Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Sawa yesu ni mungu je, Baba yake ni mungu au si munguKawaulize watu wa utatu ,
Utatu dogma yake wala haihusihani na Uungu wa Yesu,
Yesu ni Mungu kwa mujibu wa maandiko ,fullstop
Dogma ya utatu inasema Yesu ndiye huyo huyo Mungu baba ,tofauti na maandiko ambayo yanasema YHWH ni Mungu baba na Yesu ni Mungu ,maana wa MunguKwa nini huo utatu uwepo , jibu swali langu vizuri, una mahusiano gani na muktadha wa Mungu mmoja na wa kipekee??
Mungu ni mmoja ,aliyejidhihirisha kupitia mwanae ,Swali langu si kuwa kwa nini yesu ana majina mengi bali ni kuwa kama Mungu ana mwana anayeitwa yesu naye ni mungu
Je hapo kutakuwa na miungu mingapi?
Unaamini Maandiko Ya Zaburi ?nikupe andiko?Sawa yesu ni mungu je, Baba yake ni mungu au si mungu
Kama unaamini kuwa kunaHuu ni uthibitisho wa Uungu wa Kristo na pia uhusiano wake wa kipekee na Mungu Baba, akionyesha nafasi yake kama Masihi na Mwokozi wa ulimwengu
Kwa hiyo mwanae sio mungu?Mungu ni mmoja ,aliyejidhihirisha kupitia mwanae ,
Na nimemuuliza hilo suala la utatu lilianzia wapi??Unaamini yesu ni mungu pia unaamini ni mwana wa mungu je hapo kutakuwa na miungu wangapi tukimjumuisha na roho mtakatifu?
Lete maandiko usiniulize habari ya kuyaaminiUnaamini Maandiko Ya Zaburi ?nikupe andiko?
Mafundisho gani yanapingana?Na nimemuuliza hilo suala la utatu lilianzia wapi??
Na ikiwa Mungu ni wa kipekee, kwa nini maandiko mengine yanapingana na hayo mafundisho.
Na haya mafundisho tangia, nimeanza kujifunza yanachanganya sana , na yanapingana kwa wakati mmoja.
Je , hili linaweza likaamua mstakabali wa biblia??
Na kama yesu alikuja kukamilisha mafundisho yaliyokuwepo na sio kuyatengua , kwa nini mafundisho mengine yanapingana.
Na huu utofauti wa vitabu ulianziaje kati ya wakatoliki na waprotestanti??
Jibu kwanza unaamini Zaburi ? Ili nikileta sitegemei kuulizwa swali hilo hilo TenaLete maandiko usiniulize habari ya kuyaamini
Mwambie akujibuNa nimemuuliza hilo suala la utatu lilianzia wapi??
Na ikiwa Mungu ni wa kipekee, kwa nini maandiko mengine yanapingana na hayo mafundisho.
Na haya mafundisho tangia, nimeanza kujifunza yanachanganya sana , na yanapingana kwa wakati mmoja.
Je , hili linaweza likaamua mstakabali wa biblia??
Na kama yesu alikuja kukamilisha mafundisho yaliyokuwepo na sio kuyatengua , kwa nini mafundisho mengine yanapingana.
Na huu utofauti wa vitabu ulianziaje kati ya wakatoliki na waprotestanti??
Jibu unaamini Zaburi?Kama unaamini kuwa kuna
Kwa hiyo mwanae sio mungu?
Kwa hiyo wewe unaamini utatu , au hauamini?Kawaulize watu wa utatu ,
Utatu dogma yake wala haihusihani na Uungu wa Yesu,
Yesu ni Mungu kwa mujibu wa maandiko ,fullstop
Je,nikitaka kukuletea maandiko ya Qur’an na mimi nikuulize kama unayaamini au huyaamini?Jibu kwanza unaamini Zaburi ? Ili nikileta sitegemei kuulizwa swali hilo hilo Tena
Jibu naamini Zaburi
Utatu sio fundisho la biblia ,nimejibu huko juu ,Siamini utatuKwa hiyo wewe unaamini utatu , au hauamini?
Nimejibiwa utatu , haukuwa mafundisho ya yesu , ulikuja muda mrefu baada ya yesu kuondoka, je hukumu yake ni ipi?
Wewe huna ZaburJibu unaamini Zaburi?
ili nikujibu kwa maandiko ya Zaburi
Maana sitaki nikujibu ,halafu unauliza Tena swali hilo hilo
Jibu kabisa naamini au siamini
Mfano Mimi siamini Qurani
Quran inajulikana ni ya juzi tu hapa ,Je,nikitaka kukuletea maandiko ya Qur’an na mimi nikuulize kama unayaamini au huyaamini?
Lakini umekiri kuwa yesu ni mungu na ana uhusiano na mungu Baba.Utatu sio fundisho la biblia ,nimejibu huko juu ,Siamini utatu
Zaburi ipo wapi ?Wewe huna Zabur
Labda uniambie biblia
Sasa huo ndio utatu? Kasome Dogma ya utatu inasemajeLakini umekiri kuwa yesu ni mungu na ana uhusiano na mungu Baba.