Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kwa hiyo wewe myahudi kama kabila 😃Mimi ni mkristo sio myahudi kama dini
Kuna Uyahudi kama dini na Uyahudi kama KABILA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe myahudi kama kabila 😃Mimi ni mkristo sio myahudi kama dini
Kuna Uyahudi kama dini na Uyahudi kama KABILA
Soma hapo juu andiko linasemaje ,Kwa hiyo wewe myahudi kama kabila 😃
Kwa hiyo wewe ni myahudiSoma hapo juu andiko linasemaje ,
NDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristoKwa hiyo wewe ni myahudi
Kama kuna watu wanafanya hivi haimanishi ni mafundisho ya dini bali ni hulka zao.Biashara ya mawe Maka ,ya kumpigia shetani ,wanauza mawe
Baadae wanayakusanya ,mwakani wanauza tenaView attachment 3261249
Sishangai!NDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristo
Galatia 3:29. Kwa tafsiri ya Kiswahili, aya hii inasema:
"Na kama nyinyi ni wa Kristo, basi nyinyi ni wazawa wa Abrahamu, na warithi kulingana na ahadi."
Aya hii inaonyesha kwamba ahadi za Mungu kwa Abrahamu hazifungwi kwa watu wa kizazi chake pekee, bali ni za wale wote ambao wameungana na Kristo kwa imani. Kwa hiyo, hata watu kutoka mataifa mengine wanarithi ahadi hizo kwa njia yaimani.
ANACHOFANYA MWAMPOSA NA MATAPELI WENGINE NDICHO KINACHOFANYIKA HUKO MAKKA ,WATU WANAUZIWA MAWE YA KUMPIGA SHETANIKama kuna watu wanafanya hivi haimanishi ni mafundisho ya dini bali ni hulka zao.
Yesu ni Mungu ,Alfa na Omega ,anauwezo wa kukusamehe dhambi zakoSishangai!
Nitashangaaje wewe kudai ni myahudi wakati tayari unamdai uungu mtu kama wewe
Ni kweli,dini zimejaa utapeli hasa.ANACHOFANYA MWAMPOSA NA MATAPELI WENGINE NDICHO KINACHOFANYIKA HUKO MAKKA ,WATU WANAUZIWA MAWE YA KUMPIGA SHETANI
😂😂😂😂
NDIO MAANA KINA MAZINGE,SHARIFU MAJINI WAMEJIONGEZA NAO WANAUZA MAJI NA MAFUTA KAMA MWAMPOSA
DINI ZIMEJAA MATAPELI WENGI SANA,
Uislamu ni utapeli ,sioni tofaut ya Kina mwamposa na Muhammad
Kwa nini nikimzungumzia yesu unapenda kumtaja na Muhammad kana kwamba kuna mtu anasema yeye ni MunguYesu ni Mungu ,Alfa na Omega ,anauwezo wa kukusamehe dhambi zako
Mudi yupo kaburini kaoza ,hajui hatima yake na wanaomfata itakuwaje
Hili NALO unataka mjadala?Ni kweli,dini zimejaa utapeli hasa.
Lakini sasa utathibitishaje kuwa Muhammad alikuwa tapeli?
Muhammad hajui atakachofanywa wala hajui mnaomfata mtafanywa nini , Muhammad hana pakuwapelekaKwa nini nikimzungumzia yesu unapenda kumtaja na Muhammad kana kwamba kuna mtu anasema yeye ni Mungu
Hakuna mtu anayedai Muhammad ni mungu halafu yesu hawezi kunisamehe dhambi zangu
Biblia inajitegemea haihitaji kudhibitisha tabu lolote kuwa la kweli nje ya BibliaKatika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili zinazoonyesha utabiri wa ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake).
1.Kumbukumbu la Torati 18:18 - Nabii kama Musa
"Nitawainulia nabii kutoka miongoni mwa ndugu zao, kama wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru." (Kumbukumbu la Torati 18:18)
Katika aya hii, Mungu anamwambia Musa kwamba nabii mwingine kama yeye atainuliwa kwa watu. Wanazuoni wanaeleza kuwa nabii huyu:
Atakuwa kutoka kwa ndugu wa Waisraeli → Ikiwa Waisraeli wanahusiana na Isaka, basi ndugu zao wa karibu ni kizazi cha Ismaili, ambacho kilizaa Waarabu.
Atakuwa kama Musa → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na Musa wote walikuwa manabii waliopokea sheria mpya na waliongoza jamii zao kwa mwongozo wa Mungu.
Atakuwa na maneno ya Mungu kinywani mwake → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alipokea Qur’an kwa ufunuo wa Jibril, kama Musa alivyopewa Taurati.
