Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kama ni hivyo kwa nini mimi na wewe tunabishana?KWAHIYO USISEME MWENZAKO KAPOTEA ,NA YEYE ANAKUONA HIVO HIVO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo kwa nini mimi na wewe tunabishana?KWAHIYO USISEME MWENZAKO KAPOTEA ,NA YEYE ANAKUONA HIVO HIVO
HUNA UNACHOJUA BANA,
CAMBRIDGE NDIO NANI? MIMI NAONGEA KUTIKANA NA VYANZO VYA KIYAHUDI
Neno "Jehovah" si la Kigiriki, bali ni tafsiri ya Kilatini ya YHWH, jina la Kiebrania la Mungu. Inatokana na mchanganyiko wa herufi za YHWH na vokali za "Adonai" au "Elohim." Wataalamu wengi sasa wanapendelea kutamka Yahweh kama jina la Mungu, si "Jehovah." Hivyo, kusema "Jehovah" ni la Kigiriki ni makosa, kwani lina asili ya Kilatini na siyo ya Kigiriki.
CAMBRIDGE NDIO NANI? MIMI NAONGEA KUTIKANA NA VYANZO VYA KIYAHUDIJehovah" is not a direct Hebrew word, but rather a rendering of the Hebrew Tetragrammaton (YHWH) which is believed to be pronounced as "Yahweh" and is interpreted to mean "I Am" or "He who causes to be"
Jehovah sio neno la kiebrania ila walatini wamelibandika na kusema ni jina la Mungu
Na ndio maana wamesema limepatikana Kwa tetragrammaton Yani sio njia halisi ya kubadilisha Maneno kutoka laugha Moja kuenda laugha nyingine
Not a direct translation:
While "Jehovah" is used in many translations of the Bible, it is not considered the exact pronunciation of the divine name in Hebrew.
JEHOVAH sio tafsiri ya Moja Kwa Moja ya jina la Mungu aliyejifunua Kwa Musa
Hilo jina JEHOVAH waebrania wenye original name la Mungu hawazi kulisoma Wala kulitamka
It is a combination of the consonants YHWH with the vowel sounds from the Hebrew word "Adonai"
JEHOVAH limetokana Kwa kuyaunganisha majina mawili ya Mungu Yani
YAHWEH Mungu muumba
Adonai. Bwana wetu
Katika Sheria za lugha hicho kitu hakiwezekani hivyo JEHOVAH linakosa sifa ya kuwa jina la Mungu
“Jehovah” was introduced by Christian scholars. It is merely JHWH pronounced with the vowel of Adonai, thus making JeHoWaH.
It is a hybrid and is not usually used by Jews.
JEHOVAH ni jina lililotengenezwa na wasomi wa kikristo
Wayahudi hawalitambui jina JEHOVAH
The word “Jehovah” first appeared in the 1530 Bible translation of William Tyndale. However, the form “Jehovah” has been used in English since at least the 1300s.
Neno JEHOVAH lilionekana Kwa mara ya kwanza katika Bibilia mwaka 1530
Hivyo JEHOVAH ni jina la kuzusha tu na Wala sio jina la Mungu
The truth is, the word YHWH, is actually only one of the titles (the most used in scripture) of the God of the Bible. But it is however, not the true Proper Name of the God of the Bible.
Na sio JEHOVAH tu hata hilo YHWH pia ni fake sio jina la Mungu
Majina ya Mungu aloyojifunua Kwa Wana wa Israel ni hayo hapo wenyewe wanajua jinsi ya kuyatamka na kuyaandika Kwa Eibrania hadi Leo hii bado wanafanya hivyo
Hi ni shule ya Bure nimekupa
Source website ya Cambridge university
Mimi nakupa hoja ili ujue kweli upime mwenyeweKama ni hivyo kwa nini mimi na wewe tunabishana?
Kwa mujibu wa vitabu vyenu ,shia wapo sahihiSasa wewe unataka kujua kina nani ni wa kweli wakati we unaamini dini yote si ya kweli
Hoja za kuabudu miungu mitatu na kumuabudu binadamu kama weweMimi nakupa hoja ili ujue kweli upime mwenyewe
Sasa wewe unasema Uislamu haupo sahihi halafu hapohapo unasema Shia wapo sahihi uelewekajeKwa mujibu wa vitabu vyenu ,shia wapo sahihi
HUNA UNACHOJUA BANA,
CAMBRIDGE NDIO NANI? MIMI NAONGEA KUTIKANA NA VYANZO VYA KIYAHUDI
Neno "Jehovah" si la Kigiriki, bali ni tafsiri ya Kilatini ya YHWH, jina la Kiebrania la Mungu. Inatokana na mchanganyiko wa herufi za YHWH na vokali za "Adonai" au "Elohim." Wataalamu wengi sasa wanapendelea kutamka Yahweh kama jina la Mungu, si "Jehovah." Hivyo, kusema "Jehovah" ni la Kigiriki ni makosa, kwani lina asili ya Kilatini na siyo ya Kigiriki.
