Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Kaandika ujinga mwingi ,ujinga ambao tunaukataa humu kila siku

Ana mnasibisha Muhammad kuwa ndiye msaidizi ambaye ni roho mtakatifu

KIFUPI anaendeleza zile propaganda za Uislamu kujinasibisha na Uyahudi,manabii wa kiyahudi, ili kupata popuratiy kwa watu hasa wasiojua maandiko
Ndo yameandikwa hayo tu?
 
Ni sehemu gani kaandika hivyo , na mimi bado na kisoma taratibu mpaka ntakapo elewa hamis77
 
Biblia wanayotumia wakatoliki na wanayotumia waprotestanti zina utofauti gani?
Na kama kuna utofauti, je hili linamaanisha nini?
hamis77
 
Biblia ni hiyo hiyo ,ila wakatoliki wameongeza na vitabu ambavyo ni vya historia visivyo na uvuvio

Ni vitabu vilivyoandikwa kipindi baada ya nabii Malaki kuja Hadi Yesu ,hapo katikati ndio hivo vitabu viliandikwa ,ni kipindi ambacho Mungu hakutuma nabii yeyote
 
Lengo ni hilo , kuaminisha watu Muhammad ndiye nabii wa Mungu wa mwisho na alitabiriwa kwenye biblia

Propaganda ni zile zile za miaka yote
Kama kujinasibisha na uyahudi basi na nyinyi pia mtakuwa mnajinasibisha na uyahudi
 
Yesu ni myahudi ,mwana wa Daudi anatokea ukoo wa Yuda .

Ukristo haujinasibishi kwa UYAHUDI ,Ukristo upo connected na Uyahudi,

Wokovu unatoka kwa Wayahudi

Mudi ni Muarabu na hana nasaba ya UYAHUDI hata ya Ishamael alisema wanamsingizia

Uislamu ni dini ya ujanjaujanja,
 
Nazungumzia uyahudi kama dini.

Sasa kwenye hicho kitabu wapi wamesema Muhammad ni myahudi
 
Muhammad anavyolazimishwa katabiliwa na manabii wa kiyahudi ,mara ndiye Msaidizi aliyetajwa na Yesu

Mara Yerusalemu ni ya waislamu sababu aliiota ndotoni

Huko ni kujinasibisha na Uyahudi

Thus why Uislamu hauwez kusimama wenyewe maana ni dini dhaifu ya kutengenezwa
 
Kwani wewe ni myahudi?
 
Kwani wewe ni myahudi?
NDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristo

Galatia 3:29. Kwa tafsiri ya Kiswahili, aya hii inasema:

"Na kama nyinyi ni wa Kristo, basi nyinyi ni wazawa wa Abrahamu, na warithi kulingana na ahadi."

Aya hii inaonyesha kwamba ahadi za Mungu kwa Abrahamu hazifungwi kwa watu wa kizazi chake pekee, bali ni za wale wote ambao wameungana na Kristo kwa imani. Kwa hiyo, hata watu kutoka mataifa mengine wanarithi ahadi hizo kwa njia ya imani.
 
NDIYO Mimi ni myahudi wa kurithi ahadi za ibrahimu kwa kumuamini Yesu kristo

Galatia 3:29. Kwa tafsiri ya Kiswahili, aya hii inasema:

Aya hii inaonyesha kwamba ahadi za Mungu kwa Abrahamu hazifungwi kwa watu wa kizazi chake pekee, bali ni za wale wote ambao wameungana na Kristo kwa imani. Kwa hiyo, hata watu kutoka mataifa mengine wanarithi ahadi hizo kwa njia ya imani.
Yaani nimekuuliza dini yako ni uyahudi
 
Back
Top Bottom