Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Swali zuriJe una andiko au uthibitisho kuhusu hili??
Na nilichogundua wengi ni wapotoshaji, analeta hoja kwa kujeli watu wa dini fulani , bila ya kuwa na uthibitisho.Je una andiko au uthibitisho kuhusu hili??
Hakuna zaburi, je ipo wapi hiyo Zaburi ,mm nataka nitumie hiyo kukujibuNa mimi msimamo wangu nimekwambia hamna zaburi
Sasa,kuleta au kutoleta hayo maandiko ni maamuzi yako!!!
Andiko kuhusu nini Mzee ?Je una andiko au uthibitisho kuhusu hili??
Nani kavikusanya hivyo vitabu,kwa nini na ni kwa amri ya nani?Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya manabii na mitume,na wazee wa imani
Haya SWALI ,unaamini Zaburi ?ili tufanye mjadala
Kejeli ipi hapo,au dini yako ishaguswa basi unasema ni kejeliNa nilichogundua wengi ni wapotoshaji, analeta hoja kwa kujeli watu wa dini fulani , bila ya kuwa na uthibitisho.
Kama hakuna Zaburi ,je Zaburi ipo wapiNani kavikusanya hivyo vitabu,kwa nini na ni kwa amri ya nani?
Nimekwambia hakuna Zaburi hivyo hata nikakwambia naamini huwezi kuniletea
Sasa ndiyo umuulize anayekwambia Uislam ni zao la ukatoliki ana ushahidi gani?Na nilichogundua wengi ni wapotoshaji, analeta hoja kwa kujeli watu wa dini fulani , bila ya kuwa na uthibitisho.
ILETE HIYO ZABURI BASI ,MBONA UNARUKARUKANa mimi msimamo wangu nimekwambia hamna zaburi
Sasa,kuleta au kutoleta hayo maandiko ni maamuzi yako!!!
Lete ushahidi! unatakiwa ushahidi!Kejeli ipi hapo,au dini yako ishaguswa basi unasema ni kejeli
Hamtaki ukweli ,mnataka propaganda
Hili halihitaji hata elimu, kasome historia ya Uislamu Hadi mudi anapewa utumeSasa ndiyo umuulize anayekwambia Uislam ni zao la ukatoliki ana ushahidi gani?
Mimi ninauuliza ni nani , anayewajibika na huu ukusanyaji wa vitabu , na ikawa biblia?Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vya manabii na mitume,na wazee wa imani
Haya SWALI ,unaamini Zaburi ?ili tufanye mjadala
Kasome historia,usidandie ,wakati hujamalizia ninachokuulizaLete ushahidi! unatakiwa ushahidi!
Acha kurudi nyuma rudi kwenye mjadalaKama hakuna Zaburi ,je Zaburi ipo wapi
Manabii hawajaishi wakati mmoja wameishi era tofautitofautMimi ninauuliza ni nani , anayewajibika na huu ukusanyaji wa vitabu , na ikawa biblia?
Kwa mantiki hiyo, kwa nini isiwe ni biblia moja wakati wa ukusanyaji wake , badala yake tukaletewa biblia mbili tofauti (wakatoliki na waprotestasti)
Je ni kitabu kipi cha kusema ni sahihi??
Sawa, Je unaamini Zaburi ?Acha kurudi nyuma rudi kwenye mjadala
Lete hayo maandiko yako unayosema ni zaburi
Kwani nimekwambia nina Zabur?ILETE HIYO ZABURI BASI ,MBONA UNARUKARUKA
Watu wanataka ushahidi wa maandiko kuwa Uislamu ni zao la ukatoliki usikwepe!!!Kasome historia,usidandie ,wakati hujamalizia ninachokuuliza
Zaburi ipo wapi Leo
ZABURI UNAIAMINI ? KABLA SIJAANZA KUSHUSHA NONDO ,NIKISHUSHA NATAKA UKIRI KABISA NI MAANDIKOAcha kurudi nyuma rudi kwenye mjadala
Lete hayo maandiko yako unayosema ni zaburi
Kwahiyo Zaburi huna ,Je unaiamini?Kwani nimekwambia nina Zabur?