UNAUTAFSIRI UKRISTO KWA MTAZAMO WA KIARABU NA KIISLAMU ,Jehovah" is not a direct Hebrew word, but rather a rendering of the Hebrew Tetragrammaton (YHWH) which is believed to be pronounced as "Yahweh" and is interpreted to mean "I Am" or "He who causes to be"
JEHOVAH sio neno la kiebrania
It is a combination of the consonants YHWH with the vowel sounds from the Hebrew word "Adonai".
Walatini wametengeneza jina JEHOVAH Kwa kuunganisha majina mawili ya Mungu ya kiebrania Yani
YAHWEH Mungu muumba
Adonai Bwana wetu
Jina la Mungu haliwezi kupatikana Kwa stail hiyo na ndio maana wakaita Tetragrammaton maana yake ni kwamba sio njia sahihi kilugha na ndio maana kilichozaliwa hapo ni kitu kipya na si jina la Mungu
Not a direct translation:
While "Jehovah" is used in many translations of the Bible, it is not considered the exact pronunciation of the divine name in Hebrew.
JEHOVAH sio tafsiri ya Moja Kwa Moja kutoka jina la Mungu ambalo Mungu alijifunua Kwa Musa
” The term “Jehovah” was introduced by Christian scholars. It is merely JHWH pronounced with the vowel of Adonai, thus making JeHoWaH.
It is a hybrid and is not usually used by Jews.
Jina JEHOVAH limewekwa na wasomi wa kikristo katika Bibilia
Wayahudi hawalijui jina JEHOVAH Wala hawalitumii
The word “Jehovah” first appeared in the 1530 Bible translation of William Tyndale. However, the form “Jehovah” has been used in English since at least the 1300s.
Kwa mara ya kwanza neno JEHOVAH lilionekana katika Bibilia karine ya 15
Hivyo kabla ya hapo hapa kuwa na jina JEHOVAH kuwa ni jina la Mungu
Why was Gods name - Jehovah - deliberately removed from most Bible translations (some 7000 times) and replaced with LORD or GOD? Jehovah is a mistaken guess at the pronunciation of God's name revealed to Moses in Exodus 3:15.
Na katika Bibilia nyingi Duniani hilo jina JEHOVAH waliliondoa katika Bibilia zao Kwa sababu ni jina la uongo
The truth is, the word YHWH, is actually only one of the titles (the most used in scripture) of the God of the Bible. But it is however, not the true Proper Name of the God of the Bible.
Na sio tu JEHOVAH hata hilo YHWH pia ni jina fake na Wala sio jina la Mungu
Many of the Jewish names for God are from Hebrew sources, including the Hebrew Bible. Rabbinic Judaism recognizes seven especially holy names for God:
El ("God")
Eloah ("God")
Elohim ("Gods")
Shaddai ("Almighty")
Ehyeh ("I am")
Tzevaot ("[of] Hosts")
Majina ambayo Mungu alijifunua Kwa wayahudi ni hayo na Hadi Leo ndio wanayo yatumia in written and spoken
Source
Website ya Cambridge university
Sasa wewe bishana na maprophesa wa Cambridge university wataalamu wa historical language
Yani nyinyi hiyo dini Kila kitu ni fake Wazungu wamekufanyeni misukule yao
Shia wapo sahihi kwa mujibu wa Quran yenu na hadithiSasa wewe unasema Uislamu haupo sahihi halafu hapohapo unasema Shia wapo sahihi uelewekaje
Labda kwa sababu wanakidhi mahitaji yako ya kuuchafua Uislamu ndo maana unaona wako sahihi
Unasema Shia wapo sahihi kwa sababu wanakidhi mahitaji yakoShia wapo sahihi kwa mujibu wa Quran yenu na hadithi
Sijasema mahali Mimi Uislamu upo sahihi
Uislamu inajulikana ni project ya wakatoliki
Katoliki wapo sahihi kwa muongozo sao sababu wao wanafata mapokeo zaidi ya maandikoUnasema Shia wapo sahihi kwa sababu wanakidhi mahitaji yako
Na kwa nini useme katoliki hawapo sahihi
SawaKatoliki wapo sahihi kwa muongozo sao sababu wao wanafata mapokeo zaidi ya maandiko
Usichoelewa nini hapo
UNAUTAFSIRI UKRISTO KWA MTAZAMO WA KIARABU NA KIISLAMU ,
Unaulizia kuwa maneno JEHOVAH, YAHWEH na JESUS ni maneno ya Kigiriki na si Kiebrania?
Jibu ni Hapana Tena KUBWA KABISA, HAPANA SIO YA KIGIRIKI,
NITAKUPA ELIMU MAANA UMEDANGANYWA UKADANGANYIKA
majina haya yana asili katika Kiebrania lakini yamepitia mabadiliko ya lugha kadri yalivyoenea katika mataifa mengine.
NITAANZA NA 👇
"Yehoshua" (יְהוֹשֻׁעַ) ni jina la Kiebrania ambalo limefupishwa kuwa Yeshua (יֵשׁוּעַ), ambalo katika Kigiriki lilihamishwa kuwa Ἰησοῦς (Iēsous) na baadaye kuwa Jesus katika Kiingereza.
