwa Yesu kweli alikufa msalabani.,ukitaka nitakupa na jinsi manabii walivyotabiri kifo chake ,ukitaka nitakupa na ushahidi wa MAANDIKO ya nabii Daniel alitabiri Hadi mwaka atakaoanza kazi na mwaka atakaokufa .

Yesu Alikufa Saa Ngapi?

Tuiulize biblia ...

Biblia inasema kwamba Yesu alisulubiwa asubuhi na alikufa alasiri:

Marko 15:25 “Nayo ilikuwa saa tatu walipomsulubisha.” (Saa tatu za Kiyahudi ni sawa na saa 9:00 asubuhi)

Marko 15:33-34 “Hata ilipofika saa sita kukawa na giza juu ya nchi yote mpaka saa tisa. Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, ‘Eloi, Eloi, lama sabakthani?’” (Saa sita ni saa 12:00 jioni na saa tisa ni saa 3:00 mchana)

Luka 23:44-46 “Basi ilikuwa yapata saa sita, giza likawa juu ya nchi yote hata saa tisa... Yesu akasema, ‘Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.’ Akiisha kusema hayo, akakata roho.”

Kwa hivyo, Yesu alikufa takriban saa tisa mchana (yaani, saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa).

Yesu Kristo alikufa kama inavyothibitishwa na maandiko mbalimbali. Alisulubiwa mnamo saa tatu asubuhi na alikufa mnamo saa tisa alasiri. Kifo chake kilitokea siku ya Ijumaa kabla ya Sabato, kama inavyoelezwa katika Marko 15:42 na Yohana 19:31.
 
Hivi wenzetu mnamnusuru Allah kwa nani ?
Ni kwanini Allah aombe nusra yenu kwani kakosea nini ?
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ

[ MUH'AMMAD - 7 ]
Enyi mlio amini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.

Mbona siwasikii mkiswali ili kumnusuru Allah na moto wa Jehanamu ?
 
Biblia inathibitisha kuwa Yesu Kristo alikufa, na pia inatoa maelezo kuhusu wakati wa kifo chake.

Nitakupa maandiko yanayothibitisha kifo chake na muda uliotokea

Yesu achana na Tapeli Issa,

biblia inarekodi kwamba Yesu alisulubiwa na kufa msalabani.

Maandiko yanayoonesha kifo chake ni haya yafuatayo

Mathayo 27:50 “Yesu akalia tena kwa sauti kuu, akakata roho.”

Marko 15:37 “Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akakata roho.”

Luka 23:46 “Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, ‘Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.’ Akiisha kusema hayo, akakata roho.”

Yohana 19:30 “Basi Yesu alipokuwa amepokea siki, akasema, ‘Imekwisha.’ Akainamisha kichwa, akakata roho.”

Mistari hii inathibitisha kuwa Yesu kweli alikufa msalabani.,ukitaka nitakupa na jinsi manabii walivyotabiri kifo chake ,ukitaka nitakupa na ushahidi wa MAANDIKO ya nabii Daniel alitabiri Hadi mwaka atakaoanza kazi na mwaka atakaokufa .

Yesu Alikufa Saa Ngapi?

Tuiulize biblia ...

Biblia inasema kwamba Yesu alisulubiwa asubuhi na alikufa alasiri:

Marko 15:25 “Nayo ilikuwa saa tatu walipomsulubisha.” (Saa tatu za Kiyahudi ni sawa na saa 9:00 asubuhi)

Marko 15:33-34 “Hata ilipofika saa sita kukawa na giza juu ya nchi yote mpaka saa tisa. Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, ‘Eloi, Eloi, lama sabakthani?’” (Saa sita ni saa 12:00 jioni na saa tisa ni saa 3:00 mchana)

Luka 23:44-46 “Basi ilikuwa yapata saa sita, giza likawa juu ya nchi yote hata saa tisa... Yesu akasema, ‘Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.’ Akiisha kusema hayo, akakata roho.”

Kwa hivyo, Yesu alikufa takriban saa tisa mchana (yaani, saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa).

Yesu Kristo alikufa kama inavyothibitishwa na maandiko mbalimbali. Alisulubiwa mnamo saa tatu asubuhi na alikufa mnamo saa tisa alasiri. Kifo chake kilitokea siku ya Ijumaa kabla ya Sabato, kama inavyoelezwa katika Marko 15:42 na Yohana 19:31.
hamis 77, nimeuliza hapo juu ni nani anaongea katika Surat Fat-ha?
Wasaidie kujibu tafadhari,
Maana naona wako kimya tu.
Nini shida🤣🤣🤣
Alaf wakumbushe kumnuru Allah.
Ni wajibu wao wa kila siku la sivyo Allah ataangamizwa siku ya Khiyama 😂😂😂
 
Kiongozi wacha bana hapo Marko, mathayo na Luka wametofautiana.
Jibu ni saa 9 au saa 6 au saa 3?
Hao wote wametofautiana na mbona vitu vinaeleweka kabisa acha kuvigeuza geuza ,naomba kaa soma vizuri uje na jibu moja yesu alikufa saa ngapi?
 