2.Isaya 42:1-13 - Nabii kutoka Ked
Katika sura hii ya Isaya, kuna maelezo kuhusu mtumishi wa Mungu ambaye atakuwa nuru kwa mataifa yote:
Isaya 42:1 – “Tazama, mtumishi wangu nimtegemezaye, mteule wangu ambaye nafsi yangu imependezwa naye; nimetia roho yangu juu yake, naye atawatolea mataifa hukumu.”
Huyu ni mtu ambaye Mungu amemchagua kwa kazi maalum.
Ataleta hukumu kwa mataifa yote, akimaanisha atakuwa na ujumbe wa kimataifa.
Isaya 42:11 – “Jangwa na miji yake na vipaze sauti zao, na vijiji anavyokaa Kedari; na wakaao katika miamba na waimbe, wapige kelele kutoka vilele vya milima.”
Kedar alikuwa mtoto wa Ismaili na kizazi chake waliishi Arabia, ambapo Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alitokea.
3. Isaya 21:13-17 - Ujumbe wa Arabia na Parani
Katika sura hii ya Isaya, kuna utabiri wa matukio yatakayotokea katika Arabia:
Isaya 21:13 – "Ufunuo juu ya Arabia. Mtapiga kambi nyikani, enyi watu wa Dedani."
Hii inaonyesha kuwa Arabia ni eneo la tukio kubwa la kiroho.
Isaya 21:14 – “Mleteeni mwenye kiu maji, enyi wenyeji wa Tema, mleteeni mkimbizi chakula chake.”
Tema ni sehemu ya Hijaz, ambako mji wa Madina upo.
Hii inahusiana na jinsi wakazi wa Madina walivyompokea Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) na kumpa hifadhi.
4. Yohana 14:16, 16:7-14 - Msaidizi (Parakletos) na Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Yesu alisema:
Yohana 14:16 – “Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi milele.” Yohana 16:7 – “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke, kwa maana nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda, nitamtuma kwenu.”
Msaidizi huyu atafundisha ukweli wote (Yohana 16:13) → Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikuja na Qur’an kama mwongozo wa mwisho.
Neno Parakletos (Παράκλητος) linaweza kuwa Periklytos, ambalo linamaanisha "Aliyesifiwa"
(kwa Kiarabu, Ahmad – jina jingine la Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)).
Uthibitisho wa Ahmad Kwenye Qur’an
Katika Qur’an, Mtume Isa(amani iwe juu yake) alitabiri kuja kwa mtume baada yake aitwaye Ahmad:
Surah As-Saff 61:6 "Na (wakumbuke) Isa bin Maryamu aliposema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, nikiwahakikishia yaliyokuwa kabla yangu katika Taurati, na nikitoa habari njema ya (ujio wa) Mtume atakayekuja baada yangu, jina lake ni Ahmad."
Ahmad ni jina lingine la Muhammad.
Yesu anatabiri nabii anayekuja baada yake, ambaye atakuwa na ujumbe wa Mungu.
5.Ufunuo 12:5 & 19:15 - Fimbo ya Chuma
Ufunuo 19:15 – "Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili aweke mataifa chini, naye atawachunga kwa fimbo ya chuma."
Hii inahusiana na Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), ambaye atatawala kwa haki na nguvu za Mungu, na Qur’an inamtaja kama mtawala wa haki.
Hitimisho
Biblia ina maandiko ambayo, kwa muktadha wa tafsiri, yanaonyesha wazi dalili kuhusu ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake). Aya kutoka Kumbukumbu la Torati, Isaya, Yohana, na Ufunuo zinaweza kueleweka kama utabiri wa ujio wa Muhammad, hasa kwa vile anapatikana katika maeneo ya Arabia, anahusiana na Kedar, na anaitwa Ahmad, jina lingine la Muhammad.
Nithibitishie kwa ushahidi kuwa alikuwa ni tapeli kama mwamposa wenuHili NALO unataka mjadala?
Ndiye nabii mwenye Sifa za nabii wa uongo, toka anapewa unabii na Khadija na Waraq ,
Hivi nani kakwambia Muhammad ni mungu?Muhammad hajui atakachofanywa wala hajui mnaomfata mtafanywa nini , Muhammad hana pakuwapeleka
Yesu ana huo uwezo wa kusamehe madhambi yako ,
Yupo mbinguni ,yeye ni njia kweli na uzima ,ukimfata yeye uhakika 100%
Mudi anasubiri hukumu ya madhambi yake ya kuwapotezeni
Kuna sehemu nimesema hivoHivi nani kakwambia Muhammad ni mungu?
Mwamposa na mudi hawana tofauti ,ni zama tuNithibitishie kwa ushahidi kuwa alikuwa ni tapeli kama mwamposa wenu
Mohamed alisema swali kabla hujaswaliwa swala ya mazishiHivi nani kakwambia Muhammad ni mungu?