NAKUJA KWA YHWH
YHWH (יהוה) ndilo jina la Mungu katika Kiebrania. Kwa kuwa Wayahudi waliheshimu jina hili sana kiasi cha kutoitamka, waliweka badala yake neno Adonai (Bwana). Baadaye, neno hilo liliandikwa kwa matamshi yaliyokaribiana na Yahweh na kisha likachanganywa na vokali za Adonai, likazalisha jina Jehovah, ambalo ni tafsiri katika baadhi ya lugha za Magharibi.
Kwa hiyo, majina haya si Kigiriki, bali ni Kiebrania kilichohamishwa kwa lugha zingine.,Hii ni elimu ndogo tu ,
Unaulizia leo hii Yesu akija, ukimuita kwa jina "Jesus", atakuelewa na kukuitikia?
NAKUJIBU NDIYO TENA KWA HERUFI KUBWA NDIYO ATAITIKIA,YESU SIO Allah mungu wa kiarabu anayejua lugha moja,Yesu ataitikia kwa sababu Yesu si mdogo kwa lugha moja. Yeye ni Bwana wa mataifa yote, na anajua kuwa katika kila lugha jina lake linatamkwa tofauti, lakini linarejelea mtu yuleyule "ATAKAYE WAOKOA NA DHAMBI ZAO" Na hapa ndipo msingi wa kukataa Issa sio Yesu sababu maana ya jina ni tofauti .
Yesu ukimuita ISA atakulamba makofi ,maana halina maana halisia ,Isa ni wekundu au zeruzeru .
Ni sawa na mtu anayeitwa John kwa Kiingereza, lakini kwa Kifaransa anaitwa Jean, kwa Kijerumani Johann, kwa Kiebrania Yochanan, na kwa Kiswahili Yohana. Jina linabadilika kulingana na lugha, lakini mtu ni yuleyule na maana ya jina ni ile ile ,hii elimu ya bure nakupa chukua.
Biblia inasema kuwa
“Kila mtu atakayeliitia jina la Bwana ataokoka” (Warumi 10:13).
Haisemi kuwa lazima litamkwe kwa lafudhi fulani au lugha Fulani ili liwe na nguvu., mungu wa kiarabu allah ndiye anasikia kiarabu tu.
Unauliza kama Wagiriki walishindwa kutamka jina la Yesu sawasawa, kwa nini ulazimishe kuwa walipata pronounce za kweli za majina ya miungu?
Unajaribu kulinganisha jambo lisilo na msingi wowote, Wagiriki hawakupotosha jina la Yesu kwa makusudi, bali walilitafsiri kwa jinsi lilivyoeleweka katika lugha yao.,sawa na sisi waswahili tunavyoliita Yesu ,kutoka Yehoshua.
Lugha zote zina mapungufu ya kutamka maneno ya lugha nyingine, lakini hiyo haimaanishi kuwa maana inapotea., HII ELIMU YA BURE NAKUPA
Zaidi ya hayo, jina la Yesu halina nguvu kwa sababu ya matamshi yake, bali kwa sababu ya mamlaka yake.
Filipo alipomwambia Yesu,
"Bwana, tuonyeshe Baba" Yesu alijibu, "Aliyeniona mimi amemwona Baba" (Yohana 14:8-9).
Hii ina maana kuwa Yesu mwenyewe ndiye ufunuo wa Mungu, si lafudhi ya jina lake.
Kwa hiyo, suala si je, tunatumia jina lake katika lafudhi gani, bali je, tunamwamini na kumfuata kama Bwana na Mwokozi wetu?
UNAPOISOMA BIBLIA ,USIISOME KIMSIKITISIKITI UTAPOTEA
NITAANZA NA 👇Why was Gods name - Jehovah - deliberately removed from most Bible translations (some 7000 times) and replaced with LORD or GOD? Jehovah is a mistaken guess at the pronunciation of God's name revealed to Moses in Exodus 3:15.
Hilo jina JEHOVAH wanaoamini kuwa ni jina la Mungu watu ambao ni mbumbu kama wewe wenye akili zao walisha jua kitambo kuwa waliingizwa chaka na Sasa hawataki hata kulisikia
Chief hamis77 , Al-mukheef na wengineo nawaombeni tupitie hiko kitabu hapo juu.Katika pitapita zangu, nimekutana na hiki kitabu kifupi lakini ni chenye maelezo ya kueleweka.
Na mimi ni miongoni mwa wale ambao, bado tunapata mtihani wa kutambua imani zetu. Na nipo hapa kujifunza na sio jambo lengine.
Mimi nashauri wote tusome hii risala , alafu turudi kwenye mada yetu , lengo sio kubishana, kudharauliana ila kuelimishana .
OkChief hamis77 , Al-mukheef na wengineo nawaombeni tupitie hiko kitabu hapo juu.
Kaandika ujinga mwingi ,ujinga ambao tunaukataa humu kila sikuChief hamis77 , Al-mukheef na wengineo nawaombeni tupitie hiko kitabu hapo juu.
Nimekisoma na nimekielewa kadri ya nilivyokielewa.Chief hamis77 , Al-mukheef na wengineo nawaombeni tupitie hiko kitabu hapo juu.