Jibu lipo wazi, ngoja nimalizane na mkuu alieleta maandiko ya mda
 
Kiongozi wacha bana hapo Marko, mathayo na Luka wametofautiana.
Jibu ni saa 9 au saa 6 au saa 3?
Hao wote wametofautiana na mbona vitu vinaeleweka kabisa acha kuvigeuza geuza ,naomba kaa soma vizuri uje na jibu moja yesu alikufa saa ngapi?
Ni uelewa wako mdogo ,hii sio Qurani

Yesu alikufa saa tisa mchana (sawa na saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa).,USISOME biblia kimsikitisikiti

Tafsiri ya muda katika Biblia inafuata mfumo wa saa wa Kiyahudi, ambapo siku ilihesabiwa kuanzia jua linapochomoza (takriban saa 6:00 asubuhi kwa saa za sasa). ,kasome hata Mungu alivyokuwa anaimba siku alivyokuwa anasema .

Marko 15:25 anasema Yesu alisulubiwa "saa tatu" (sawa na saa 9:00 asubuhi).

Mathayo 27:45 na Luka 23:44 zinasema "saa sita kulikuwa na giza" (sawa na saa 12:00 jioni).

Mathayo 27:46, Marko 15:34, na Luka 23:46 zinaeleza kuwa Yesu alikufa "saa tisa" (sawa na saa 3:00 mchana).

Kwa hivyo, jibu moja na sahihi ni kwamba Yesu alikufa saa tisa mchana (saa 3:00 mchana kwa saa za kisasa).

Simple tu yaani ,ukitaka fafanuzi zaidi nipo hapa mwanazuoni na ,mwanahistoria wa dini.,Ukibisha nakuja na maswali kwako
 
Hivi ni nani anaye ongea katika Surat Fat-ha
Hii hapa.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 1)
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ

الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ

(AL-FAATIH'A - 2)
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;

الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

(AL-FAATIH'A - 3)
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;

(AL-FAATIH'A - 4)
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.

إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ

(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ

(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,

صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ

(AL-FAATIH'A - 7)
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Ni Allah, Muhamadi au Majini ?

Nasubiri jibu.
Sitaki jibu la ubabaishaji, wewe kesho nenda msikitini mwulize imamu wako ulete jibu hapa.
Nani aliye ongea katika Surat Fat-ha ?
Allah
 
Kwa hiyo hakuwa na uzima wa milele
Yesu sio mudy,

"Kwa sababu hiyo Baba yangu ananipenda, kwa kuwa nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu anayeniondolea uhai, bali mimi mwenyewe nautoa. Ninao uwezo wa kuutoa, na ninao uwezo wa kuutwaa tena. Agizo hili nimelipokea kutoka kwa Baba yangu." (Yohana 10:17-18)

HALAFU JANA UMEKIMBIA MASWALI YANGU

NARUDIA TENA ,

ULISEMA ZABURI ,TORATI NA INJILI ZIKEHARIBIWA ,JE ORIGINAL ZIPO WAPI ?
 
Marko 15:33-34 “Hata ilipofika saa sita kukawa na giza juu ya nchi yote mpaka saa tisa. Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, akasema, ‘Eloi, Eloi, lama sabakthani?’” (Saa sita ni saa 12:00 jioni na saa tisa ni saa 3:00 mchana)
Sasa hapa saa Tisa ndio kafa au ndio alikuwa anaongea na kama yesu alianza kusurubiwa saa 3 asubui akafa saa 9 iyo 12 jioni imehusikaje?
Twende kidogo kidogo tuelimishane mkuu
 
NITAENDELEA KUSISITIZA ALLAH SIO MUNGU HATA YEYE ANA MUNGU WAKE NA

ANAWAOMBEA WAISLAMU

KAMA MUISLAMU HAJUI KUSOMA KIARABU AJUE UNAFUATA MKUMBO, ALLAH KASEMA USOME KWA KIARABU SIO KISWAHILI 🥲

#QURAN AL ZUMAR AYAT 44

Sema: ALLAH ni muombezi wa Kila kitu ni wake ufalme wa mbingu na ardhi Kisha mtarejeshwa kwake.
 
Back
Top Bottom